JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naaaaaaam Like ya ndugu yetu Max Melo imekua adimu sana kupatikana hapa jamvini. Binafsi mm nilishaipata moja kwa tabu sana. Sasa huu ni uzi maalumu wa kumfanya yeye mwenyewe akupe like...
1 Reactions
2 Replies
518 Views
Naaaaaaam Like ya ndugu yetu Max Melo imekua adimu sana kupatikana hapa jamvini. Binafsi mm nilishaipata moja kwa tabu sana. Sasa huu ni uzi maalumu wa kumfanya yeye mwenyewe akupe like...
0 Reactions
1 Replies
350 Views
Naaaaaaam Like ya ndugu yetu Max Melo imekua adimu sana kupatikana hapa jamvini. Binafsi mm nilishaipata moja kwa tabu sana. Sasa huu ni uzi maalumu wa kumfanya yeye mwenyewe akupe like...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
ITV kwa sasa taarifa ya habari ya saa 2 Watangazaji wanasoma muhtasari wa habari then wanazunguka nyuma kwenda kukaa katika viti na kuendelea na habari. Utaratibu huu nimeupenda sana hasa siku...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji85] [emoji87]
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Dear kipenzi changu siku zimefika, miaka …… umetimiza katika hii dunia. Hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, anayenipenda, anayeniheshimu, anayenithamini Hongera sana kwa wako wazazi kwa...
24 Reactions
280 Replies
13K Views
1 Pesa 2 Elimu 3 Cheo 4 Usafi
4 Reactions
102 Replies
12K Views
*Ujasiri ni nini?* *Ujasiri ni kupewa na baba yako elfu kumi alafu uikague mbele yake kama ni feki* [emoji23][emoji23]🤣🤣🤣
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Baunsa mmoja alikuwa kapumzika sehemu sehemu anakula upepo na ghafla dogo mmoja akamfuata. Huku akionyesha kujiamini yule dogo akamvagaa yule baunsa! DOGO: Oyaa bro saa ngapi? BAUNSA:Hebu ondoka...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale wapenz wa movies..funguka jina la movie unayoipenda .... Ukishindwa ya TZ taja za mbele bac Kama mm naikubal DEADPOOL Za kibongo tukiachana na za kanumba aisee...bado cjaona , (au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
[emoji121] Wash'kaji eeeeeeeh!!! Huku kitaa cha mivumoni_centre Ukiachana na hii njia ya 1 kwa 1 ya kuelekea madale, Kutokea tegeta_nyuki, Upande wa kushoto Kama waelekea mtaa mmoja wa kuitwa kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
WASH'KAJI EEEEEEEH! TUSIKILIZANE KIDOGO. KUTOKANA NA PILIKA ZA MAISHA HAPA MJINI, NIMELAZIMIKA KUHAMIA HUKU PANDE ZA GOBA_JUU, HAPA KWENYE MABANDA YA MKAA, KARIBU NA MNARA WA AIRTEL, UKIINGILIA...
14 Reactions
187 Replies
18K Views
Habari ya jumapili wapendwa. Ni miezi 10 sasa toka nijiunge hapa,kiukweli ninamengi nimejifunza,na bado naendelea kujifunza, ahsante marafiki niliowapata hapa,wakike pia hata wa kiume. Wengi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Miongoni mwa watu ambao wanaongoza kwa Chai hapa JF basi Mshana na Gudume ni Kiboko hebu nisaidie memba wengine wana chai safi niwatafute Kidogo maana kwangu huu ndo uwanja wa kuondoa Msongo wa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa. Mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu wa kiume wa miezi 6 akilia mnooo. Dada Wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza. Akamwimbia...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Adui mwombee njaa... Huu msemo pengine ndio maccm wanautumia ili kufanikisha azma yao ya kutaka kuufuta upinzani bila kujua ndio inajichimbia kaburi! Kufuatia wimbi la hama hama, ambapo wengi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KUNA AINA MBILI ZA WENYE MAJONZI NA KILIO.. KUNA WALE WANAOJIFUNGIA NDANI NA KULIA NA KUNAWANAOKUJA KULILIA HUMU JF Na kwenye mitandao mingine ya kijamii
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi Kisandu Junior mjukuu wa mzee Nalimi Ismaili leo nimetokewa na jambo ambalo nimepata aibu kidogo. Nilifika mgaawani nikaagiza chipsi yai nikaweka na mayonaizi juu asa kumbe mulemule...
10 Reactions
53 Replies
5K Views
Leo mimi mgeni(mwenyeji) jiji la Wagogo. Kama uko Rainbow karibu tusalimiane.
3 Reactions
72 Replies
8K Views
Bwana Mmoja alikuwa akiuza chumvi kila siku, biashara yake ya kuuza chumvi aliifanikisha kwa kutumia Punda wake.. Katika njia yake ya kwenda sokoni kuna mto huwa anavuka, kwa bahati mbaya siku...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…