JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama mchango wangu kwa jamii yangu, natoa mafunzo ya kuogelea bila ya malipo lkn siyo bure, karibuni wapendwa wote, ila vazi la kuogelea, usafiri wa kufika juu yako, nafanyia Jangwani beach...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnasifiana mno jamani,, unakuta KE anamsifia sana Mzee baba kwamba anajua majambozi, shauri yako alafu mashosti wako wakijilingesha...
11 Reactions
284 Replies
11K Views
*Jihadharini na wachapaji wa kadi za harusi.* *Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!* *Mchapaji aliombwa aweke 1Yohana 4:18 ktk kadi ya harusi lakini...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwanza sifa walizobarikiwa: Wengi wana akili na wasomi Wana mapenzi ya dhati Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini. Wanajua kuhongaa. Siyo...
36 Reactions
580 Replies
29K Views
Wakuu, Katika harakati za kusapoti Wamakonde wenzangu kwenye hiki kipengele cha kunywa uji wa mhogo usiokuwa na chumvi wala sukari, Nimehangaika sana maduka kibao ya huku tabata_barakuda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Niaje wazeiyaaah.. MKO Bwaxx.... Kesho lazima Ronaldo achukue ndoo ile kwan ni muhim kwenye mchakato wa ballon dor 2016 ambayo obvious kajamaa kanachukua (Messi tupa kuleee) Anyway, hao...
17 Reactions
86 Replies
13K Views
Niaje Wazeiyaaaaaah.... EBANA SAWA: Nimecheka mpaka kidogo nijikojolee baada ya kusikia madem wa humu MMU wanataka kuandamana kupinga kuitwa madem.... Yaani mnataka kuikana gender yenu...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Niaje wazeiyaaah.... Mko Bwaxx... EBANA SAWA : Mwanaume na akili timamu zilizo timamuka.... KWELI unataka kusema unaweza kuwa na mwanamke mmoja tuu maisha yako yote. Kwahiyo kama demu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tokea kuanza kwa kuchangamka JF Nakumbuka kipindi hicho sijabadili username, kuna watu hawa ndo walitawala hapa JF 1. malcolm Lumumba 2. Kagemro 3. Paul Makonda 4. BAK 5. @Ocampor Four 6. faiza...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Bila kupoteza muda wale memba wenzangu wa jf ambao wadogo zetu wameoa cc kaka zao na Dada zao hatujaoa wala kuolewa tukutane hapa tufarijiane
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Hey wananichit chat napenda sana hivi visamaki vya urembo naomba kujua matunzo yake yanakuwaje ili visife,kuvinunua gharama yake ipi pamoja na chombo cha kuwahifadhia navipenda sana kuna muda...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Naomba mnisaidie hili suala,kwa nini baada ya sex mnalala ghafla na kutuacha sisi tukiwa macho..mnachoka mnakuwa hoi Hebu tiririka majibu yenu coz huwa nachukia mwanaume anamaliza tu anaanza kukoroma
9 Reactions
152 Replies
19K Views
Jamani leo gheto langu jeupe kabisaaa...X wangu kasepa na baadhi ya vitu ghetoni kwangu. Vitu alivyochukua; Pufyumu 2, kioo, mafuta ya kupaka, Lotion aina 2, Powder 1, vipimo vyangu vya HIV 4 na...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2, moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka... Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nianze mimi mwenyewe Siku ya kwanza nimeingia kwenye kituo cha mwendokasi aisee sitokaa niisahau. Baada ya kupewa tiketi kwenye kuiscan ile tiketi palinitoa jasho. Akanisaidia dada mmoja mrembo...
9 Reactions
87 Replies
9K Views
Teacher:kila mwanafunzi hebu jaribu kufikikiria upo msituni halafu ukakutana na simba na hauna silaha yoyote,utafanya nini ili kujiokoa? dogo:mwalimu,ili nisiliwe na simba basi nitaacha kufikiria...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Ikiwa yapata nusu saa tokea kupaa kwake ndege moja iliyobeba abiria zaidi ya 200 ..ikasikika sauti tokea kwa rubani ikisema "injini moja haifanyi kazi na iliyobaki haina nguvu kabisa ni wakati wa...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Mambo vipi wadau,kichwa kinajieleza,mimi ni kijana mdogo tu nahitaji marafiki vijana kwaajili ya kubadilishana mawazo(hususani wasichana sio wanawake) na ni kiurafiki tuu kwaajili ya kubadilishana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naaaaaaam Like ya ndugu yetu Max Melo imekua adimu sana kupatikana hapa jamvini. Binafsi mm nilishaipata moja kwa tabu sana. Sasa huu ni uzi maalumu wa kumfanya yeye mwenyewe akupe like...
2 Reactions
14 Replies
987 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…