Mimi naomba ushauri wa hili tatizo mimi nikifanya mapenzi na mke wangu huwa napatwa na vishilingi kwenye sehemu za siri japo sijui kama nimetumia lugha sahihi .
Sasa sijui tatizo ni nini...
Habari wakuu,
Hiki ni kitu ambacho huwa mara kwa mara kinanitokea na yawezekana hata wewe imeshawahi kukutokea.
Mfano: Mnaweza kuwa kuwa group la watu kama tano mpo pamoja mnatembea, kati yenu...
Habari ndugu wanajamvi,na mdogo wangu aliyechaguliwa Bachelor in Medicine pale Herbat Kailuki.
Nilikuwa naomba kujua kama kuna mtu anajua agency(ies) ambazo zinawezakutoa udhamini ili kuweza...
Wana JF ,naomba kuuliza kama Kuna mtu alishawahi kutumia hizi products za kichina kama zinafanya kazi kwa uzuri please let me know .na kama Wana office Arusha iko maeneo yapi please.
Msaada kama...
1. Pombe husababisha ugomvi maana mtu akishalewa hajitambui anafanya nini.
2. UCHUMI : Kwanza pombe inakumalizia hela za matumizi muhimu kama vile kusomesha watoto, unabana budget ya vitu muhimu...
Kuonekana mrembo na mdogo imekuwa ni jambo la msingi sana katika tamaduni nyingi sasa. Katika ulimwengu wa sasa, tunaguswa sana na picha nyingi vutivu za watu maarufu. Kwa Tanzania tunao baadhi ya...
Habari wa JF,
Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 32. nina tatizo la miguu na mikono kuwa ya moto na pia kuwa na ganzi ni tatizo ambalo limeanza kama wiki 4 zilizopita saa nyingine hata nikivua...
Hi,kuna hii tendency nimekuwa naiona kwa akina mama waliozaa watoto waliowatosha,wanafunga kizazi kabisa ili kuepukana na hizi njia na uzazi wa mpango ambazo zina madhara kadha wa kadha.
Naombeni...
Utafiti mpya kabisa na wa hivi karibuni kutoka chuo kikuu cha Stanford nchini Marekani unaonesha kuna uhusiano mkubwa kati ya mafuta ya transfoma na nguvu za kiume.
Profesa Derrick Fitzgerald...
Shikamoo madaktari.
Mimi nina shida bwana shida yenyewe ni kwamba leo asubuhi nimeamka sijala chochote hadi muda huu nakuandikia kwako.Ila hadi sasa toka asubuhi nimeisha enda chooni haja kubwa...
Kama hali itaendelea hivi kizazi hiki hasa vijana wengi wa kiume hasa wa mjini watakabiliwa na tatizo kubwa la nguvu za kiume kwa kukosa lishe!
Katika utafiti wangu, nimegundua kuwa vijana wengi...
Mimi ni HIV positive, lakini bado sijaanza kutumia dawa za ARV'S, na mwili wangu unawasha sana hasa wakati wa usiku.
Nini dawa ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo la muwasho?
Wanaume wengi ama wameachwa, au wako mbioni kuachika au mke yupo mchepuko kwa sababu ya kushindwa kula Nyama tena ya stake.
Inakuwaje wewe mwanaume uliye na bibi mzuri unashindwa kumpa raha...
Hili tatizo la mgongo limenianza baada ya kuwa na hii gari ya sasa, nathibitisha ni sababu ya kuendesha gari.
Napata maumivu zaidi kama nitaendesha ktk barabara ya vumbi.
Naombeni uahauri!
Wadau,
Nina 102kgs, nimeamua kuanza kula mlo mmoja wa mchana tu, huku jioni nikipitisha na maji tu. Breakfast nayo ni Mara moja moja. Lengo langu ni kufika 85kgs.
Je, nini hasara ya njia hii...
kuna mtoto wa dada cjui anashida gan...afya yake sio nzuri ana mwaka mmoja ana kg 8... mtoto hali kitu chochote zaid ya uji na maji tu bt uji anauchanganyia....
mahindi
mchele
mtama mweupe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.