Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro wameendelea kuchukua hatua za haraka kuziba mashimo yaliyotokeza katika barabara kuu ya Morogoro – Iringa hasa eneo la hifadhi ya Taifa...
0 Reactions
1 Replies
457 Views
Fundi wa paa,naomba unicheki DM....weka na sample ya kazi zako ...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
It is just an idea na hizi dimensions na layout nimejaribu kuweka ili mwisho iwe kama hapa chini Hints Colums za kubeba slab iwe 2.5m Msingi wa kulia uwe coz 8 na kushoto uwe 4 tu ili ifanye...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za humu wakuu, Hivi gharama rasmi za ujenzi wa ghorofa za economic apartment zikiwa rosheni 8 mpka 10 znaeeza kukadiriwa kwa kias gaan?
1 Reactions
21 Replies
2K Views
NITAKUJA KUMKABIDHI MKANDARASI, UJENZI WA LAMI BARABARA YA OMURUSHAKA - KYERWA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS)...
0 Reactions
0 Replies
397 Views
Wakuu Habarini Za Mchana, Naomba Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada, Naomba Kupewa Elimu Na Ushauri Sahihi Juu Ya Uwekaji Wa Madirisha Ya Aluminium, Faida Zake Na Hasara Zake, Pia Ni Kwanini Wengine...
4 Reactions
43 Replies
15K Views
WAKURUGENZI WA HALMASHAURI JENGENI VITUO VYA BODABODA - MHE. MCHENGERWA Waziri wa Nchi, OR-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga...
1 Reactions
9 Replies
521 Views
Nataka kujua gharama ya kupiga plasta vyumba viwili nnje na ndani, chumba master na single, na katikat kuna ki korido kina Choo public, pamoja na kuweka zege chini kwenye floor kote ndani
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa ujenzi. Tafadhali naomba maoni yenu kwenye hii ramani, mnaionaje? Ina mapungufu gani? Niifanyie MABORESHO gani? Asanteni!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MAKANDARASI WAZAWA KUPEWA MIRADI HADI YENYE THAMANI YA BILIONI 50: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali kupitia Wizara ya Fedha imesikia kilio cha Makandarasi Wazawa na...
0 Reactions
1 Replies
357 Views
Nyumba za contemporary au hidden roofing zimekuwa ni moja ya staili ya nyumba ambazo watu wengi kwa sasa wanapenda kuzijenga haswa vijana maana ndizo zilizo za ‘kisasa’ kwa sasa! Nyumba hizi...
18 Reactions
18 Replies
9K Views
Juzi kati kwenye posts zangu za nyuma niliezea ni namna gani mafundi wanatuibia tunapoamua kujenga nikawa na hofu japo nilipokewa comments mbalimbali kama sio wote Ila jana kwenye sehemu fulani...
4 Reactions
13 Replies
999 Views
Wadau, salaam! Ceiling ya sitting room ya nyumba yangu ina ukubwa wa eneo wa 36m² (yaani urefu ni mita 6 na upana ni mita 6). Nataka kuweka taa za surface. Nimeenda dukani nikakuta kuna taa za...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Mtu yeyote aliepo dar anaefahamu sehemu ambapo Kuna room kali tuchange, tulipie, tuishi ?
4 Reactions
65 Replies
2K Views
MAKALA YA 7 Karibu katika Makala yenye kukuhabarisha mambo kadhaa Juu ya Ujenzi,leo tunaangazia japo kwa ufupi juu ya "Nyufa" 1. Nyufa ni mpasuko/Mipasuko inayojitokeza katika sehemu ya jengo I.e...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wadau huko mliko , najua mambo yanakwenda SAKO kwa BAKO kwa upande wenu, Rejea kichwa cha habari hapo juu nilikuwa nahitaji kufaham je vyumba viwil na sebule kwenye msingi itanighalim...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Anonymous
Kuna wafanyabiashara hasa wa Turiani (Madizini) Morogoro wanawauzia watu wasiojua bati za gauge 32, wakiwaambia ni 30 gauge. Na hawataki urudishe mzigo hata ukigundua kuwa bati hizo ni fake...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
DISEMBA 30, 2024 DARAJA LA J.P. MAGUFULI (KIGONGO-BUSISI) KUANZA KUTUMIKA-ENG PASCHAL AMBROSE Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye urefu wa Kilomita 3.0 na barabara unganishi Kilomita...
0 Reactions
1 Replies
406 Views
Habari za asubuhi ndg wakuu. nimejitafuta kwa miaka 14 tangu nilipohitimu chuo sasa nafikiri kujiajiri kwa sababu nimesubiri ajira kwa muda mrefu bila mafanikio. Nafikiria kujiajiri katika fani...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wanaJF Ni hitaji la kila mtu kuwa nyumba bora ya kuishi. Katika hatua za ujenzi tunajua kusimamisha jengo sio shughuli sana. Kazi inakuja kwenye kufanya finishing ambapo gharama zinaweza...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…