Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ukiwa Mbeya ni sifa ya nyongeza 🤝 lakini popote tutazungumza tu. Kuna malighafi ya kuundia manati mipira bora kabisa inatafuta mjasiriamali. Acha kutumia iliyotumika kwanza ni hatari kiafya...
0 Reactions
6 Replies
471 Views
Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa Device: Renovvo Processor - 2.16 GHz RAM - 4GB EDITION - Window 10 pro Version - 22HZ CONDITION: Used like New BEI : 250,000 (njoo...
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Habari wakuu: Nafanya biashara ya duka la rejareja yapata miaka 6 sasa mafanikio makubwa nimeyapata kupitia hii biashara hakika sijutii kuingia katika hii biashara. Nakaribisha wana JF kushare...
24 Reactions
133 Replies
61K Views
Habari wakuu
1 Reactions
4 Replies
440 Views
Wakuu Nafanya hii mishe, wenye kufahamu machimbo yawekeni hapa Karibuni kwa uzoefu
1 Reactions
4 Replies
419 Views
Taarifa za kufanikiwa katika biashara zinapatikana kila mahali lakini hakuna mahali wamenyesha hizo biashara zinazosababisha hayo mafanikio, ni biashara za aina gani hizo? Soko la mitaji likiwa...
6 Reactions
118 Replies
35K Views
- Awapongeza Rais Samia na Museveni kwa msimamo wa uongezaji thamani madini - Azitaka nchi za Afrika kuwa na mkakati wa pamoja wa uvunaji wa rasilimali Madini - Uganda yavutiwa na maendeleo ya...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Lets say take home yako baada ya makato yote ni shilingi X per month. Umeanza biashara yako au umetoka nayo mbali, upepo unavuma wa pesa direction yako yani kila wiki au kwa siku kadhaa chache...
4 Reactions
4 Replies
753 Views
Habari wana jf Nina mtaji wa milioni 10 nifanye biashara gani ambayo inaingiza kipato kizuri kwa siku ambayo haitaniletea hasara?
4 Reactions
40 Replies
7K Views
Salaam Moja kwa moja kwenye mada, Mods na max naombeni mnilinde. Inawezekana watu wengi hawajui labda tuanze kuwekana wazi ili vijana wengine wabunifu wajifunze na waache kukopy idea za watu...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akimwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 01, 2024 amezindua usafirishaji wa bidhaa mbichi zikiwemo mbogamboga na...
1 Reactions
1 Replies
459 Views
Nina lengo la kuagiza machine nje kwaajili ya biashara hii nadhani ni Mpya nachowaza sana ni soko na namna ya kuitangaza
1 Reactions
4 Replies
548 Views
Wakuu, nahitaji wazo la biashara ndogondogo yoyote Location: Dar es salaam
3 Reactions
7 Replies
935 Views
Tips: Start thy purse to fattening (Pay yourself first using the skills you already have) Control thy expenditures (Keep your expenses low) Make thy gold multiply (Invest what you save) Guard thy...
4 Reactions
5 Replies
957 Views
Siku hizi mitandaoni hata JF kumekuwa na posts na comments nyingi sana za chuki. Single Mama na waalimu wamekuwa wahanga wakuu wa hizi chuki. Pamoja na wingi wa watu wenye roho mbaya ila bado wapo...
32 Reactions
57 Replies
2K Views
Kwa Wataalamu wa kodi, Mtanzania akinunua gari dogo la kutembelea kwenye duka la magari kenya atawajibika kulipa kodi Kenya na Tanzania? Pia soma: Zijue gharama za kodi kabla hujaagiza gari
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Wakuu nahitaji kufanya hii biashara ya vifungashio. kwahiyo nilikuwa nahitaji kujulishwa kilipo kiwanda cha viroba vya kg100 vile vya kijani na nahitaji viroba bora sio bora...
0 Reactions
3 Replies
659 Views
HABARI WANA JAMII NATAFUTA MASHINE YA KUKANDIA MAANDAZI .HATA IKIWA USED AS NEW ITAKUWA POA. Kwa mawasiliano zaidi pm wanangu.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
📖MHADHARA WA 14: Sisi tunaokuja kuomba kazi kwenye maofisi yenu huwa mnatuomba UZOEFU. Swali kubwa mnalotuuliza; "Una uzoefu wa miaka mingapi kazini?" Hakuna shida; ubaya ubwela. Ngoja basi na...
16 Reactions
24 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…