Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habarini wanaJF wenzangu, mwenya taarifa za shamba la kilimo cha umwagiliaji(mbogamboga) linalokodishwa kwa msimu wa mwaka mmoja naomba anisaidie. Shamba lisiwe mbali na Dar ili niwe na uwezo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
i am need of a cooking for all can of food asian,americano,even african food and a baking book too. hope the will be someone to show me where i can find them. thanks
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Kuna usemi unasema "It's easy to get new customers, but hard to retain them" What I know is Reputation is one of the pillar of a business in generating sales. Nimepost hii kwa sababu ni mara...
1 Reactions
2 Replies
966 Views
Taarif za makampuni makubwa (too big to fail or tech giants) kama Blackberry, Motorola, Siemens na hivi sasa Nokia kufulia kibiashara ni ya kutisha sana! Taarifa za hivi karibuni zinasema kuwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitwa Emmanuel, 23 yrs. Ni mwanachuo wa chuo fulani cha mifugo (ngazi ya diploma) mkoani Dodoma. Mnamo mwezi Julai hadi Septemba (miezi miwili) nitakua likizo. Ombi: Kwa mtu yeyote yule ambae...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninauwezo wakupata samaki sato wakubwa zaidi ya 30 kila siku, mwenye hotel au mwenye kuitaji naomba tuwasiliane,
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari ndugu wana jf, Nimatumaini kuwa tumeamka salama kabisa tuombe Mungu pia atujalie afya njema na kutubariki tuweze kupata mkate wetu wa kila Siku. Ndugu wana jamvi Mimi natafuta mpharmacia...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Wadau ningependa kujua gharama za kutuma pesa kutoka benki moja kwenda nyingine hapa nchini mfano NBC kwenda CRDB
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu,Tafadhali naomba msaada wenu wa mawazo jinsi ya kuwa wakala wa Bima. Ukianzia na taratibu zake mpaka kufikia kuwa Agent na pia gharama zake katika kulifanikisha hilo. Pia...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Wanajukwaa naomba anayejua nchi inayouza mitumba mizuri ya nguo;nataka nifanye biashara hiyo kuanzia mwezi mei 2014
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Hili shirika la ugavi la tanesco hasa mkoa wa shinyanga kila mala mnakatakata umeme kunatatizo gani au mnataka kutuunguzi vitu vyetu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii Siagi ya karanga imetengenezwa May 13, 2014 na ina-expire May 13, 2015 na imeingia tayari sokoni, najiuliza tu, TBS mko wapi na mnafanya kazi gani? Hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
As usually to me everywhere is my learning classroom. Today in my work cycles I went through a Market of Lushoto district. I saw a large number of people were buying and selling. Due to host of...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu ni njia ipi nzuri zaidi ya kutengeneza business capital from scratch? Yaani, kwa mfano una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji na lengo lako ni kupata mtaji mdogo na kuukuza haraka ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zaidi ya watu watano wakiwemo mabosi wa TelexFree wanashikiliwa na FBI/SEC kwa makosa ya jinai ya wizi kwa njia ya mtandao! Mamilioni ya 'wawekezaji' wanaidai TelexFree zaidi ya US$1b akiwemo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mh.Magufuli amedai bungeni kwamba serikali itaanza ujenzi wa barabara za juu Dar! Mie Mkweche najiuliza kweli kunahaja ya kujenga barabara za juu wakati barabara nyingi za mitaa ni Mbovu? kwanini...
5 Reactions
95 Replies
20K Views
Wadau,Nimemaliza chuo kikuu mwaka jana na napenda sana kujiajiri,naomba mwenye uelewa kidogo kuhusu Biashara ya Asali anijulishe.Nikiwa na maana ya soko(place & price),mtaji kiasi gani utafaa na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wana jf. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. Kutokana na kuwa na wateja weng kwenye mikoa ya mbeya,iringa na Rukwa. Tumedhamiria kufungua tawi mikoa ya mbeya,iringa na Rukwa. Hivyo tunahitaji...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Local investor’s $ 35m luxury lodge project hangs in the balanceBy Arusha Times CorrespondentAn Arusha-based local investor has complained to the government and its agencies over his stalled...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Naomba kujua kujua kodi ya kuleta gari aina ya suzuki escudo ya 2006 bei yake ni usd 8300 mpaka mombasa. Matumizi yake ya mafuta, uimara wake pamoja na spare. Ila siyo ya biashara.
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…