JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadau; Nimewahi kwenda katika hospitali na kuandikiwa vipimo pamoja na dawa na wataalam wa tiba.Sina shaka na uwezo na utaalamu wao bali ninahoji iwapo ni busara kufanyan background check kwa tiba...
1 Reactions
8 Replies
822 Views
I bet you were a cute baby and everyone around fell in love with you immediately! Happy Birthday to the girl who has stolen my and relato heart! You have been so wonderfull to me and to My best...
11 Reactions
322 Replies
18K Views
Habari za asubuhi wapendwa wangu. Kama kichwa cha habari kinavyosema. Wengi wetu tunalalamikia kukaza kwa vyuma, ni kweli vimekaza lakini mbona akijitokeza mtu alainishe japo kidogo hamtaki...
3 Reactions
71 Replies
4K Views
Habari za majukumu wakubwa na wadogo zangu. Kwanini watu wengi wanapokuwa bafuni wakiwa na nguo ya juu na chini (suruali na shati) huanza na shati badala ya suruali? Jichunguze wewe na mwenzi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Watu wengine wajinga sana, Jana nimekaa na jamaa mmoja siti jirani kwenye basi tokea tunaanza safari kutoka Dar ubungo terminal tunaenda Morogoro . Basi Jamaa ananunua vitu anakula kula...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi kitu kama hiki kuna MTU kishawahi kumtokea
0 Reactions
7 Replies
2K Views
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Napinga kwa nguvu zote utani huu
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wale wataalam wanaotumia BBM embu tubadilishaneni pini.
1 Reactions
7 Replies
687 Views
Happy birthday to ME.Thanks almighty God for another year nazeeka sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] #humble#charming#philanthropist#gunnerhardfan# NB:Wazee wa chupa tutakua tunakiwasha mida ya...
4 Reactions
111 Replies
6K Views
Ebu dondosha ushauri wako hapa kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu especially wale wanaopewa mikopo ya kimasomo(Ada) na pesa za kujikimu katika kupambana na hali ya maisha yaliopo mtaani...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Moja kwa moja kwenye mada Mimi ni kijana sijaoa natafuta mke humu jf sababu zakutaka wanawake wahumu wameelimika na wanajua mambo mengi ya dunia Nawasilisha
4 Reactions
264 Replies
11K Views
Mwanza-Ukerewe Muda huu limepeta tetemeko La ardhi, eneo la nansio Ukerew limedumu kwa sekunde kati ya 3-5 . Nadhan tulio karibu na ziwe ndio tumelisikia vizur.
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanaume ni viumbe ambao kiasili na kimaumbile ni wenye nguv(masculine). Bahati mbaya wale ambao wasio na misuli sana ndio udhaifu wetu. Kwa udhoefu wangu wa maisha, hii ni mitego yetu wanaume. 1...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Maandalizi ya mapenzi siku hzi utafikiri unataka kupika pilau... Mara KY, condom, mafuta ya massage, Congo dust, pembeni redbull au roobust, maji makubwa na Konyagi [emoji23] Bado hujala mihogo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
habarini wakuu. kama kichwa cha habari kinavojieleza.
2 Reactions
34 Replies
3K Views
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] Nimecheza sana na hii kitu na mpaka leo nikikutana nayo siwezi acha lazima nizibonye
2 Reactions
6 Replies
887 Views
Mimi nikitoka na marafiki hua napenda kutumia vinywaji ivi; *Peroni Nastro Azuro *Safari *Robertson wine *Castle Milk Stout * Pepsi *Jack Daniels/ Smineoff / Zanzi....
4 Reactions
200 Replies
12K Views
LEO NIMEKUJA NA HII LIST YA MAGROUP MAARUFU YA FACEBOOK. NCHI NYINGI ZILIZOENDELEA UKIINGIA GOOGLE UKISEARCH MAGROUP YA FACEBOOK YA NCHI YOYOTE UNAYOITAFUTA UTAKUTANA NA LIST NYINGI SANA LAKINI...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…