Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wanajamvi naomba kuelekezwa jinsi ya kuandaa robo ritan za BOT. Kwa upande wa biashara ya microfinance
0 Reactions
5 Replies
465 Views
unaweza kutumia mtandao kupata wateja wapya na kukuza biashara yako. Hapa kuna njia rahisi za kufanya hivyo: 1. Tengeneza Profaili ya Kuvutia Kwenye Mitandao ya Kijamii Mitandao kama Facebook...
2 Reactions
4 Replies
533 Views
Huduma za kuwasilisha Ritani na ulipaji kodi KWA HUDUMA YA HESABU ZA KODI (FINANCIAL REPORT) RITANI ZA TRA (TRA RETURN) RITANI ZA VAT (VAT RETURN) SDL, PAYE, WCF KWA HUDUMA YA MAKADIRIO YA KODI...
0 Reactions
1 Replies
872 Views
  • Poll Poll
Nauza Biashara Yangu ya Vipuri vya Pikipiki na Matairi Kwa sababu za kibinafsi, nimeamua kuuza biashara yangu ambayo imenishinda. Hii ni fursa nzuri kwa mtu mwenye nia ya kuwekeza kwenye biashara...
0 Reactions
6 Replies
708 Views
Ni tufanye hawa wote hawana akili kuwekeza hapa. Je, unashindwa kujiuliza kwanini watoe pesa huko duniani $3.51 Trillion kwa kuwekeza sehemu ambapo hapaeleweki??🤔 Ndugu yangu nikupe siri kila...
0 Reactions
10 Replies
603 Views
Wakuu habari nahitaji msaada wa kujua gharama za kusafirisha mzigo kutoka mbeya kuja arusha (tani 14) na kahama kuja arusha(tani 10). Bidhaa ni mchele Kwa anaejua gharama naomba msaada
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna soundbars aina ya SKYWOOD, 470 Watts naiona katika matangazo katika social media tofaut tofauti Mwenye uzoefu na aina hii ya mziki alete uzoefu wake Binafsi napenza mziki mnene uliochujwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini wanaJF? Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa hapa manispaa ya Kahama?
1 Reactions
4 Replies
623 Views
Wakuu hii ni fursa ya kupiga pesa au mimi ndo fursa yenyewe?
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari wadau, moja kwa moja kwenye mada. Ni biashara gani ama huduma ipi unaweza kufanya ambayo haina BEI ELEKEZI, yani bei unajipangia wewe mwenyewe? Mfano wa biashara za bei elekezi nin kama...
1 Reactions
6 Replies
766 Views
Uandaaji wa Mpango Mkakati yaani “Strategic Planning” unahusisha ukusanyaji na ufanyaji wa tathmini wa taarifa juu ya mazingira ya nje yanayoizunguka kampuni yaani “external environment”...
2 Reactions
2 Replies
596 Views
Forum nzuri hiii. Nauliza, mfano nataka nifungue kiwanda cha maji, yaani kufunga mashine mpya, madumu ya maji etc, bora ni ninunue mashine wapi? Mpya za China au used za ulaya? Je, kuna websites...
1 Reactions
41 Replies
16K Views
Naitwa Jacob Mwansasu ni mmiliki wa partneship iitwayo swebetech it solution tunakuletea product hii kwa ajili ya private school kusaidia uendeshaji wa kidigitali. Karibuni 0759617533 kwa...
0 Reactions
3 Replies
394 Views
Habari za asubuhi wanajukwaa. Nahitaji kumwanzishia biashara ya vitafunwa mdogo wangu ili kumwepusha na vijiwe vya kijinga huku akisubiria tokeo la form 4... Moja ya mahitaji ya hii biashara ni...
1 Reactions
4 Replies
498 Views
Kama ilivyo kariakoo wafanya biashara wengi wanafanya biashara ya B2B yaani Busness to bussness ( mtu ununua bidhaa na kuiuza hio bidhaa iliapate faida/profit. Wa China na watu wenye viwanda wao...
13 Reactions
35 Replies
4K Views
Naombie abc za hii biashara. Profit inakuwaje? Gunia moja faida ikoje?
8 Reactions
25 Replies
2K Views
INTRODUCTION:- Wananchi salamaa? Wale wanayanga wenzangu tusijali TUTAVUKA BILA CALUCULATOR zao..!!! BODY:- Ukiachana na utumishi wa umma, Mimi bwana ni mfanyabiashara ninaye miliki kampuni...
20 Reactions
79 Replies
4K Views
Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi. Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake
10 Reactions
51 Replies
4K Views
Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu...
1 Reactions
3 Replies
490 Views
Natafuta wanunuzi wa madini ya iolite ambayo yamechongwa tayari (cut/faceted iolite).
1 Reactions
7 Replies
511 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…