JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni)...
1 Reactions
142 Replies
9K Views
.
6 Reactions
88 Replies
11K Views
This is tanzania Weka kioja chochote kinachopatikana nchini na mwisho unamalizia na This is Tanzania. -Takribani lita laki 2 za mataputapu zinanywewa kila mwaka na watanzania na inakadiliwa...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Nisiwachoshe niende kwenye mada kama ifuatavyo:- Jana mida ya saa moja jioni niko mitaa ya karibu na chuo cha CBE hapa Dodoma Kuna bar moja napiga zangu bia huku nikiwa na kademu kamoja hivi...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Mke Bwaxx wazeiyaa (nilivosema wazeiyaa nikakumbuka zile mixtape za Virus za mzee sugu wakat anawaponda Mawingu FM RADIO ya wafu) Anyway, hao walikua wadhamini wa habar za mchezo ( Simaanishi...
3 Reactions
132 Replies
13K Views
Wasalam, Kumekuwa na hii kauli "utakufa siku si zako" ambayo husemwa kwa mtu pengine mwenye tabia ambayo si ya kukubalika katika jamii,mfano wizi,tamaa,uzinzi,sifa za kijinga, nk nk. Ama...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
NDO MAANA NALIA...!!!! Wakiwa wamelala, mke aliota ndoto mbaya. Kwa wahka na kihoro, alikurupuka usingizini na kuanza kulia. Mumewe alimtuliza na kumuuliza kwanini analia. Mke akajibu: "Nimeota...
7 Reactions
15 Replies
5K Views
Njia rahisi ya kumwambia demu wako ni mbaya bila kumkera, "baby unajua uzuri wako ni wa tofauti kabisa"[emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mda mwengine kamasi yanachuruzika afu upo mbele za watu yani mi uwaga nafuta kwa shati au kwa mkono tu
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari za kutwa wakuu.? Naomba msaada jinsi ya kupata code za TCU nilifanya maombi nimedahiliwa zaidi ya chuo kimoja.. Yeyote anaejua jinsi ya kuzipata msaada tafadhar Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
6 Replies
791 Views
Nahisi dunia nzima hakuna kiumbe kinachonifikia au kunizidi kwa kupiga nyeto Kwenye masaa 24 ,masaa 17 yote nayatumia kwa kupigia nyeto
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoelezea wale wana jf wenzangu mliowahi kuungwa katika ma group ya whatspp yakakutanisha watoto wazuli na warembo Mimi upande nilishawahi kuugwa ma group flani...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu heshima kwenu Katika mizunguko yangu nimekuwa nikienda vijijini mara kwa mara lakini karibu Wanawake wote (pengine wote) wa vijijini si wazuri wa sura wala maumbo (mfano vitambi vingi sana...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Anaongea huku mkono unafanya surveying kwingine...
0 Reactions
4 Replies
811 Views
Wakuu, Kusema kweli nawashangaa watu wengi sana. Mtu unaishi peke yako, alafu unatumia Tsh 10,000 nzima kwa ajili ya msosi tu. Tena kwa ajili yako wewe mwenyewe. Hiyo ni anasa na ufujaji wa...
11 Reactions
152 Replies
8K Views
Kichwa cha mada kinajieleza, jina lako ulilopewa na wazazi wako linaanza na herufi gani...
2 Reactions
469 Replies
28K Views
habarini wanajamvi, Nasafari ya siku 3 mjini moshi, kwa wenyeji wa mji huo naombeni kufahamishwa sehemu za malazi(lodge/hotel) za bei nafauu kuanzia Tshs. 20000 hadi 30000. Asanten
0 Reactions
3 Replies
881 Views
wana jukwaa hivi nyie wanawake mkitongozwa na mkakubali mnachuka muda gani kuanza kuomba pesa? au tuseme kunyenga au kuhonga kuna mdada kumu kanisikitisha sana kwa kweli ata kama hali ya magu...
1 Reactions
57 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…