Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

WANASHERIA NISAIDIENI Nihatua gani mfanya kazi anapaswa kuchukua ............ (1)pale anapo act cheo flani ambacho nikikubwa kuliko alicho nacho halafau hapewi acting allowance,na anfanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Customary land law of Tanzania & Adiministrative law by H.R.W.Wade vinauzwa@0717033366
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ile blog/website ya uturn ya mange tangu jana haipo hewani, sijui tayari sheria ya makosa ya mtandao imeshafanya kazi yake?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba mnisaidie kifungu cha sheria kinachohusika na kupiga picha mgonjwa bila idhini yake.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ivi kitabu cha Administrative law cha H.R.W Wade kinauzwa bei gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jambo wakuu. Kama wiki mbili zimepita walivunja nyumbani kwangu mchana na kuiba hela, nguo, walet yenye vitambulisho vyangu na kubeba vitu kwenye dressing table. Nilienda polisi kuripot na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni mtanzania mjasiriamali,katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita nilikuwa na kiasi cha pesa za kutosha katika akaunt yangu ya M-PAWA,nilipokuwa nikijaribu kutoa pesa kutoka mpawa kuja mpesa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mm ni mtanzania niliyehitimu elimu ya chuo kikuu muda c mwingi, nimepanga kuanzisha shirika-of course nimeshadraft mpango wangu na iko kwny mchakato, naomba ushauri wa kisheria kuhusu mahitaji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada rejea kichwa cha habar hapo juu mwenye hayo madude nayahitaji plz naomba ufanye attachment ili niweze kuyapata ahsanten
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za muda huu. Naomba mnielekeze zilipo ofisi za chama cha wanasheria makao makuu dar es salaam. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu ninahitaj msaada wenu wa mawazo,nipo huku a town ila sijui niende mahal gani pa kumpata wakili wa kuniapisha,ili niweze endelea na kes yangu ya madai nilofungua katika taasisi fulani hapa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
GUYS, Currently there is a video clip being played on StarTv channel before and after news broadcast. The clip plays an audio speech of the late Mwalimu Nyerere warning Tanzanians against...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya wana jf wa jukwaa hili la sheria. Mahaka ya Tanzania inatambua mkakataba ambao umevuja sharia ya nchi? Natanguliza shukrani..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ningependa kujua Kama katika website yangu nikiweka poll box kwa ajili ya wasomaji kupiga kura za urais WA wagombea Kama njia ya kuonesha hisia zao kwamba yupi wangemchagua Kati ya hao...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Wakubwa naomba mwenye labour court rules -Tanzania, soft copy aturushie humu jamvini, Nina shida nayo sana
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba kujua kuhusu kauli hii. Mimi ninavyojua kwa uelewa mdogi nilionao wa mambo ya mahakama. Ni kwamba unaweza kufungua kesi ya jinai ila huna uwezo wa kuifuta au kumsamehe kwani hata kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasalimun Nyote Wakuu, Kama Heading Yangu Inavyojieleza.Jana Nimepgiwa Simu Na Mwajir Wangu Yakuwa Mkataba Wangu Unaisha Mwezi Huu Na Kampuni Haitaongeza,na Hapa Wameniambia Nijaze Clearance...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau wa sheria nchini, nadhani hii concept ya Law School watu bado hawajaelewa au ni kukurupuka. Siku hizi naskia mtu mwenye digrii ya sheria akienda kuomba tempo ya kufundisha...
1 Reactions
40 Replies
12K Views
Mimi ni raia wa Tanzania mwenye asili ya kihindi nimekuwa nikisumbuliwa kila mara na watu wa idara ya uhamiaji kwa mfano wiki iliyopita wakati natembea akatokea mtu wa uhamiaji akanivuta mkono...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…