Habari zenu wadau. Jumamosi majuzi mwanangu alilazwa hospitali kwa shida ya maleria akiwa na kilo 13. Akadungwa sindano za kwinini akawa mzima tukaruhusiwa lakini daktari akasema anywe kwinini ya...
Low-grade liquid silicone injections as a penile enhancement procedure: Is bigger better?
Introduction
Penis size has been a source of anxiety for men throughout history, and still...
Na Gladness Mallya
Msanii bonge wa filamu Bongo ambaye hivi karibuni alieleza kusumbuliwa na tumbo chini ya kitovu (chango), Efrancyia Mangii ameshauriwa kufanya jitihada za kuzaa ili kuepukana...
Ndugu zangu habari za jioni? Naombeni dawa ya kutibu miguu yangu inapelekea hadi kiuno kuuma na mwili kuchoka, takribani miaka kumi sasa, nimeenda kila hospital bila mafanikio. Mzizi Mkavu na...
Nimekua na tatizo la kutokua na hamu ya kula chakula kwa miaka mingi. Mbali na ushauri wa kutumia dawa mbalimbali (za hospitali na za kienyeji) tatizo bado limeendelea!
Kwa kuwa nina uwezo wa...
Wakuu nilileta post hapa jana ya mtoto mzazi alikosea akaoverdose amoxylin capsule. Ana miaka 8. Walimchemshia maziwa na alipokunywa ghafla shingo ikaanza kukakamaa na ikawa inafanya hivyo kila...
Yote ni Matokeo ya tabia yangu ya kupenda rambaramba..mwishowe nikaangukia balaa... koo langu likawa ambushed hata kuarestiwa na wale wadudu
lakini nikaamua kumwambia Dk wangu MziziMkavu, nae...
Habari wana jamii,ninamtoto wa ndugu yangu yupo nyumbani ambaye mama yake alifariki wiki mbili baada ya kujfungua sasa amitmiza mwaka na nusu tatizo ni kwamba shingo haikazi mpaka sasa,hatembei...
Nimejaribu kugoogle,kusoma articles tofauti nimeona kuna maelezo tofauti kuhusu window period
kati ya wiki 8 hadi miezi 3 na kati ya wiki 8 hadi miezi 6.
Wataalam ipi ndo sahihi nataka kufunga...
Niliamka na kujisikia mwili wote kama umekakamaa na maumivu ya kichwa kwa mbaali. Nikajishauri niende hospitali haraka.
Daktari akataka nipimwe damu na mkojo.
Damu ilipatikana isipokuwa mkojo...
Habari!
Naamini wote mu wazima wa afya mimi kuna kitu kinanitatiza sana ya Uume wangu unatabia ya kusimasima ovyo hata sometime njiani jogoo linaweza wika kwa kwel ni muda kidogo sijala ile kitu...
WAHENGA wetu walitufundisha msemo unaosema; "Kila kizuri hakikosi kasoro". Ndiyo kusema kila jambo lina pande mbili, faida na hasara. Kwa watu wenye akili timamu wanachokifanya ni kujua hasara...
Wadau,mtoto wangu ana miezi 6 kasoro hvi,week iliyopta tulienda kumpima kliniki,ana kilo 9.5....nesi akasema uzito huo ni mkubwa sana ulilinganisha na umri wake.
naomba mniambie inasababishwa...
Habari wana JF
Sijui kama hili litakuwa jukwaa husika naomba mniwie radhi kama itakuwa vinginevyo.
Wanajamii ningeomba msaada kwa wale wenye uzoefu au ambao wanauelewa juu ya watoto, mwanangu wa...
Habari zenu wanajf wote!Maumivu chini ya kitovu/tumbo la chini ni tatzo linalowasumbua wanawake wengisana,chanzo cha maumivu hayo ni pamoja na maambuki ya magonjwambalimbili kama vile UTI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.