Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Serikali iliahidi itafuatilia li turudishiwe ni lini? Wapi? Kuna mwenye taarifa please?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TANGAZO ndugu wanachama wa Jf Eneo linauzwa zaidi ya nusu eka lipo Pugu Kajiungeni wilaya ya Ilala-Dsm, eneo lipo nyuma ya shule ya msingi Pugu Kajiungeni. Kuna barabara inayoingia kwenye eneo na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Naombeni mnijulishe fursa za kijasiriamali dodoma kwa mtaji wa 2m.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
"A" TOWN SMART TRADE FAIR. (maonyesho ya kibiashara) Karibu katika onyesho kubwa la kwanza la wakulima wa mbogamboga kutoka katika nchi za kusini mwa bara la afrika litakalo fanyika jumatano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Welcome to The Professional Healthy Talk At AKemi- The REvolving Restaurant In DAr! This Friday 29th Novemeber 2013 at 4:30 Pm Meet Doctors/ Specialists get the solution of your problems ( like...
0 Reactions
0 Replies
527 Views
VIWANJA VYA KUJENGA VIPO MAENEO YA KILUNGULE KONGOWE. BEI NI MAELEWANO. WASILIANA NA MIMI MUHUSIKA UPATE KWA BEI NAFUU KULIKO KUPITIA KWA DALALI. MAWASILIANO. 0753820584 au 0713135070.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Jana nilipata safari Fupi ya Kwenda na kurudi morogoro, nikiamini kuwa usafiri pekee wa uhakika Kwenda na kurudi morogoro ni Abood bus service. Wakati wa Kwenda sikushangaa sana niliona mende Kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF pole na majukumu--- binafsi naomba kujuzwa kati ya magari tajwa hapo juu lipi ni imara na lenye jatumizi bora ya mafuta na pia spea. Natanguliza shukran wadau--
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Jamani nani ana tetesi hizi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Atashindwa kuwasaka, kuwakamata na kuwafikisha kwenye mikono ya sheria wale wote wenye kuhusika na kashfa hii inayoitia aibu Taifa akiwemo Rais wa Nchi. Shilingi milioni 600 zimetafunwa halafu...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
FURSA NJEMA KWA KILA MTANZANIA. HUU NI UKUMBUSHO Kwa Wale wote waliopata Tili zao za Vodacom Mpesa na wapo chini ya kampuni yetu. Ndugu Wakala tunawapongeza kwa uvumilivu wenu na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je kuna mtu anafanya biashara ya asali na ananunua asali kwa bei ya jumla? Kama ndiyo napenda kumpa taarifa nimekuta sehemu kuna tangazo la anayetaka asali Original jaribu kulisoma mwenyewe hapa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya Kanali Masawe kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Kagera alikuja na mikakati mingi hasa ya kuhakikisha mji unakuwa msafi, na kwa hilo alifanikiwa sana na akapanga siku ya alhamisi kuwa siku...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu wote wa janvi hili salamu zenu, Napenda kuwapa Hongera Hongera Sana kwa wafanyabiashara wote na hasa hao viongozi wao kwa kuweza kuonyesha dhahiri hisia zao kwa TRA jambo ambalo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani baada ya kukaa kitaa kwa muda bila kibarua mafanikio huku family (Mke na mtoto wakinitazama). Nimeamua kuanza kuandika makala mbalimbali katika nyanja mbalimbali za maisha ya binaadamu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari? nakodisha shamba kuanzia ekari 5 mpaka 15 kwa wanaotaka kujaribu small scale farming. shamba lipo tanga, umbali wa dakika ishirini kwa gari kutokea barabara kuu.bei tsh 20,000 kwa ekari...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa mtu ambaye anailewa hiyo simu,. ni'pm simu ipo katika hali nzuri,., haijamaliza mwaka na bettery badi inakaa mda mrefu.
0 Reactions
1 Replies
731 Views
UNAWEZA UKAISHI TOWN KWA UJANJA HUTAKUA MACHINGA WA VITU VYA WACHINA ILA UTAKUA MJASIRIAMALI MWENYE TIJA UNAYEJUA a)kusave hela b) kujifunza kufanya kazi kwa bidii. kujuana na watu usidharau kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mara mbili nimenunua pikipiki za wachina kariakoo lakini hela iliyoandikwa kwenye risiti nilizopewa hailingani na hela niliyolipa. Nimelipa sh. 1.9mil kununua T-better lakini risiti ikaandikwa sh...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
EArn Money your working at home/ or earn your extra income while seated at your office Join the successful Professionals Entrepreneurs at Akemi - The Dar's only revolving restaurant in Tanzania...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…