Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau naomba kupata experience ya fursa ambazo zipi huko china. Naona na ninasikia watu wengi wakienda china wakifunga mizigi na kuja nayo tz. Tupeane ujuzi mtaji wa kwenda huko ni bei gani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ba ndugu zangu...... ninavifaa vya car wash full set... nahitaji mahali pa kufungua ili nianze kazi.. dedicated palce ni victoria, masaki, oysterbay, mwenge sinza, morocco na maeneo ya karibu na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba kufahamishwa kuhusiana na SACCOSS
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau habari za jioni, Kwa mdau yeyote anayeweza kuwa na soft copy ya katiba ya kikundi au saccoss anisaidie tafadhali. Mimi na vijana wenzangu tumeanzisha kikundi cha watu kumi for Saving...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mabag ya laptop picha nimeatach,for more call me 0767319121
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nini kinahitajika,na mtaji ni shilingi ngapi?:A S tongue:
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukubwa..... Mashariki mita 60, magharibi mita 40. Kaskazini mita 40. Kina umbo la mstatili. Hakina Hati.... Mahali... KIGAMBONI MIKWAMBE Bei ..... Milioni 5.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani wadau naomba mwenye uzoefu na biashara ya mazao kwa morogoro anijuze ni mazao gani yanalipa kwa morogoro
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habarini, Oven kubwa inahitajika kwa ajili ya bakery iwe used au mpya, Inayotumia gas ndio kipaumbele.bei tutaelewana kutokana na ubora wake na idadi ya plates (1 ...).
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Wapendwa, Nimepata taarifa toka kwa mdogo wangu aliyepo sasatel kuwa hadi leo hii hawajalipwa mshahara wa mwezi wa saba na ule wa mwezi wa sita walipewa nusu tu.inasemekana kampuni imeuzwa kwa...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Kampuni ya mawasiliano ya Sasatel iko katika hati hati ya kufungwa baada ya kushindwa kufanya vizuri katika soko la mawasiliano hapa Tanzania ikiwemo kushindwa kujitanua kwenda mikoa mingine huu...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Nauliza-- mtandao wa Internet wa Sasatel uliongia kwa mbwembwe kubwa mwaka 2010 ndiyo umekufa kabisa? Nauliza hivi kwa sababu tangu jana jioni ulikuwa haupatikani. Jee wenzangu mnaotumia huduma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hellow, Mimi ni mjasiriamali ninayebuni vitu mbalimbali kwa kutumia vitenge.Nakaribisha wanunuzi wa jumla na reja reja, anayehitaji anipm nimtumie picha
0 Reactions
2 Replies
3K Views
2CashSite.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rwanda imetajwa kuwa nchi inayovutia zaidi wawekezaji na kusajili kampuni no saa 24 tu unakuwa ushakamilisha na hakuna longolongo kama za kwetu. Hii imevutia wafanyabiashara wengi kusajili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nategemea kusafiri kwenda Lubumbashi, tarehe za mwisho wa mwezi January au mwanzoni wa feb. Je maeneo hayo kwa sasa ni salama kwa wageni, kama mimi kutoka bongo? Nilisikia kama tetesi za vita au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau habari za leo, nina hitaji kununua control box ya 'excavator mashine' aina ya volvo - PC220. Wadau naombeni ushauri haswa ni wapi nitaipata iliyo imara, sababu hapa nchini kwetu bidhaa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Bandugu mm ni mwalimu wa shule ya msingi, nisaidieni mawazo kwa mtaji wa 2ml nitoke vipi
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu Ni kampuni gani hapa Tanzania inayotoa huduma sahihi za "Umeme Jua"? Na gharama zake ziko je? Kwa mfano, umeme wa kutosheleza kuwasha vifaa vyote vya nyumbani: e.g. Friji, Pasi, TV/Radio...
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Benefits for members • a business directory that is listing highly recommended businesses only • the deepest discounts, exclusive deals, cash back, coupons, bonuses...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…