Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomba kujuzwa kuhusu izi gharama za uagizaji befoward ndio izo zinazoonekana kwenye bidhaa pekee au itaghalimu pesa nyingine adi ndinga inaingia mkononi nisije kuagiza kichwakichwa ikaozea bandarini.
1 Reactions
6 Replies
792 Views
Kama mada Inaavyojieleza nia yangu nikuona kama gesi yetu inaweza kutupunguzia makali kiasi gani kulinganisha na nishati ya mafuta. Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
1 Reactions
7 Replies
918 Views
Baada ya kesho kua natakiwa kusafiri ningependa mchango wako wa mawazo katika hili! Majuzi nimeongea na wateja wanne jana wamekuja wawili mmoja alipowaona akaahidi atafika Leo asubui kuwachukua...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Viwanja Bei zake ni kama zinavoonekana kwenye Tangazo letu wadau. Maongezi pia yapo Wasiliana nasi 0620175964
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari JF? Naomba tufahamishane kuhusu hili suala? Mfano nimekopa Sh laki 5 pale NMB branch Ya Igoma, baadae nikashindwa kurejesha mkopo wao wakaja wakabeba dhamana. Je, Taarifa zangu za...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini, Mimi nahitaji samaki aina ya sato tani 2 kila week biashar endelevu nipo Dar, samaki wa kufugwa uzito kuanzia gram 350, 400 mpaka Kg.
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Habari wadau puppy pure german shepherd yupo sokoni ana umri wa miezi 4 amepata chanjo zote. Naweka picha za zake na wazazi wake. Kwa mawasiliano zaidi WhatsApp au piga 0744-914337.
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Wakuu habari hivi gharama za kibali cha maliasili kusafirisha mzigo kutoka Morogoro kwenda Dar inakuaje?
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajamvi habarini ya mchana wa Leo, samahani nauliza mwenye ufahamu au kujua hii Biashara maana nimekuwa nikikutana nayo mara kwa mara,ni jana tu nikakutana na stori ya tajiri mmoja hapa Tabzania...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Naomba msaada kwa anaejua office za kikuu zilipo kwa hapa Dar es salaam Tz
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jirani maumivu yakizidi kaonane na Magufuli === Australia-based Magnis Energy Technologies announced yesterday that it reached an agreement with Metallurgical Corporation of China to build a...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
1. Dhahabu - dhahabu kilo moja thamani yake ni zaidi ya shilingi milioni 100 za kitanzania. Dhahabu haiwezi kushuka thamani kwasababu i) haipatikani kiurahisi ii) ina matumizi mengi iii) ipo tangu...
16 Reactions
48 Replies
8K Views
Siku hizi watu wengi sana kinachowakwamisha sio kwamba hawana mitaji, wengi mitaji wanayo ila shida ni 1 tu inakuja kwenye suala la fremu wapi atapata pesa ya pango la chumba cha yeye kufanya...
48 Reactions
79 Replies
25K Views
Ndugu zangu wana JF, Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza...
8 Reactions
77 Replies
12K Views
Picha inaongea yenyewe. Wavaa tai wapo wengi sana.
1 Reactions
8 Replies
954 Views
Natumai wote mnaendelea poa na miangaiko ya hapa na pale. Wataalam wa mambo wanasema umri wa kufanya makosa na kujifunza vitu mbali mbali ni ule ambao bado mtu yupo kijana maana ni umri ambao...
146 Reactions
208 Replies
35K Views
New Tennis Rackets for sale!!! tshs 70,000 Call: 0687858018
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Habari Wakuu Wanajamvi Leo nataka nijuzwe kuhusu hii biashara ya chips. Jee ni inafaida kama nitapata location nzuri.. Pia Bei ya kabati la kioo kubwa la kuweka chips na Kuku linauzwa bei...
0 Reactions
20 Replies
15K Views
Habali wana jamvi. Husika na kichwa cha habari hapo juu Naomba kujua bei za madirisha ya chuma mageti na vitanda kulingana na vipimo vyake. Asante
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kuuliza ili nipate kujua Maana nisije ingizwa chaka, mwenye kujua tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…