JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kutokana na kuwa watu wa dar wamekuwa wakijiona wao ndo wao kwenye kila kitu na kuona sisi wa mikoani ni washamba nimeona bora nasi tuanzishe Forum yetu tuwe tunapeana Maujuzi mbalimbali na habari...
13 Reactions
62 Replies
4K Views
Kwenye nyimbo ya mahabuba wewe na aslay uliimba maneno matamu sana kama ''Wacha wapaki marange nimependa bodabodo" "Chai kwa andazi wala sinagashida" "Uniletee boga ninapomiss baga" Sahivi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau wakati najikumbusha kitabu flan cha shule ya msingi miaka yetu si tunasoma enzi za Mr na Mrs Daudi( nadhan kwa sasa watakuwa wamezeeka sana nasikia baraka yule mtoto wao mdogo ameoa miaka 5...
7 Reactions
91 Replies
6K Views
Habari za jioni? WABONGO WANAGAWANA MAJUKUMU KATIKA JIJI LA DARES-SALAAM KAZI KWELI IPO DAR bwana "Wizi" MBAGALA "umbea" MWANANYAMALA "mapenzi" KIGAMBON "vibaka" KARIAKOO "majivuno" MASAKI...
0 Reactions
4 Replies
696 Views
Katika maisha kuna mambo mengi yanachosha na kushangaza pia.yanaleta ukakasi. _Mtu kakuamini anakueleza tatizo lake,kama hujui jinsi ya kumsaidia/kumshauri mwambie ukweli tu,usianze kumweleleza...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama umezaliwa cku ya leo pita kwenye huu uzi ujinyakulie best wishes kibao. Mambo yakiwa mazuri zaidi cake [emoji512] zitatumwa hko uliko Karbu.
1 Reactions
0 Replies
454 Views
Hakuna kitu kinachoniudhi kama hhawa paka wanakuja kulilia dirishani kwangu usiku wa manane afu inaliaga kama mitoto. Niliwahi kutoka usiku wa manane na boksa tu kuwatimua walikuwa wanagombania...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
mfano. Nyani Ngabu. Hapo unaweza kumwita wee Nyani. Nataka tuone wale wenye id ya majina mawili na kuendele wakiitwa kwa jina moja inakuaje. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...
1 Reactions
211 Replies
11K Views
Waheshimiwa habari zenu. Hapo zamani za kale..2013 nil ikuwa member wa jf. Nilifanyaga ujinga wa kipumbavu eti natafuta mke na wakati nilikuwa nimeoa. Pm nilikuwa natongoza kila mtu. Ebwana eeh...
8 Reactions
98 Replies
5K Views
Kwa miaka mingi humu nilikuwa naongoza kwa kuwa na mabandiko mengi kushinda wengine. Nadhani hadi kufikia mwaka jana, kwa kipindi fulani, nilikuwa naongoza. Lakini kwa sasa hilo taji sinalo...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habarini wana jamvi? Napenda tujuzane mara ya kwanza kubet ilikuwaje na ulijiskiaje baada ya game upizobetia kumalizika? Binasfi mara ya kwanza kubet nilikuwa nakula bia mahala uku nacheki mechi...
4 Reactions
52 Replies
9K Views
Ts been a long week! 0kwa0p ndio mwanzo wa weekend so ladies mu behave wenzenu jaman.. Na boys msi take advantage kwa wanawake.. u never know who will scratch ur back.. Nakumbuka nyimbo moja ya...
0 Reactions
3 Replies
635 Views
Habari zenu wakuu Leo ningependa kila mtu aweke tukio lake alilowahi kuliona kwenye mabasi ya mikoani. Nikianza na mim mwenyew, Mwezi wa 1 nlkua natoka Dar naenda Moro ndani ya Alsaedy bus full...
5 Reactions
176 Replies
20K Views
Nilipokuwa darasa la nne Mwalimu wetu mmoja wa Hesabu hapo zamani alitupa quiz ya kuhesabu na kujumlisha toka 1 hadi 100 na tumpe jibu. Kipindi kilikwisha pasipo jibu. Siku iliyofuata alitupa...
0 Reactions
5 Replies
812 Views
*UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni hivi, wewe binti wewe....huna haja ya kuzungusha picha za watu ambao hawa
0 Reactions
8 Replies
977 Views
Wakuu nimetembelea Arusha nimetokea Nairobi nitakuwa hapa kwa siku tatu hivyo nahitaji kukuzwa viwanja vya ukweli kwenye madada poa wazuri ili hata kama natoa hela yangu nitoe kiroho safi...
0 Reactions
32 Replies
16K Views
1.profile yako iwe smart! kuanzia username,post zako na unazochangia hata akija kuchunguza hakuti mistake zaidi ya kuvutiwa tu 2.changamana nao kwenye majukwaa mbalimbali,taniana nao,zoeana...
5 Reactions
181 Replies
12K Views
Siri nzito hiyo ni ya viti vya plastic ukiviweka juani vinapasuka kwa hiyo kuwa makini Viongozi wa kampuni zinazotengeneza viti hivi waboreshe quality. Shumi
2 Reactions
62 Replies
12K Views
Katika ulimwengu ambao kinachofanyika hapa, kinaonekana hadi nje ya nchi, nimeanzisha kampeni ya kuwaokoa watu na uhalifu wa kimtandao. Kwa muda sasa nimekuwa nikifanya utafiti wa maswala haya ya...
1 Reactions
3 Replies
865 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…