Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari, Kwa wale wanaohitaji unga wa ugali wa dona wawasiliane na mimi. Unga huu umetengenezwa kutokana na mahindi na ngano bila kukoboa ili kubakisha virutubisho vyake mhimu kwa afya, umeongezwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello Wanajamii! Bila shaka kila mtu anaendelea vizuri na kazi zake za kila siku na hatuna budi kushukuru kwa hilo. Tunapenda kupanga mambo yetu ya kimaisha na yanatakiwa yaende kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu faida na pengine madhara anayoweza pata mtumiaji wa maziwa ya unga NIDO,kwa maana kunadaktari moja alimshauri mama mjamzito atumie kwa wingi na dokta mwingine...
0 Reactions
4 Replies
12K Views
Nna shida ya kujua,nampata wapi dentist mzuri wa kusafisha meno yangu yana unjano,na kwa bei nafuu?
0 Reactions
0 Replies
774 Views
1) In the first 10 minutes: 10 teaspoons of sugar hit your system. (100% of your recommended daily intake.) You don’t immediately vomit from the overwhelming sweetness because phosphoric acid cuts...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
Mambo matatu husabibisha maradhi katika mwili: 1:Kuzungumza sana. 2:Kulala sana. 3:Kula sana. >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> Daima tuitumie fursa yetu ya uhai ipasavyo, tusipoteze wakati wetu...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
habari wanajf. nimekuwa na tatizo la mda mrefu sn la kukatika kwa nywele hasa wakati wa kuchana.kwa mwenye kufahamu dawa plz naomba msaada plz
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MBINU ZA KUKABILIANA NA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, KUPIZI HARAKA, NA KUSHINDWA KURUDIA RAUNDI YA PILI Tunapozungumzia upungufu wa nguvu za kiume tunakuwa katika uwanja mpana...
7 Reactions
23 Replies
40K Views
Kimeta ni ugonjwa wa hatari unasababishwa na vimelea vya bacteria. Bakteria hawa hujulikana kama Bacillus anthracis, bacteria ambao wana uwezo wa kufanya mbengu. Mbegu hizi ni seli ambazo huweza...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
-Citrus fruits Food sucha as oranges and grapefruits are high in Vitamin C, which improve memory and performance. -Eggs Eggs are high in a memory buillding vitamin called choline. -Fish (...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
  • Redirect
sikio lilianza kuwasha sana, kwa sasa linatoa majimaji likiambatana na maumivu fulani hv pamoja kuvimba kwa ndani, nini tatizo na dawa yake ni nini?
0 Reactions
Replies
Views
Khabari za saa hizi wanajamvi! Kwanza shukran zangu za dhati kwa huduma na Ushauri tunazopata humu ndani kwa Kweli ni zenye faida chungu nzima kwa jamiii Naomba Msaada plz niko na siku 3...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mi ninatatizo moja,yani naweza kukaa ofisini jasho likajaa kwenye kwapa shati lote linalowa kwenye kwapa,na kuhusu nywele za kwapani najithd kuziondoa kila mara,sasa kama kuna mtu anjua hili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do? Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi...
0 Reactions
34 Replies
14K Views
mama mjamzito miez 5 akijiskia maumivu chn ya kitovu mara kwa mara,tatzo nn.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Salam wakuu, Kwa siku nyingi nimekua nikisikia kwamba viroba vina madhara kwa binadamu. Nikawa najiuliza inakua vipi wakati vimepitishwa na shirika la viwango tanzania? Wengine wanasema...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Tumekuwa tukisikia bidhaa feki, trafiki feki, ARV feki, madawa feki. Jamani watz nani atatuokoa na majanga haya? Ebu soma feki nyingine hii hapa chini: KCMC yamnasa daktari feki akiandaa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Waheshimiwa naomba ushauri wenu/jina la dawa. Niliugua chickenpox last yr lakini baada ya kupona nimebaki na scars ambazo zimeharibu sura ya ngozi yangu na zinatisha ukiona. Niko serious na jambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu jamaa ni nouma ktk mambo ya upasuaji wa watoto walio ungana..amekua akialikwa nchi mbalimbali kusaidia upasuaji hasa Afrika kusini.Huyu jamaa ni mweusi kama sisi aliyetokea familia maskini...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
nna rafik yang wa kike ana tatzo la kutOkwa na ute mweupe ktk sehem zake za siri! na hajawah kufanya mapenz ht mara moja wala hapat muwashO wala maumv yyte ktk sehem zake! je waweza kuwa ni ugonjwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom