Wakenya wachukizwa na utendaji mbaya wa Waziri wa Afya, wamtaka Uhuru amfurushe kazi haraka

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
17,443
2,000
Baada ya kuona kasi ya ongezeko la wagonjwa na vifo ikiongezeka kila siku, na hakuna jipya zaidi ya kupima na kutangaza matokeo, wakenya wameanza kumtolea uvivu Waziri wao wa Afya na kusema hana uwezo kwa hiyo anapaswa kufutwa kazi.

Ikumbukwa kwamba wiki mbili zilizopita wakenya walikua wakisema kwamba waziri wao amesifiwa na vyombo vya nchi za nje kwamba ni miongoni mwa mawaziri bora kabisa katika kupambana na Corona, wengine walienda mbali hadi kusema anafaa kumrithi Uhuru Kenyatta atakapomaliza muda wake 2022.

Akili za wakenya wanazijua wenyewe.

======

Frustrated Kenyans took to the Internet to air out their anger at how the current health cabinet secretary Mr. Mutahi Kagwe has been tackling the COVID-19 pandemic. According to many Kenyans, the current CS has failed terribly in his role of leading the country in the fight against the monstrous virus. Mr. Kagwe has been on the receiving end of scathing attacks from both political leaders and ordinary citizens with many questioning some of the decisions he has been making in the docket in the name of fighting COVID-19.

One such decision was the dismissal of KEMRI Top researcher and director Dr. Joel. Many were left unhappy with the move and pointed it out as a form of incompetence. Now they have taken to the Internet to point out Uganda's success in curbing COVID-19 pandemic. And according to Netizens, the success is down to Dr. Jane Aceng who is the minister of health in Uganda.

In the cryptically created post on Facebook the anonymous user says, "KENYA VS UGANDA. Kenya: Confirmed cases 582,24 deaths. Uganda: Confirmed cases 83 No. Of deaths is 0.

MINISTER FOR HEALTH KENYA: Mutahi Kagwe: Bachelor's degree in commerce, Masters Business Administration.

MINISTER FOR HEALTH UGANDA: Dr.Jane Aceng: Bachelor Of Medicine and Bachelor of Surgery, Masters of medicine and pediatric, masters of public health, diploma in health system management." the post read

This led to widespread reactions with many Kenyans calling out the president to pick a medical practitioner to head the Ministry and Whole country in the right direction. These are some of the

Meanwhile Do you support the notion that Kagwe is underperforming because he lacks the proper medical knowledge to head the Ministry?


Source: Kenyans Demand A Medical Doctor to Replace Kagwe, Points at Uganda's Dr. Jane Aceng's Latest Success
 

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
4,466
2,000
Nawaonea huruma hawa wakenya, hakika huu ugonjwa unawapukutisha hatari,na wamefanya kama mashindano ya kutaja idadi ya vifo na waathirika kila siku, poor Kenyans.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom