Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAGARI 25 YA TUME YA MADINI Ikiwa ni mkakati wa kuimarisha usimamizi katika Sekta ya Madini hasa kwenye ukusanyaji wa maduhuli, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Wakuu naomba ABC kuhusu hii biashara ya mafuta kutoka kwenye maganda ya korosho. Upatikanaji wa maganda ya korosho je upo kwa wingi na Bei yake kwenye viwanda. Je Lita 40000 Inatumia maganda...
2 Reactions
2 Replies
818 Views
Nahitaji ushauri. Mimi ni entreprenuer ninayeanza. Nategemea kujishughulisha na utengenezaji wa vyakula vya mifugo na pia uchakataji wa mafuta ya kupikia katika hatua ya " refining". Nimesha...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Hello esteemed partner. I believe hii thread itakupata ukiwa poa. Napatikana, Mbeya, and kama kichwa kilivyojieleza. Natafuta mwekezaji au mshiriki ambaye tutafanya pamoja biashara hii ya kuandaa...
2 Reactions
2 Replies
597 Views
habari zenu wadau niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana wa makamo nia ya kuja hapa jukwaani ni kuomba mbia/mshiriki wa kampuni mwenye uwezo wa kuwekeza mtaji wake katika kampuni yetu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ndugu zangu. Binafsi nipo na madaliko kadhaa katika maisha naomba sana usirejee nyuzi or comment za kipindi cha nyuma maana haitaleta maana ya uzi huu. Kwa sasa nipo dodoma na...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanajukwaa habari za Asubuhi, Nina mtaji wa 3M nimehamia hivi karibuni Morogoro mjini hivyo nafikiria kuanzisha biashara. Sababu ya ugeni nimeona nisiwe na haraka kwanza bali niombe ushauri kwenu...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
RC TELACK AWAKARIBISHA WAFANYABIASHARA KUSHIRIKI UFUNGUZI WA GULIO LA BIDHAA ZA USINDIKAJI. Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amewataka wafanyabiashara na wajasiliamali Mkoani Lindi...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
VIONGOZI WA DINI WAPONGEZA JUHUDI ZA RAIS SAMIA KULETA MAENDELEO NCHINI ▪️Waandaa maombi ya wiki nzima kumuombea Rais Samia na Taifa ▪️Wahamasisha ushiriki wa Watanzania kwenye uchaguzi seriklai...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Biblia haimlaumu mtu kwa sababu ni tajiri;Wala haisemi kuwa utajiri ni chimbuko la uovu wote.Badala yake maandiko yanasimama kuwa Mungu atoaye uwezo wa kupata utajiri Na uwezo huu na talanta iliyo...
1 Reactions
2 Replies
399 Views
Habari Ndugu. Kama heading inavyosema, natafuta binti wa range ya 18 - 25 Yrs old, Tusaidiane kwenye kuuza nguo za Mitumba za Kina Mama. Binti awe mwaminifu, Ikiwezekana mcha Mungu, awe...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Kila mtu anataman kua katika hali nzuri na kukua kwa uchumi. Ila kuna mambo ambayo yanaitajika ili ufikie kwenye mafanikio hayo Kitu cha kuanza nacho, haujishungulishi na kitu utakuaje tajiri kwa...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Nipo kwenye mchakato wa kujifunza hii biashara, mbinu ninayotaka kuitumia ni kupata sehemu yaani duka linalouza spea za magari, pikpik au bajaj. Kama kuna mtu anafursa hiyo na...
3 Reactions
1 Replies
662 Views
Mimi na trade Nasdaq kwasbabu hizi;- Muda Kwangu mimi unaanza muda then ndo ije price kama sijui muda then I can do nothing in the market pia nafanya kazi zangu zote then saa 16:30 EAT ndo nakuwa...
1 Reactions
8 Replies
589 Views
Habari za muda huu Rais Samia, nakupongeza kwa uongozi wako kama Mama wa Taifa letu, huku ukidumisha nafasi yako kama Rais. Rais Samia, mimi ni mmoja wa vijana wachache tuliojiajiri na...
1 Reactions
2 Replies
563 Views
Habari wana-JamiiForums, Nina umri wa miaka 27 ni muajiriwa wa serikali tangu mwaka 2023 nikiwa kama afisa tabibu (clinical officer). Nimeleta uzi huu kwenu nikiomba ushauri kuna mambo kama...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari jf, Kwa level niliyofikia kwenye biashara naweza sema bado few steps nifikie lengo, kichwa kinaniuma nawaza nitapata wapi mtaji. Eneo nalofanyia biashara ni moja ya masoko makubwa na...
6 Reactions
61 Replies
2K Views
Tanzania's Economic Downturn and the Scarcity of Foreign Currency: A Symptom of Unidirectional Policymaking? In recent months, Tanzania has been grappling with an alarming scarcity of foreign...
1 Reactions
4 Replies
822 Views
Jamaa yangu aliniuliza maswali kedekede juu ya hili neno hatifungani. Nilianza kwa kumwambia "hatifungani hutolewa na Serikali/kampuni ili iweze kupata fedha za kujikimu, ambapo mtu au taasisi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…