Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari zenu, Naomba aliewahi kufanya biashara ya vyakula mtandaoni anatafutaje wateja Mimi nipo Arusha
1 Reactions
1 Replies
413 Views
Nimekuwa nikitumia kununua bidhaa na huduma online kwa card za CRDB, Vodacom na sasa nimetumie ya Airtel. Kwa nionavyo mimi hakika Airtel wameifanya vyema huduma yao na namna unavyoona makato at...
3 Reactions
61 Replies
19K Views
Habari WanaJF, Natumaini tumeanza siku vizuri. Hata kama kuna mambo hayaendi, shukuru hata kwa uhai. Mungu yupo atakupambania... Bila kupoteza muda, ningependa kuwashirikisha wazo, na naomba...
13 Reactions
56 Replies
8K Views
Habari wana jamii naomba wenye uelewa kuhusu hisa za bank ya CRDB tujuzane, mtu anakuaje mwana hisa, hisa moja ni tsh ngapi, na faida zake zikoje mfano ukiwa na hisa kumi unafaidikaje baadae
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini ndugu, Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu. iKiwa juma tatu tulivu na yenye majonzi kwa ndugu zetu watanzania waliopata maafa ya kuangukiwa na kifusi, Mungu azidi kutia wepesi katika ukozi wa ndugu zetu waliopo chini ya...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwanza niwapongeze kwa kufanikiwa kweny manunuzi ya mtandao wa tigo na mkaubadilisha jina kuwa" YAS" Mahali mnapofeli kwa sasa 1. Mmebweteka saana, kweny promotion mkiendelea kutegemea promo za...
7 Reactions
12 Replies
935 Views
Wakuu Nina milioni 8 hapa nimejichanga kwenye kazi za kuajiriwa,Mimi ni fundi umeme Sasa nataka nijiajiri mwenyewe mwenyewe nimefikia makubaliano kwenye biashara hizi mbili niendeshe maisha...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini...
19 Reactions
80 Replies
4K Views
Mimi binafsi shida yangu ni Mtaji tu. Nawasilisha opinion zangu kwako mwekezaji katika pombe kali, sasa hapa hutakiwi kushindana na smart gin maana yeye alitengeneza formula zake na akaliona soko...
16 Reactions
47 Replies
3K Views
Hi wote, Mimi ni mdada nina umri wa miaka 34. Tatizo langu kubwa ni kustuck. Yaani kila ninachowaza kufanya kujikomboa kiuchumi sifiki popote. Ninawaza mno ila nimestuck. Hapa ni saa 9 usiku...
16 Reactions
80 Replies
6K Views
Habarini humu. Nahitaji mtu ambaye ni mwenyeji Muheza yaani awe anapajua vizuri anicheki PM kuna dili nataka tuzungumze.
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Kama unataka kufanya ziara ya kuangalia fursa za kibiashara, hasa kuangalia bidhaa za kuzileta nchini, ni nchi ipi inaweza ikawa sahihi zaidi kuitembelea? Muda wa ziara ni wiki mbili! Nchi ipi...
2 Reactions
8 Replies
799 Views
Nina mwaka tangu niajiriwe Serikalini lakini ukweli sioni future yoyote kwenye hii kazi niliyoajiriwa, naona kabisa naenda kuzika ndoto zangu na kubaki kuishi Kwa kutegemea mshahara. Kabla...
7 Reactions
62 Replies
4K Views
Habari za wakti huu; Ni matumaini yangu kwamb mnaendelea salama na Shughuli zenu za upambanaji na utafutaji wa Riziki; Leo nimeona nilete mada ambayo kwa wajasiriamali wengine inaweza kuwa na...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Do you want to start any of the following 70 businesses? • Precast Concrete Products (Cabro) Making • Maize Milling • 15 Unique & Untapped Ideas • Quarry • Motorcycle Spare Parts Retail •...
3 Reactions
7 Replies
932 Views
This guide looks at the edible oil markeT, with a focus on a Peanut Oil business. Is there an opportunity? How do you seize the opportunity? What are the technical and financial details...
0 Reactions
1 Replies
522 Views
WAkuu hivi naomba kuuliza kama una milioni 30 inatosha kuchukua mzigo china ila pesa hiyo hiyo ndio yakufanyia clearance bandarini na kupakia mzigo kutoka china kuleta hapa na kama inatosha ni...
1 Reactions
8 Replies
547 Views
Fundi ujenzi mwenye maarifa ya kazi yake anaweza kufikia wateja wengi zaidi kwa kutumia mitandao ya kijamii na mbinu nyingine za kidigitali. Katika makala hii, tutajadili hatua rahisi ambazo fundi...
0 Reactions
1 Replies
481 Views
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 1 kwa 1 kwenye mada yangu kama vile kichwa kinavyosema. Najua una HAMU ya kujua wabongo wengi hufanya kosa gani ktk biashara huko ONLINE. Binafsi, nmepita katika...
4 Reactions
8 Replies
747 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…