Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Kenya Airways (KQ) has started direct flights from South Sudan capital Juba to Khartoum in Sudan as it eyes Africa expansion. The national carrier said the new flight will originate from the Jomo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Serikali imeahirisha kufunguliwa kwa Shule kwa Wiki moja kutokana na mafuriko yanayoendelea ambayo hadi sasa yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 80. Taarifa ya Waziri wa Elimu, Ezekiel Machogu...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana. Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa. Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa. Ukiangalia hii video unaweza toa machozi. Jamaa ana...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote Mungu amlaze mahala pema peponi mpiga picha na sajenti rose nyawira wa Jeshi la Kenya aliyefariki kwa ajali majuzi. Mwendazake alikuwa mpiga picha wa mwendazake CDF Kenya
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Katiba ya Kenya ya 2010 imetaja ukomo wa Rais kuwa ni mihula miwili ya miaka mitano mitano. Mbunge anasema wenzake katika UDA wanafanyia kazi pendekezo la kubadilisha ukomo wa muda na kuwa si...
0 Reactions
11 Replies
695 Views
Leo April 18, 2024 nchi ya Kenya imepatwa msiba mzito wa Kiongozi Mkuu wa Jeshi la Ulinzi baada ya kupata ajali ya ndege. Rais Ruto amethibitisha kutokea kwa kifo hicho baada ya kupita saa kadhaa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Kenya imewaambia Wabunge kuwa kuwasilishwa kwa Ripoti za Utekelezaji kila baada ya Miezi 3 Wizarani ni sehemu ya mpango wa kushughulikia athari...
0 Reactions
2 Replies
348 Views
Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, nchini Kenya, Ken Ngondi, alionekana kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kumlazimisha mwanamke wa kiislamu kumpa mkono na kumkumbatia, katika...
1 Reactions
4 Replies
340 Views
Maisha kitendawili, Maajabu familia ya marehemu Francis Ogolla mkuu wa majeshi Kenya Leo anaagwa akiwa kafariki akiwa na miaka 62 baba yake Mzee Joel Ogolla Leo jumamosi anatimiza miaka 100 ya...
4 Reactions
12 Replies
781 Views
Rais wa Kenya William Ruto amesema kwamba utawala wake umekamilisha asilimia 80 ya kuweka huduma za serikali kidijitali. Akizungumza leo Jumatatu, Ruto amesema kuwa ana furaha sana na maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Mkuu wa majeshi Kenya,alitaka azikwe bila jeneza na asicheleweshwe kuzikwa ili kupunguza gharama za mazishi,japo yeye ni mkristo.
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao...
1 Reactions
9 Replies
300 Views
Time to put things in their perspective. Ring road in Dodoma U/C https://youtu.be/rU64ZWjGhUo?si=Jpaj_cip-MYwSz_C
2 Reactions
61 Replies
4K Views
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za...
23 Reactions
265 Replies
16K Views
Nairobi! Kijana wenu hapa, Naomba kujua huyu jamaa ni nani, biography yake na anafanya nini? Huyu alikua mfanyakazi wa safaricom na ndio father wa Mpesa miaka ya 2012, sema hajulikani na...
1 Reactions
1 Replies
222 Views
Though Dodoma is a progress in making, its time for other East Africans to get to know what plans have so far been executed. I feel proud of the achievement so far and i am daring to compare...
6 Reactions
742 Replies
111K Views
Minister Saitoti and Ass Minister Orwa Ojode Feared Dead in Helicopter Crash Internal Security assistant minister Orwa Ojode NAIROBI, Kenya: Four people have been killed after a police...
7 Reactions
632 Replies
96K Views
Rais William Ruto amempandisha cheo Francis Omondi Ogolla mpaka kwenye hadhi ya Luteni Jenerali na kumteua Moja kwa Moja kuwa mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya. Jenerali Omondi anachukua...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…