Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Kenya Airways launches flights to Rome, Geneva The airline will deploy its 787 Dreamliner four time a week to cover the new routes Kenya Airways #ticker:KQ will launch new routes to Rome and...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
A International Press Journal has exposed a New York Times Journalist over the claims of ‘inconsiderate’ reporting. This came after the uproar by Kenyans after Kimiko de Freytas-Tamura covered...
1 Reactions
67 Replies
5K Views
Watuhumiwa wa ugaidi waliokuwa wakisakwa na mamlaka Kenya wamejisalimisha. Inaaminika kwamba walijisalimisha katika kituo kimoja cha polisi mjini Isiolo , kaskazini mwa mji mkuu wa Nairobi...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Hii nimeipata imefunguliwa uzi kwenye jukwaa la Watanzania, wanatupiana vijembe huko ila nimeona busara kuileta kwa Wakenya, sijui panic gani imewaingia wadau wa chama chao kile hadi wameamua...
9 Reactions
61 Replies
6K Views
Matukio kama haya ndio yatasaidia kupunguza ugaidi, pale ambapo jamii inajihusisha moja kwa moja, dereva mmoja ambaye jina limefichwa kwa ajili ya usalama wake, na ambaye inawezekana ni wa asili...
11 Reactions
30 Replies
6K Views
Kenya is grouped among countries that are primed to mint new millionaires at the highest rate in the next five years. The country is now ranked sixth globally and third in Africa after Nigeria and...
2 Reactions
1 Replies
780 Views
Diaspora inflows hit Sh274 billion Jan. 21, 2019, 12:30 am By CYNTHIA ILAKO @ladykanyali A currency dealer counts Kenya shillings at a money exchange counter in Nairobi/file Kenyans in the...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa kenge kuna wakati nilikua naogopa kila nikitazama video zao, lakini siku hizi napata mzuka wa hasira. Hii video imefunguliwa uzi upande wa Tanzania news ila nimeileta huku Wakenya waitazame...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa vile awamu hii imejipambanua kwa sera ya viwanda, nilitegemea kuona serikali ya Tanzania ikiwawezesha wawekezaji wa ndani na wa nje kuanzisha viwanda vya aina hii. Pamoja na vurugu zao...
4 Reactions
274 Replies
24K Views
January 20, 2019 Ni nini chano cha ugaidi nchini humo? Je, Kenya itaweza kutokomeza ugaidi kwa kwa asilimia 100. Nini kifanyike. Ungana na wachambuzi hawa watakaokupa mwanga na majibu ya maswali...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
  • Closed
Kuna video inasaaba kwenye mitandao. Hiyo video ni ya kutisha. Askari wa kenya anauliwa kinyama mbele ya kamera. Kabla ya kuuliwa askari huyo katoa malalamiko yake kuwa wanatakiwa waondoke...
6 Reactions
68 Replies
16K Views
  • Closed
Onyo: Usifuate link kama huna roho ya chuma https://cnyakundi.com/exclusive-graphic-images-at-least-70-shabaab-killed-by-a-drone-strike-in-jubaland/
4 Reactions
170 Replies
17K Views
Haohao wanaojifanya kukukumbatia ndio hao hao wanaokuzunguka na kukupiga mabomu.
1 Reactions
72 Replies
6K Views
Thursday January 17, 2019 New details have emerged about the member of the British Special Forces who engaged the five Al Shabaab insurgents that had raided Dusit D2 Hotel and Office Complex on...
12 Reactions
123 Replies
17K Views
Hakuna kitu TZ tungefanya kwani Ofisi za UN Kenya zililetwa na Wazungu wakati wa Ukoloni, hivyo ni juhudi za Waingereza kupeleka Ofisi kwenye Koloni lao kwa sababu walizozijua wao wenyewe, na...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Hatupendi ujinga sisi.[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] A group of Kenyans have launched a petition to suspend New York Times journalist Kimiko de Freytas-Tamura from...
1 Reactions
0 Replies
915 Views
Ndio uamuzi bora na pekee kupelekea taifa lenu kuishi kwa amani,ni bora mkalinde amani mipakani kuliko kuingia ndani ya ardhi ya Somalia na kupambana na Magaidi Hakika vita ya namna hii haina...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Milipuko na milio ya risasi yasikika katika eneo la 14 Riverside, Nairobi kunakopatikana hoteli ya DusitD2. Milipuko miwili mikubwa ya risasi ilisikika na baadaye ufyatuaji wa risasi. Watu kadha...
24 Reactions
618 Replies
106K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…