Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu heshima kwenu, Nina cash 10 million tshs,naombeni mnisaidie wazo la biashara,nitashukuru mawazo na mchanganuo wenu,nipo tayari kufanya hiyo biashara kuanzia mwezi huu na mkoa wowote.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi nikati ya mteja wenu wa kudumu na ndivyo nitakavyozidi na siku zote napenda huduma zenu,but takriban ndani ya kipindi cha miezi kama sita mtu unajiunga na cheka ya 1200 au 900 unashangaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salama wana JF , naomba kuwasilisha. Weekend hii katika mapumziko nilionelewa ni download some series. So nilinunua Vodacom bundle ya sh 12,500 ambayo ni package ya Internet bila kikomo kwa wiki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
natafuta leseni ya gari jamani nani anauwezo wa kunipatia ndani ya siku moja na kwa shilingi ngapi vile niwe nayo?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale wataalamu wa masuala ya Bima za magari nawaomba mnijuze. Jamaa yangu amenunua gari mkononi mwa mtu, gari yenyewe imelipiwa bima premium ambayo inatarajiwa kuisha mwishoni mwa mwaka huu...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
nimekuwa nikifatilia kuhusu bidhaa zinazotengezwa ndani. Kwa kiasi kikubwa wajasiliamali wanalalamikia soko dogo na waelekeza nguvu zao katika soko la dunia na nchi za ulaya. NI UJUHA KUFIKIRI...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina biashara ndogo ya stationery.(ina miezi minne sasa) Nahitaji kukuza biashara yangu iwe kubwa zaidi. Ni benki gani inatoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo kwa riba nafuu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mara ya mwisho kuisikia kampuni ya simu za mikononi Zantel ni sehemu ya pili ya mwaka jana (June- December 2012). Matangazo yake ya biashara niliyasikia sana eg 'Twanga kotekote' na Epiq Nation...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapo watu wasiopenda kusoma wanaokosoa usomaji wa vitabu hivi. Hoja yao kubwa ni eti pesa hazipo vitabuni na kwamba vitabu hivi ni kujiburudisha nafsi tu na hakuna lolote.Nikiri kwamba nilipoanza...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Jamani habari zenu Naomba kusaidiwa juu ya hili swala naona humu kuna wataalmu mbalimbali.Tunajua kwamba Tanzania hakuna sheria inayoruhusu mwananchi au mgeni kununua ardhi moja kwa moja ardhi ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii, kama anaweza kuwasiliana na mimi kwa nambari 0712 464 666 sio mbaya. Napenda kujua aina ya mninga inauzwaje dar es salaam kwa bei ya jumla ili...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari Wana-JF, mimi nina azma ya kutengeneza bidhaa hivi karibuni. Bidhaa na utengenezaji wake, unahitaji pia utambulisho. >>Ninaomba ufafanuzi, bei ya kutengeneza, na tofauti, kama ipo, ya...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Bandari ya Jabel Ali anapokea na kutoa makasha ( container) 1,333 kwa kila lisaa limoja, Inachukua muda wa dakika 20 tu kuondoa mzigo katika bandari ya Jabel Ali na kuuhamishia katika bandari kavu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
asalam aleykum,taarifa ya kufunguliwa kwa saccos ya kiislam mjini songea.nia kubwa ya saccos hii ya kutayba,nikutoa mikopo kwa wafanyabiashara wa kiislamu.mikopo ambayo haita kuwa na riba.kwawale...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wandugu, Nimekuwa nikikomboa mizigo toka nje kupitia kwa Clearing Agent wangu. Jinsi ilivyo, agent anapewa jukumu kisheria kushughulikia hiyo process kwa niaba ya mteja. Kwahiyo basi, TRA wana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ebwana me nawapa Big up sana CRDB kwa huduma yao mpya ya SIMBanking kwani ni ya ukweli kinoma. Haina mambo ya kujiunga kwa fomu na makaratasi kibao coz kitu ni hewani tu, unatwanga *150*03#, kitu...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Great thinkers ukiangalia ndani ya mwezi huu hisa ya crdb likua inauzwa mpaka 320 lakin imeporomoka mpaka kufika 260. Je hii inaashiria nini na imesababishwa na nini?
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Wakuu nimeagiza zana fulani hivi za kijasiriamali toka nje ya nchi. Mzigo umeishaingia bandarini siku nyingi (hii wiki ya 2 sasa) ila sijafanikiwa kuutoa kwasababu ya vikwazo ninavyokumbana navyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Friday, August 30, 2013 The largest European oil producer, Royal Dutch Shell plc ("Shell") and the Revolutionary Government of Zanzibar have signed a Memorandum of Understanding (MoU) on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://twitter.com/ Beach born co.Ltd"]http://facebook.com/ BeachbornCompanyLtd http://twitter.com/ Beach born co.Ltd[/URL]
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…