Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Miaka yangu 26 ( me).. 1. Kiwanja ninacho 1 2. Bank nina mil 3 3. Tayari nimeshatoka nyumbani kitambo (najitemegea) 3. Nimeajiriwa kwenye N.G.O ( afya) kwa mkataba wa miaka 3. Je, naweza...
37 Reactions
172 Replies
14K Views
TAMISEMI NA WIZARA YA UJENZI KUFANYA TATHIMINI YA KUPANDISHA HADHI BARABARA ZA MKOA WA KILIMANJARO Kama lilivyotakwa la kisheria vikao vyote vinavyokaa katika ngazi ya Wilaya na Mkoa zinafikishwa...
0 Reactions
1 Replies
768 Views
Kama una uwezo hakikisha umewekeza kwenye haya maeneo. 1. Chimba kisima uwe una uhakika wa maji. 2. Funga umeme wa solar uwe na uhakika wa umeme na sio huu wa TANESCO unaokatika katika kila saa...
20 Reactions
61 Replies
5K Views
Mbunge Martha Mariki - Kukamilika kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya Kutakuza Uchumi Halmashauri ya Mpimbwe. WANANCHI katika Kijiji Cha Chamalendi halmashauri ya Mpibwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
575 Views
Habari ndugu zangu, Naomba kufahamu ukubwa wa nyumba ya bati 32 ina vyumba vingapi na vipimo vya vyumba vinakuaje kwa muundo wakupaua wa mgongo wa tembo? Naomba kuwasilisha. Pia naomba kujua...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Kazi nzuri za Aluminium tuwasiliane maboss zangu tuko mbezi, mikoani tunafika pia kwa mawasiliano zaid tuwasiliane kwa namba 0653467162
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Waungwana mambo vipi? Hapo chini nimepata ramani mtandaoni tu na haina vipimo sahihi. Naomba msaada kwa uzoefu wenu katika ujenzi moja wapo kati ya hizi ramani zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Nitapata wapi material hayo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF Juzijuzi tu tumesikia taarifa mbaya ya watu kugongwa na gari wakiw wanafanya mazoezi barabarani. Maoni ya wadau yakawa mengi mbalimbali. Mi nina swali kwa wapangao miji. Kutokana...
2 Reactions
4 Replies
895 Views
Nimeikuta mahali sijaijua ni nini hii au hidden camera? Msaada hapa wakuu.
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Wataalamu wa ujenzi, ni ukubwa gani wa dirisha unatosha kiafya achilia mbali suala la mwonekano wa nyumba. Nimejaribu kuzitazama nyumba za Sudan Khartoum kutokana na hii vita, nimeona nyumba zao...
2 Reactions
25 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, niliwahi kulala kwenye hoteli moja jijini mwanza ambayo ni miongoni mwa hoteli kubwa jijini mwanza kitu nilichovutiwa nacho ukiachilia mbali mambo mengine ni kitanda kwani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
CHILO: HUDUMA YA MAJI 🚰 💦 SAFI NA SALAMA ITAFIKA KILA PAHALA KATIKA JIMBO LA UZINI Mbunge wa Jimbo la Uzini KHAMIS HAMZA CHILO amewahakikishia Wananchi wa Jimbo la Uzini kua HUDUMA YA MAJI SAFI...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Tunajenga ofisi ya kikundi chetu na tunahitaji kuweka vigae kwenye sakafu. Hapa kwetu udongo ni mwekundu ambao ukipata maji unakuwa tope na unateleza sana. Naomba ushauri wa vigae vya sakafu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini mafundi mlioko Morogoro naomba mje inbox na gharama za kunijenege nyumba ifuatayo kutoka msingi hadi boma. Master 1, vyumba viwili kimojawapo ni self, dining, jiko na store kiwanaj ni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
MBUNGE DANIEL SILLO ASHIRIKI UZINDUZI WA JENGO KITUO CHA POLISI KATA YA GALLAPO Mbunge wa Babati vijijini na mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daniel Sillo Julai 18...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Fundi ukimpata kanjanja utajenga hata nyumba iliyopaswa kugharimu milioni 50 iwe milioni 80, ndio maana huwa sishangai mtu anaposema kajenga nyumba kwa milioni 100 wakati nyumba hio hio mwengine...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za leo, nilikua nahitaji ushauri wenu. Mm pamoja na mdogo wangu tulijenga nyumba kwa kutumia savings zetu kwa ajili ya investment kwenye real estate. Kwa bahati mbaya tulikwama kiuchumi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wataalam. Je hii rough estimate ya cost ya ujenzi kuwa sqm ni laki tano ni kweli au wanataka kuniigiza chaka?
2 Reactions
22 Replies
3K Views
MBUNGE DAVID KIHENZILE ACHANGIA MILIONI KUMI UJENZI WA OFISI YA KATA YA IGOWOLE- MUFINDI KUSINI Mbunge wa Mufindi Kusini David Kihenzile amefanya Kikao cha pamoja kilichojumuisha Viongozj wote wa...
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…