Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Ningependa kujua sheria na au taratibu zinazosimamia huduma za kifedha kama MPesa, TigoPesa, BPesa, Credit cards, nk. Hivi ni sawa na za benki? Kama sio, tofauti yake ni ipi na utaratibu wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sheria zikishatungwa mwananchi wa kawaida anatakiwa kuzipata wapi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mm nauliza kwa mnaofahamu Je mwajiriwa wa selikari anaweza kuomba kusimama kazi kwa angalau mwaka 1—2. Kisha akarudi Tena kazini?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza migogoro ya ardhi kwa mujibu wa sheria anaeitatua ni nani Mahakama za ardhi za kata na Wilaya au Waziri wa ardhi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida mfanya kazi anapo fukuzwa kazi ktk sekita binafisi mfano ktk migodi anachafuliwa cv zake ktk mtandao kiasi kwamba huwezi kupata kazi mahara pengine sasa naomba kujuzwa kisheria...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Wataalamu naomba mnisaidie nina tatizo la ndoa, Ndoa hii ni ya kikristo ina miaka sita kwa sasa lakini imekuwa na makelele mengi kila kukicha, tumeshatengana mara kadhaa na kusuluhishwa lakini...
1 Reactions
58 Replies
15K Views
Habari wanajamvi naomba kujua"legal requirements" za usajili wa shule za chekechea. Asanteni
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau nna kiwanja chetu tulinunuaga mda kidogo toka kwa auctioneer (Yono Auction) baada ya mteja mmoja ku default payment. Hicho kiwanja hakina hati na kimejengwa mda tu. Sale agreement kati yetu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hivi rais inawezekana kumpigia kura mahali popote? Mana nlijiandikisha huko njombe na sasa npo singida kikaz
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada ninapangisha kwa mkataba wa 5 years lakini makubaliano ni kama ifuatavyo (1) Kodi ya pango kwa mwaka ni 12. Million. (2) Mpangaji atafanya ukarabati utakao gharimu TShs 30...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF habari za majukumu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, Kwa mara ya kwanza naweka uzi huu humu jamvini! Miaka 17 iliyopita baba yangu alifariki na kutuacha mimi na mdogo wangu wa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kinauzwa@ 0717033366
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Naomba msaada kwa anayefahamu sheria /kanuni inayotumika/inayotumiwa na tume ya uchaguzi Tanzania katika kuteua madiwani wa viti maalum.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
WANASHERIA NISAIDIENI Nihatua gani mfanya kazi anapaswa kuchukua ............ (1)pale anapo act cheo flani ambacho nikikubwa kuliko alicho nacho halafau hapewi acting allowance,na anfanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Customary land law of Tanzania & Adiministrative law by H.R.W.Wade vinauzwa@0717033366
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ile blog/website ya uturn ya mange tangu jana haipo hewani, sijui tayari sheria ya makosa ya mtandao imeshafanya kazi yake?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba mnisaidie kifungu cha sheria kinachohusika na kupiga picha mgonjwa bila idhini yake.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ivi kitabu cha Administrative law cha H.R.W Wade kinauzwa bei gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jambo wakuu. Kama wiki mbili zimepita walivunja nyumbani kwangu mchana na kuiba hela, nguo, walet yenye vitambulisho vyangu na kubeba vitu kwenye dressing table. Nilienda polisi kuripot na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni mtanzania mjasiriamali,katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita nilikuwa na kiasi cha pesa za kutosha katika akaunt yangu ya M-PAWA,nilipokuwa nikijaribu kutoa pesa kutoka mpawa kuja mpesa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…