Awali alikuwa ameeleza kuwa atakuwepo kwenye mkutano wa Azimio la Umoja One Kenya Allance kwa vile chama chake cha Wiper, kinamuunga mkono Raila Odinga
Hata hivyo alipowasili alivamiwa na vijana...
Wakuu Leo Tume ya mishahara Kenya (The Salaries And Remuneration Commission) imeondoa posho za vikao kwa wabunge 416 ili kuokoa Shs. 7.7 bilioni .
.
Wakati huo leo katika bunge la Tanzania, kuna...
Wawaniaji huru wa urais walidokeza kuwa watamchagua mmoja wao, ili awawakilishe kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti 9, kwa minajili ya kuboresha nafasi zao za kuteuliwa
Haya yanajiri baada ya Afisi ya...
Kenyan Anna Qabale Duba named world’s best Nurse. PHOTO/Courtesy
Anna Qabale Duba from Marsabit County in Kenya has been named the winner of a prestigious award, which has prize money of $250,000...
Kama kawaida yao hawa majirani huchelewa kwenye vyote, hutucheka kila tunapothubutu ila baadye huishia kufuata nyayo zetu, wameanza mipango na jitihada za kufumua mfumo wao wa elimu maana...
Hakimu awachia huru wanandoa baada ya kuiba beli la unga wa ngano. Hatimaye alifanya mchango wa dharura mahakamani kusaidia wanandoa hao. Aliwapa onyo wasirudie kosa.
=======
The high cost of...
Huyu Morris Mbetsa nimemfuatilia kwa muda mrefu tangu zamani alipokuwa amevumbua car tracking device na speed governor hadi sasa ambapo amefungua factory ya kutengeneza electronic circuit boards...
Ukiiangalia hii video toka mwanzo hadi mwisho utakubaliana nami, huku ndo Africa tunafaa kuelekea, mambo ya kutegemea China kwa kila kitu tuache, imagine kitu rahisi kama router ya mtandao wa 4G...
Tanzania's Smart Codes hires African corporate leader
WEDNESDAY MAY 11 2022
Dar es Salaam. Tanzanian firm, Smart Codes, a Smart Africa Group subsidiary, has appointed one of the continent’s...
Sabrina Dhowre Elba, mke wa staa wa filamu za Hollywood, Idris Elba ametembelea Nchini Kenya.
Amefika nchini humo akiwa katika majukumu ya masuala ya kilimo ya Umoja wa Mataifa (UN Fund for...
https://www.theeastafrican.co.ke/tea/business/kenya-economy-booms-as-tanzania-softens-borders-3809078
MY TAKE;
Huwa tukisema kwamba uchumi wa Kenya unategemea Sana Tanzania, wakenya wengi...
Mahakam Kuu ya #Malindi, nchini #Kenya imetambua utoaji mimba kuwa ni Haki ya Msingi inayotambuliwa na Katiba ya Kenya. Kuwakamata wanaotoa mimba ni kinyume cha Sheria
Polisi nchini humo wamekuwa...
Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka.
===========
Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc...
Sam Chui ni mdau maarufu sana wa Safari za Anga jamaa amesafiri na mashirika ya ndege mbali mbali makubwa duniani.
Ndani ya miezi hii miwili jamaa ame tembelea Rwandair + Kenya airways
Jamaa...
Shirika la ndege la Kenya Airways linasema kuwa mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania haijabatilisha uamuzi wa kufuta kibali cha kuziruhusu ndege zake kusafiri nchini humo takriban wiki moja baada...
Kumbe watu wanaomshikilia na kumsapoti Mondi ni Wakenya? Gazeti la Tanzania la The Citizen linasema kwamba ndani ya miezi 12 zilizopita video za Diamond kwenye youtube zilipata 136 million views...
A Kenya Airways aircraft at JKIA. FILE PHOTO | NMG
National carrier Kenya Airways (KQ) has inked a codeshare agreement with Africa World Airlines, a West Africa regional airline operating out of...
Uchumi wa Kenya ulikuwa kwa 7.5% mwaka wa 2021. Hii ni asilimia kubwa sana ya ukuaji wa uchumi katika East and Central Afrika na ni mojawapo ya asilimia kubwa ya ukuaji wa uchumi duniani katika...