Sitasahau siku niliyoondoka nyumbani jioni huku nikiacha wanachambua #mchele ...
Na kurudi usiku na kukuta #ugali.....[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
*Leo admn kwenye group flani iv kasema wanawake ni kama vocha ukishatumia unatupa tuu*
*Nikamuuliza mama yake ni mtandao gani*
*Nashangaa naambiwa*
*You can't send massage to this group because...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Kuna wale ambao kutokana na sababu mbali mbali hatukupata kulelewa na mama zetu wazaz bali tulilelewa na mama zetu wa...
Mambo!
Ilihali weekend inaendelea kutambaa Na clubs,bars viunga vingine bata za batani zikiwa mwake
Mwake, DJ sepetu show inaendelea
Kukinukisha mbaya pande hizi za chitchat,ni mwendo Wa bandika...
Habari wanadungu wa jf,
Leo nipo kuwambia ukweli,yani humu ndani kuna Mdada nampenda mpaka basi, pamoja na msimamo wangu wote wangu wakutopenda wanawake nimeshindwa kuvumulia, huyu Dada yupo...
Tunacheza kombolela afu woote tunapatikana lakini mkaka mkubwa na mdada mkubwa hawaonekani saa nzima tunangoja waje kutuokoa lakini hawaji.
Shenzi kabisa sijui kwa nini sikushtuka mapema.
Ila...
Jamn naombei mnisaidie namna naweza kuzipata password zangu manake nmezisahau mpak naogopa kulog out na ninampango wa kubadilisha simu na hii account yangu nishaizoea naombei mnisaidie namna ya...
Hivi huuu utitiri wa avatar za pic za tundu lisu ni uzalendo kwa tundu lisu chama kampeni flani iv au ndio tunamliwaza maana naona jf zmezd mpaka naogopa
Wadada wengi wa mjini utakuta katika simu zao wako na picha ambazo ni tofauti na uhalisia wao.wanapost kwenye social network picha ambazo wamejifananisha na mbwa.na unakuta ni wanawake wakubwa tu...