Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hivi sisi watanzania lini tutajifunza ku value thamani ya mteja ? Hasa hizi bank hawa waajiriwa hua wanajisahau na kufikiri hizo pesa na kila kitu ni vya kwao na kua na nyodo,CRDB unaripoti tatizo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari zenu wadau mimi ni mjasiriamali nifanyae shughuli za upasuaji mbao zilizo na ubora.na bei ni nafuu sana karibuni sana kwa mawasiliano zaid luwumba2013@gmail.com au utaliijackson@yahoo.com
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Africa means business. The past decade has seen an enormous number of mega-corporations emerge on the continent. However, a vast number of these companies are run by foreigners. For example...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mtu wa kuniuzia maziwa ya makopo , kama vile NIDO, LACTOGEN ( No 1, 2) Nahitaji kwa bei ya jumla ambayo, nami nitauza kwa wauzaji , wenye maduka ambao watauza kwa walaji. Mwenye nayo...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nahitaji kuimport pikipiki moja toka china, mpya yenye cc150. Bei yake c&f ni Usd 800. Kwa mwenye kujua eti yaweza kuchukua ushuru kiasi gani? Naomba msaada.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi kwa wale wanaotumia gari za kimarekani aina ya ford exploler ya mwaka 1998 na hawana vipuli vyake..gari ipo haitembei lakin inakila kitu chake, unaweza kuinunua na ukaitumia kama spare...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Kampuni yetu inahusika na kufanya matangazo online. Kwa sasa LinkedIn inalipa sana because most professionals like managers, directors, MDs and CEOs ambao ndio wenye hela ya kununua bidhaa wapo...
0 Reactions
2 Replies
965 Views
Ndugu zangu kwa anaehitaji mahindi mimi nauza nina tani 30 nipo songea mjini. Nauza 500 kwa kilo moja. Tusaidiane kutafutiana soko.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni Script,Story writer na Actor! Nina story nyingi na nzuri ambazo zipo kwenye mfumo wa Script tayari, tatizo mtaji kama kuna mtu ana idea ya kuwekeza kwenye Film inderstry ani PM tafadhari...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Nauza samsung portable laptop , unaweza charge kwa umeme au jua(ina solar panel) , RAM 1 GB, internal hard disk 280GB, pentium M, 32 bit, imenunuliwa miezi michache quality centre , sasahivi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninahitaji mkopo wa kufanyia biashara , nina plot iliyoendelezwa msingi bweni beach na nina title deed ! Kama ni kutoka bank au watu binafsi tafadhali naomba ushauri jinsi ya kufanya !
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Heshima zenu wakubwa.. Amani ndiy jina langu,degree holdeq(Bachelor of Accounting) Na busness plan nzuri and ipo kwa maneno japo bado sijaitype..inahítaji kiasi cha mil 2.5.Ndipo nilipokwamia...
0 Reactions
2 Replies
774 Views
kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina caustic soda kutoka china, ni nzuri na zinaubora . na zimeifadhiwa kwenye ujazo wa kilo 25.. kwa anayehitaji call 0759-331-519.. karibuni sana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wanajf? ..karibuni tuendeleze gurudumu la ufugaji, ..kwa anaehitaji vifaranga vya kuku machotara wa nyama na mayai pia, wenye umri wa mwezi mmoja wakiwa tayari wamekwisha chanjwa...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Habari Nimeamua kuuza shamba langu ,maelezo kuhusu shamba ni kama ifuatavyo. ukubwa:hekari 30,linauzwa lote kwa pamoja na sio vipande eneo:wami dakawa,karibu kabisa na ranch ya mzee mwinyi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TANGAZO TANGAZO Pikipiki ya miguu mitatu (maarufu kama bajaji) aina ya tvs king (rangi ya blue) inauzwa. Imetumika kwa mwaka 1, iko katika hali nzuri. Bei ni Tsh 3,000,000. Kwa maelezo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Majuzi nimerudi toka south africa nikipita nchi za zambia na zimbabwe, kilichonishangaza ni thamani ya kwacha ya zambia kuwa juu kuliko rand ya south africa, je? Ni kweli zambia wana uchumi mzuri...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
cont: 0718268969
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Habarini ndugu,,nahitaji chumba cha kupanga cha sh elfu hamsini,,mahali popote pale dar es salaam
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anauza vifaa vya saloon ya kike nahitaji, lakini kama vina matatizo inabidi muuzaji agharamie matengenezo............mimi niko Mbeya wasiliana zaidi na no, 0712634486.Bei ni maelewano.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…