Salaam,
Nahitaji kutengeneza invoice book na receipt book kwaajili ya biashara yangu ndogo nnayoifanya nimeshatengeneza template yenye logo ya biashara.
Niwapi naweza pata huduma hii?
Asante.
Wadau natumai mko shwari. Leo nimepita hapa Korogwe, Tanga nimekuta msako wa TRA dhidi ya bajaji ambazo hazijalipa mapato. Hivi serikali hawakuiondoa bajaji kwenye kodi ya mapato? Mwenye taarifa...
Habari ndungu zangu.
Nahitaji mahali ambapo nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku haswa haswa hawa wa kisasa. Nimefuatilia sana kuhusu ufugaji. na nimepata mwanga kidogo lakini bado haitoshi...
Habari ndungu zangu,,, Nahitaji mahali ambapo
nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku haswa haswa hawa wa kisasa... Nimefuatilia sana kuhusu ufugaji. na nimepata mwanga kidogo lakini bado haitoshi...
jamani naamini teknolojia inakua siku hadi siku...........Mi nataka kujua kama kunauwezekano wa kutumia computer yangu kuwa narusha hela kwenye m-pesa, air tel mone na tigo pesa. kuliko kuendelea...
Habarini ndugu zangu, kwa upendo tu, naomba mnijuze kati ya tablets, s3, s4, au s5 n ipi kat ya hz zinazohitajika na kupendwa sana na watu. Nina mpango wa kuanza kuagiza bidhaa za nama hiyo na...
Kuchukua mkopo na kuanzisha biashara au kuchukua mkopo na kuanza ujenzi kama una kiwanja tayari kipi bora kianze wadau, karibuni kwa maoni na mawazo huru
Nimewaza sana kuhusu umuhimu wa ulevi wa pombe na sigara kwa walevi nikagundua kwamba ulevi huu hauna umuhimu wowote kwa wahusika, uwe wa kiafya au kiuchumi. Madhara ya pombe na sigara kwa...
Nimeanza kufuga kuku 15 jike 12 jogoo 3. Tatizo hapa Mpanda nilipo chanjo za kuku hazipatikani. Msaada kwa anayefahamu mitishamba ninayoweza kutumia kukinga na kutibu kuku zangu dhidi ya magonjwa...
Unaweza nitengezea Logo pamoja na hivi vitu hapa?:-
1.Proforma invoice template
2.Tax invoice template
3.Delivery note template
4.Headed Paper template.
5.Business Card template.
Kama ndio ni kwa...
mbegu ya kitunguu ni sababu mmojawapo kilimo cha kitunguu kuwa ghali,na mara nyng mbegu huwa huuzwa ghali sna napamoja kuwa ghali huwa hufanya vibaya nakuangusha wakulima.mara nyng makampuni...
Habarini wakuu.
Kwako Mjasiriamali unayetaka kuanzisha biashara au uliyeko kwenye biashara lazima utambue umuhimu wa kuwa na mpango wa biashara (business plan).
Malengo yake ni
1.kukusaidia...
Jamani members naomba msaada wenu wa kimawazo, baada ya kugraduate na kusota sana mtaani na ku hustler nimeweza ku-make 2m, sasa naomba msaada wenu wa kimawazo ya biashara ama nifanye kitu gani na...
Salaam wa wanaukumbi
naomba kujulishwa kama hapa dar es salaam kama kuna flat zinauzwa kwa njia ya malipo ya instlament yaani kama kuna mjenzi anajenga jengo la ghorofa kumi na zaidi na huwa...
kuna thread iliahi kuwepo huku kuhusu vikoba,i nimeifdanyia kazi na nimeanzisha kikundi cha vikoba arusha ambacho kinaanza leo tarehe 25 mwezi wa 4 2014,kwa wale walioko arusha wenye interest...
mashine ya kupikia/kutengenezea burger inauzwa zipo kubwa na ndogo....zote zinatakiwa 1.9milion tsh.ziko hapa dar.kama ulikua na ndoto ya kuwa na goli la kuuza burger kama jamaa wa pale moroco...