Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari, Nimeileta hii humu maana jukwaa la madaktari huchukua muda kupata msaada wa haraka, na huku ndio kuna wadau wengi. Akina mama mnafanyaje mtoto wa wiki tatu akifunga choo? Hospitali...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Naomba niulize kitu kuna ugonjwa wa kuchubuka mapaja kati ya mapumbu na mapaja yaani mapaja yanakuwa kama yameungua na moto hivi alafu kunakuwa na kaarufu fulani hivi, najua humu ndani kuna...
0 Reactions
24 Replies
15K Views
Hi Wana JF habarini za aasubuhi. Me niko pouwa sana kimwili ila kimawazo sio sana kuna huyu my first born wangu asumbuliwa sana na Mchango yaani usiku kucha kanalia do kiukwelnajisikia vibaya...
1 Reactions
7 Replies
29K Views
EWE MWANAMKE ITUMIE PEDI HII KWA AFYA YAKO. Neplily Ped Asili ya Jina la Neplily imetokana na muunganiko wa majina mawili ambayo ni ?Nep? kutoka kwa neno Neptunus ?Lily? kutoka kwa maua yaitwayo...
1 Reactions
0 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, Natumaini mpo wazima wa afya. Jamani embu nisaidieni wataalamu nina mpenzi wangu anasumbuliwa na maumivu chini ya kitovu anasema nyamanyama ambazo zipo chini ya kitovu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jukwaa nikwamba nina hali ya kutokwa jasho jingi nikifanya zoezi. Yaani kulowa jasho kawaida. Wakati mwingine hata ninapokula natokwa jasho. Je tatizo ni nini na linaishaje? Maana...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Habari wana jf, Naomba kuuliza ni madhara gani anayoweza kupata mama mjamzito au mtoto aliye tumboni ikiwa mama ametumia piriton bila ushauri wa daktari na pia amekula samaki aina ya papa na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu wa Nchi, naombeni kwa wale ndugu zetu wanaoishi China kama Kuna Dawa za KICHINA za kutibu kisukari type 2, diabetes, za kichina. Natanguliza shukrani mabibi na mabwana .
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Unakuta mtoto wa kiume ana miaka 4 kwenda 5. Bado hawezi kuongea kwa kuunganisha maneno ama anaongea neno moja tu, tofauti na wa kike. Tatizo ni nini WATAALAM?!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kulingana na vyakula tunavyokula, unajikuta mwilini una sumu nyingi kuliko virutubisho, sasa cha kufanya nunua majani ya kunde, yaoshe then yachemshe kama kwa dakika 15, iipue kisha kunywa supu...
1 Reactions
12 Replies
23K Views
Ugonjwa wa KASWENDE huchukua muda gani mpaka kuonesha dalili? Msada tafadhari mwenye UELEWA HUO ANISAIDIE. Asante
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi naomba ushauri wa hili tatizo mimi nikifanya mapenzi na mke wangu huwa napatwa na vishilingi kwenye sehemu za siri japo sijui kama nimetumia lugha sahihi . Sasa sijui tatizo ni nini...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Shikamoo doctors. Husika na kichwa cha habari hapo juu, je ipo? Ikiwezekana kuzuia kabisa yasitoke kwapani tu! Asante.
0 Reactions
4 Replies
16K Views
Habari wakuu, Hiki ni kitu ambacho huwa mara kwa mara kinanitokea na yawezekana hata wewe imeshawahi kukutokea. Mfano: Mnaweza kuwa kuwa group la watu kama tano mpo pamoja mnatembea, kati yenu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ndugu wanajamvi,na mdogo wangu aliyechaguliwa Bachelor in Medicine pale Herbat Kailuki. Nilikuwa naomba kujua kama kuna mtu anajua agency(ies) ambazo zinawezakutoa udhamini ili kuweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF ,naomba kuuliza kama Kuna mtu alishawahi kutumia hizi products za kichina kama zinafanya kazi kwa uzuri please let me know .na kama Wana office Arusha iko maeneo yapi please. Msaada kama...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
1. Pombe husababisha ugomvi maana mtu akishalewa hajitambui anafanya nini. 2. UCHUMI : Kwanza pombe inakumalizia hela za matumizi muhimu kama vile kusomesha watoto, unabana budget ya vitu muhimu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Msaada tafadhari Nimekuwa nikisumbuliwa na swala la kuto kula nyama nyekundu yaani nyama ya ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuonekana mrembo na mdogo imekuwa ni jambo la msingi sana katika tamaduni nyingi sasa. Katika ulimwengu wa sasa, tunaguswa sana na picha nyingi vutivu za watu maarufu. Kwa Tanzania tunao baadhi ya...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Back
Top Bottom