Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Wewe ni mwana sheria hebu tushauri hili tumefanya kazi na mtandao wa simu ya voda takribani miaka 10 nikiwa km wakala leo bila taarifa wananiambia kuwa nikifanya kazi jumapili silipwi kamisheni...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
naomba kufahamu ivi mfano unaanza mahusiano na mtu hata hamja fahamiana vizuri wala kukubaliana chochote mara anataka uende ukamtembele mahali anapoishi unaamua kwenda, akakuomba mfanye mapenzi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukiingia kule, elekea sehemu inaitwa "Downloads" hii iko mbele ya "products", ukibofya hapo kwenye downloads utakuta kuna sheria mbalimbali, bofya na kuipata bure. pia, waweza angalia kwenye...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
wasalaam wanajamvi. Unatakiwa kuacha mita ngapi kutoka katika mpaka wa kiwanja unapotaka kujenga nyumba yako? (toka mpaka wa kiwanja chako na kiwanja cha jirani yako/mwenzio {mpakani})?
0 Reactions
3 Replies
8K Views
please Lawyers, nimejaribu kuitafuta hii sheria lakini sijafanikiwa kabisa mpaka nimekuwa na wasiwasi kama ipo, kwa yeyote mwenye soft copy yake namuomba anisaidie. asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF naombeni mnisaidie jambo hili ambalo linanitatiza sana,ili nipate pakuanzia kwani uelewa wangu wa sheria ni mdogo mwaka 2007 nilinunua kiwanja cha serikali mbweni dsm,pale...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Sheria inasemaji kwa raia yoyote wa watanzania aliyehujumu uchumi wa nchi,je inamruhusu amiri jeshi mkuu kumpa muda wa kujirekebisha tu bila adhabu. lakini pia je kwa mtu kama huyu ambaye...
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Kuna matapeli ambao wanajifanya wahubiri wa Neno la Mungu wapo jijini Dar es Salaam. Jamaa hao wanne wanaoishi Mbagala Rangi 3, wanaongozwa na Anton Abel Magoya ambaye anafahamika kuwa ni muhubiri...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (katikati) akiwa na maafisa wa Serikali ya Uswiss pamoja na timu uchunguzi kufuatilia mabilioni ya fedha zilizowekwa katika benki za nchi hiyo. Picha na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba kwa mtu yeyote anayekijua kile kifungu kinacho onyesha sheria inakuwa into action tu baada ya kuchapishwa au kutangazwa kwenye vyombo vya uma!mana kuna bosi wetu anasema hana habari kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Mimi kitaaluma nimesona BBA lkn kwenye kampuni ninayofanya kazi nimekaimu nafasi ya meneja mwajiri H.R . sasa jana nikiwa ofisin kuna mfanyakazi moja kaingia na kunitukana matusi ya hovyo. sasa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
My dear Learned lawyers,naomba msaada wa kupatiwa tortious cases zilizoamuliwa na mahakama yoyote ya tanzania,maana kuna kesi leo nimeshindwa kuipatia ufumbuzi,
0 Reactions
3 Replies
5K Views
HABARI NA POLENI KWA MAJUKUMU. kuna dada mmoja ambae yupo chini ya miaka 30 alipo maliza shule ya msingi tu aliolewa nakaka mmoja nakuishi nae kwamuda wamiaka 14. akazaanae watoto wa 3. wakiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Law school inataka nini jamani maana wanzaingua hadi matokeo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu mwenye soft copy ya Contract ACt of Tanzania naomba aniwekee hapa. Ninashida nayo sana jamani. Thanx in advance..
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Mimi nina mtu nimempangisha nyumba yangu. mkoa tofauti ninapoishi, Mkataba nimeuatach na email hii, Kabla ya mkataba huu kwisha nilimtaarifu kwa njia ya simu mpangaji wangu kwamba nitapangisha...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Heshima wana JF, Naomba kujua adhabu ya mtu anayekamatwa na pembe za ndovu kisheria ikithibitishwa bila shaka mahakamani. Kuna jamaa yangu amekamatwa nazo.
0 Reactions
0 Replies
949 Views
naomba msaada mwenye waraka wa unaohusu categorization nina shahada ya elimu halafu nina MBA yaani master of business administration,wamezingua kunibadilishia kada niliomba kufanya kazi kama afisa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana jf naomba msaada wa sheria katika jambo hili. Kuna jamaa yangu alinunua kiwanja kwa x na akawa amejenga nyumba .wakati nyumba inakaribia kumalizika amejitokeza mtu y akadai kuwa ile sehem...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa kisheria juu ya hili. Ndugu yangu kafungiwa account yake ya bank kwa amri ya polisi. Kisa katuhumiwa kuiba hela katika kampuni anayofanya kazi. Je kisheria polisi wana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…