Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kumekuwepo na ongezeko kubwa sana la mabenki hapa Tanzania. Jambo linalonishangaza ni mabenki haya pamoja na wingi wake kushindwa kuwafikia waajiriwa wa serikali na wa sekta binafsi. Asilimia...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari za Jumapili hii , Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunifikisha tarehe kama ya leo, am so happy ila nazidi mwomba anifikishe 2015 pia. Leo napenda kuwafahamisha ya kwamba kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Lion attack victims flee hospital at nightSHARE BOOKMARKPRINTEMAILRATING Tarangire National Park game wardens look at carcasses of six lions after they were reportedly killed by residents of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu Mtanzania, ninatumaini u mzima wa afya njema! Merry Christmas and happy new year 2015. Katika kuhakikisha tunaboresha huduma zetu Kampuni ya Chinaworldbuz yenye makao makuu Shanghai...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
habari,naomba kwa ambae amewahi agiza bidhaa za online anipe mwongozo mfano bidhaa ikifika posta au ofisi za DHL kuna gharama gani za kulipa kama kodi??mfano umeagiza simu,nguo n.k
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naombeni ushauri kuhusu hizi online sales km kupatana etc je hazina matatizo kma utapeli na mengineyo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dhumuni la post hii ni kutaka kupata ushuhuda wa mafanikio katika biashara na vikwazo mbali mbali tunavyovipitia katika majukumu yetu ya kibiashara. Mpo waajiriwa mnaojihusisha na biashara kama...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei wa zaidi ya 40% haujaleta unafuu kwa mtumiaji wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu naomba kwa wale wenye uzoefu mtupatie mauzoefu hapa! Huko China kuna bidhaa gani ambazo naweza kununua na nikaja bongo nikapiga hela ya maana? Unafuu wake ukoje kwenye isue ya kodi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba ufafanuzi Kwa muda sasa nimesikia kwamba kuna makampuni ambayo hupata nafuu ya kodi( Tax holiday) lengo likiwa ni kuvutia uwekezaji nchini! Naomba kuelewa katika hili 1. Ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf. Nahitaj mkopo wa mil 3 kwa thamana ya kiwanja title deed Bunju B na hati ya mauzo ya shamba heka 1.5 liko mailmoja. Kurudisha ndan ya miez 2. Namba zangu 0656573552,0762462687
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA Kuna uvumi unazagaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuwa mmiliki wa VIP Enginering and Marketing Limited, "aliyekuwa anamiliki hisa IPTL Ndugu Rugemalira" amefungua kesi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Kaka yangu anauza gari yake as mentioned above, kwakua yeye hayupo Jf, nimemfanyia courtesy ya kupost link ya infromation kuhusu gari hiyo aliyoweka facebook...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada wahali na mali wanaJAMII, "Muhim sana". Si mda mrefu sana tangu nianze kuekeza nguvu zangu kujishughulisha binafsi (kujiajiri), ila napata shida sana katika kukuza na kuimarisha biashara...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naumba mdau yeyote anisaidie kunieleza benk zenye best interest rates za fixed accounts, kwa mfano, 1 month rate, 3 mothns rate,6 months rate and 12 months rate. Nitashukuru kwa ushirikiano
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta Hospital au DK mzuri wa mbwa. Tuwasiliane 0672514440
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hello Jamii forum members: Wazo hilo hapo juu nawasilisha kwa ushauri; Mimi nimefanyia ANALYSIS nimeona ni social enterprise nzuri kwa watu wa rika zote; wanafunzi na wasio wanafunzi. Jambo la...
0 Reactions
67 Replies
8K Views
Ukipitia maandiko mengi ya uchumi yanasema miaka ya sitini nchi nyingi za bara la Asia, zilikuwa na uchumi level moja na nchi nyingi za kiafrika kiuchumi. La kushangaza hivi leo wao kwetu ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tafadhali naomba kwa yeyote anayejua mahali naweza kupata/nunua net za kutengenezea green house anijulishe. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mambo vp waungwana, naomba kuuliza hivi hii habari ya viccoba saccoss ina ukweli kiasi gani, kupata mkopo ndani ya dakika 55, tujuzane wenye kujua..
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…