Hii tulikua tunaiita hvo hivo kama ilivoandikwa ""sport"". yani ni wanafunzi wachache sana walikua wanarudi nyumbani bila huo mfuko kuwa na mafuta ya maandazi na bagia.
Sisi wanaume ndo ilikua...
Standing here looking out my window
My nights are long and my days are cold
Cause I don't have Mzigua90 by my side
How can I be so damn demanding?
I know you said that you are coming now
But I...
MAPENZI NI MATAMU ILA ACHA KIHEREHERE..
Ama hakika mapenzi ni matamu sana ukimpata akupendaye mkashibana. Kumjali mpenzi wako ni jambo la msingi sana lakini ni vizuri kuepuka kuwa na kiherehe...
ilikuwa hivi
Polisi: Jafari tumekuita ili tukuhoji kuhusu mali zako je uko tayari tuchukue maelezo
Jafari: Ndio niko tayari
Polisi: Hizi mali ulizipataje maana kipato chako halali hakiendani na...
Najiuliza tu hapa kama nina kazi na mshahara haumalizi hata mwez na sina majukum kiviiiile, hivi ambao hawana kaz kabisa wanaoshijeeee
Au ni mimi tu na matumiz yangu!!!
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako...
Ilikua tarehe 14/4 mwaka........ Siku ambayo mama yangu kipenzi kwa uwezo wake mwenyezi mungu alinileta duniani...... Namshukuru mungu nimekua na mpk sasa nakaribia kuitwa mama japo changamoto ni...
Mange kimambi wewe utabaki bila mume hata kama selikar ya kidunia itatulazimisha tuoe wanawake kumi kumi
Iv kweli kuna mwanaume jasir wa kwenda kumuoa mange kimambi?
Yaan ukiwa umelala unatakiwa...
Nawasalimia wanaJF chit-chat Mara ya mwisho nimeonekana humu mwishon mwa 2016 niliwamiss na nimerejea tena japo Mara chache nlikuwa nachungulia bila kuandika wala moment chochote.. Nafurah majina...
Hello wana chamvi, tangu nijiunge na mtandao the huu wa Jf nimekuwa nikifatilia baadhi ya thread za watu na hawa ndo nilitaman kuonana nao live (mubashara)
1.Demiss
2.Mzigua
3.Bujibuji...
Heshima kwenu wakuu.
Nimempigia simu jana Mzee mmoja huko kijijini.
Ni muda tulikuwa hatujawasiliana tangu January yani pale mwaka mpya.
Mimi: Mzee shikamoo
Mzee: Marahaba, hujambo mwanangu...