Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Bado ninapata ukakasi na kushindwa kuelewa waafrica hasa viongozi wanaosisitiza sala na maombi katika kupambana na Corona, tena wakisisitiza zaidi kuoamba Mungu aliyeletwa na mabeberu ambao kutwa...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kenya walamba $739 million sawa na 1.7 trilion Tanzania Sh ili kuwasaidia kupambana na Janga la Covid 19. ======= The IMF approved the disbursement of US$739 million to be drawn under the...
1 Reactions
75 Replies
7K Views
Kule Somalia kirusi kinatamba na kuathiri wengi, hakichagui kama wewe shababi mvaa ndala wala nini, inaogopesha sana ukizingatia tunachangia mpaka mrefu na pia jamii ya Wasomali, hii inawezakua...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Today we have 47 confirmed cases of COVID-19 bringing the total to 581. 32 are from Mombasa, 11 from Nairobi, 2 from Mombasa, 1 from Kiambu... We have lost 2 people in Mombasa bringing the total...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Hello our southern neighbors, I have so many questions in my mind to ask you but unluckily in this threa I'm only going to focus on one question. Why do many prominent people in your country die...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Utafiti mpya umeonyesha kuna njia inaweza kufanya mbu wawe hawana uwezo wa kuambukiza mtu malaria. Watakua ni kero tu wakikuuma lakini watakua hawazambazi tena malaria. Tuombe Mungu hawa watafiti...
2 Reactions
1 Replies
868 Views
Kifo cha mtoto wa Kerecho Breweries kilichotokea huko Lamu hivi majuzi kinatokana na Ugonjwa wa Corona na sio ajali kama ambavyo Serikali ya Kenya inajaribu kuficha Vifo vitokanavyo na Corona...
7 Reactions
101 Replies
8K Views
Baada ya kuona kasi ya ongezeko la wagonjwa na vifo ikiongezeka kila siku, na hakuna jipya zaidi ya kupima na kutangaza matokeo, wakenya wameanza kumtolea uvivu Waziri wao wa Afya na kusema hana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kenya ni nchi ya ajabu sana, hawajui nini wanataka. Uganda na Rwanda zimeanza kulegeza vikwazo baada ya kujiridhisha kwamba hakuna tena maambukizi ndani ya jamii "local transmission", Kenya imeua...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Today I celebrate the birth of devolution government in Kenya. The devolved government has ensured increased the rate of development in entire Kenya. Health sector has improved thanks to...
4 Reactions
6 Replies
803 Views
Tanzanian opposition MP Tundu Lissu (Left) and Kenyan Human rights activist Maina Kiai pose for a photo. September 19, 2019. Famous human rights activist and journalist Maina Kiai, was on...
1 Reactions
0 Replies
723 Views
Mara kwa Mara tumesema kwamba Kenya haijui ni kitu gani wanachokitaka katika mapambano dhidi ya maambukizi ya Corona, badala yake viongozi wao wanaiga kila kitu bila kutumia akili. Hivi kuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MY TAKE Jamaa wa one tablet per child sasa wanapokea msaada wa tarakilishi arobaini! #Akilizahandshake# CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeskliza hotuba ya Magufuli kwamba kwa mbinu za kisiri walipeleka sampuli za mananasi, mafenesi, oil ya gari na vitu vingine vingi vikakaguliwe kwenye maabara ili kubaini hizi positives...
28 Reactions
260 Replies
22K Views
KWA muda wa saa 24 zilizopita watu 30 wamepoteza maisha yao kutokana na mafuriko. Waziri wa Ugatuzi Eugene Wamalwa amesema Jumatano idadi jumla ya waliofariki kutokana na mvua kubwa inayoendelea...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Why should TANAPA block Kenya's tour companies that spread lies on Mt Kilimanjaro visibility from accessing her attractions Following the outbreak of COVID19 pandemic and its ensuring lock...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Machakos Governor Alfred Mutua to Use Pawpaws in Covid-19 Mass Testing Alfred Mutua ni miongoni mwa magavana wenye elimu ya kiwango cha "PhD" kama alivyo Magufuli, yeye pia ameona umuhimu katika...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
If the Kenyan government failed to repay the debts of $ 3.21 billion to China taken up for an ongoing major railway project, China would possibly take the port of Mombasa as an alternative. SGR...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
When Governor Mwangi wa Iria announced that his administration will build and make operational an Intensive Care Unit (ICU) within 21 days, many of his critics dismissed the idea. On April 9...
3 Reactions
7 Replies
955 Views
Wizara ya Afya Kenya imesema wagonjwa wengine wa corona 45 wameongezeka na kufanya idadi ya jumla ya maambukizi kufikia 535. “tumewapima Watu 1,077 ndani ya saa 24 na kati yao 45 wamekutwa na...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…