Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mtandao wa intaneti umekuwa sehemu ya maisha ya watu wengi kwa maisha ya sasa. Tanzania nayo inaongezeko kubwa la watumiaji wa intaneti, hususani kupitia simu za mkononi na 'tablet' computers...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau nilikua naomba kupewa uelewa zaidi jinsi ya kufuga kuku wa kienyeji na faida zake.....
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kutokana na shule nyingi hapa tanzania kushidwa kuwafundisha vijana kuhusu somo muhimu la kuhusu siri ya utajiri. Naomba kama una malengo ya kuwa tajiri, na unataka kujua siri ya utajiri...
0 Reactions
84 Replies
15K Views
Mimi sio mtaalam wa mambo ya Kiuchumi lkn kwa uelewa wangu naamini Nchi kuendelea kutengeneza fedha kubwa huko kunaonyesha Uchumi kuharibika. Kwa mfano Nchi ya Kenya fedha zake ziko juu sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunadesign na kuchora ramani aina zote, ukija kwetu tutakupatia floor plan, elevations, section, plumbing details,schedules, roof plan na 3d views. Ofisi zipo machinga complex floor ya nne wing ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26 nimeajiriwa katika kampuni moja mjini dar nina degree ya IT n' not married, naomba msaada wa kimawazo coz nataka kujiendeleza kimasomo au kufanya Biashara au...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
ASUS Vivo Book X202E Touch Screen for sale Windows 8 or other editions available Up to Intel® Core™ i3 3217U Processor žPrecision touchscreen for intuitive enjoyment Sleek and light...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Kuna njia nyingi ambazo unaweza kuzitumia ili kuboresha au kufanya biashara yako kwa kutumia mtandao. Katika nchi kama Marekani, Canada, Uingereza na Australia, njia hizi zinatumiwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu! Naomba msaada wa taarifa zitakazosaidia kufungua daycare. Mtu anahitaji kua na nini na nini kwa standard day care, natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Wapendwa Jf, watu wengi kwa sasa wanajishughulisha na miradi au biashara mbalimbali katika kupambana na umaskini au kujitoa katika ukata au katika harakati za kudumisha vipato vyao. Shughuli...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wanajamiiforums, nataka kufanya biashara ya mbao toka mufindi na kuziuza dar, kama kuna mu analolote ajualo Tafadhali naomba kujuzwa
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hello JF Members Mwaka 2013 nilifingua Kampuni (private limited company) ya Project Consultancy services & Sourcing and supplying general goods. Ofisi nimeanzia jijini Mbeya, katika hali ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hello, Kampuni ya KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED, kama kawaida tunaendelea kuwafanya watu mbalimbali wafanye shughuli zao kwa misingi imara ya Kiuratibu na Kiutekelezaji katika shughuli zao za...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba wadau nifahamisheni sehemu zenye 'gambling machines' Naupenda sana mchezo huo ila sijui wapi kuna kamari hiyo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Guys, I need your help. Nahitaji contacts, especially email address za Civil Contractors countrywide. I have some sources listing several civil contractors but most of them don't have email...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ghana will build a new US$900m gas-firedpower plant: Read more here on the same please: Africa to have the largest independent power plant built in Ghana - Construction Review Online the...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Jamani naombeni kupata msaada kati ya selcom na maxmalipo ni ipi bora kuichukua, kwa maana ya kuwa wakala? kwa kuangalia kama kuna tofauti kwenye commissions na effectiveness na vitu vingine...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Tanzania says to start work in 2015 on $3 bln mining and power project Thu Sep 25, 2014 1:03pm GMT Print | Single Page [-] Text [+]...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Vodacom Tanzania Wanasema if it ain't broke don't fix it.... Ni ukweli usiopingika kwamba Mawakala ni Business Partners wenu, bila Mawakala basi hata kama mteja wa mwisho anapata punguzo kubwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…