Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Msaada wenu wakuu wapi ntapata bolt and nuts za mm32 au 30mm inchi 19 kwakariakoo zipo naje zinapatikana
1 Reactions
3 Replies
420 Views
Kunufaika na hisa (au uwekezaji katika soko la hisa) kunahitaji kuelewa jinsi zinavyofanya kazi na kuwekeza kwa busara. Hisa ni umiliki wa sehemu ndogo ya kampuni, na unaponunua hisa unakuwa...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Tangulizi Uwekezaji ni moja ya njia bora za kujenga utajiri wa muda mrefu, na nchini Tanzania, vipande vya UTT-AMIS (Unit Trust of Tanzania - Asset Management and Investor Services) na majengo ya...
5 Reactions
4 Replies
5K Views
Siku ya jana nilitoa fedha kwa wakala. Hapa nilipo huwa kuna mwendo kiasi hadi kufikia alipo wakala. Sasa nina wakala ambaye huwa natoa fedha alafu namwagiza boda ananiletea mpunga wangu home...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna vichannel vingi hasa vya kusimulia movie, huwa najiuliza ni kweli wanatengeneza pesa kupitia YouTube? Na chanel nyingi ni za Kiswahili! Mwenye yuko na chanel aniambie.
1 Reactions
9 Replies
779 Views
Habar zenu wadau ninaprnda kabati jeupe la nguo na nina mpango w akununua katika pita pita zangu nikaona mtàndaon wanasema eti rangi nyeupe inawai kufubaa haifai naombeni ushauri wenu je ni kewl...
2 Reactions
5 Replies
432 Views
Wale wawekezaji bond mpya imeanzishwa na CRDB Kwa lengo la kukusanya mtaji wa kurngeneza na kuboresha miundo mbinu. Niwakatu wenu kununua mpate mrabaha. Baadaye nitaaambia kuhusu Gawio la hati...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana Jamvi, Mimi nimeajiriwa Serikalini hivi karibuni na sijamaliza miezi sita kazini. Nimeajiriwa mkoani Kigoma wilaya ya Kigoma Mjini. Nimekuja hapa kuomba ushauri niwekeze mkoa gani...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Nakuja kwenu ndugu zangu naomba kwa wenye uzoefu na wenye taarifa sahihi kuhusu biashara ya welding (kuchomelea) naomba kujua gharama ya vifaaa vinavyohitajika, Aina ya vifaa na Bei zake Ubora...
0 Reactions
30 Replies
25K Views
Na kalaga baho Aseee nina furaha kubwa ya kujadili na wafanyabiashara wenzangu. Poleni sana watanzania kwa kumpoteza Mzee Ndugulile kigamboni. Aseee nilkuwa nimelala hapa nimepigiwa simu na...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kusajili line ya lipa pesa, sijui ipi ni nzuri kwa ajili ya matumizi ya biashara. Vodalipa Airtellipa Tigolipa Nawasilisha
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Na... Jinsi Wewe Unavyoweza Kuanzisha Biashara yako pia! Moja ya Changamoto ambayo Wajasiriamali wengi wamekuwa Wakipitia ni Jinsi ya Kuanzisha Biashara bila ya kuwa Mtaji. Yaani… Je kuna Njia...
19 Reactions
39 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Naomba msaada wa kuweza kuicustomize payment voucher(PV) kwenye mfumo wa online Quick Book kwa kuweka fields" prepared by,reviewed by na authorized by". Natanguliza shukran kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimekuja kuwapa madini kuhusu hii biashara Biashara hii inalipa Sana, ndo maana wachina wanatoka kwao kuja kuinvest Tanzania Firstly inahitajika mtaji mkubwa Sana na elimu ya kusimamia na...
11 Reactions
78 Replies
8K Views
Wakuu nawasalimu kwa Jina la JMT. Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Nimekuja humu ndani kupata ushauri wa Biashara ya Malori haya ya kubeba mizigo iwe ya Local ama Transit. Kutokana na...
37 Reactions
221 Replies
43K Views
Wapendwa salaam! Amani ya Mungu baba muumba iwe juu yetu sote! Jamani mwenzenu nilikuja humu ndani kuuliza biashara ya vyombo ila nasikitika sana sikufanikiwa katika biashara ile kwani nilipata...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu wana JF, Kuna tetesi kuwa ukifungua fixed account ya 10Million ktk benk za Exim, CRDB, Posta bank, NBC limited au NMB, kwa kila baada ya miezi mitatu - inazaa faidi kati ya sh. 1.8 mill up...
4 Reactions
496 Replies
207K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 taaluma yangu ni ufugaji samaki kiwango cha elimu ni Diploma (Diploma in Aquaculture Technology) Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye hii industry nimefanya kazi...
13 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari Wakuu! Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara Mimi ni mtaalamu wa...
1 Reactions
2 Replies
579 Views
Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane. Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani.
0 Reactions
4 Replies
768 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…