JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo ni siku yako mamiiii. Tunakutakia Heri, Baraka na Amani tele katika siku yako hii. Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu wenye Baraka na Mafanikio tele ndani yake. In Shaa Allah. Kwa niaba ya...
15 Reactions
560 Replies
30K Views
Wakuu habari za asubuhi, Iko hivi,wanawake karibu wote,narudia,karibu wote wamekuwa warahisi mno kutuvulia vyupi (na wengi wao pia huvua wenyewe) yaani kwa mfano umepanda daladala ukamtokea...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Nunua Super Glue bandika joints zote za toy kisha muachie hapo hata alibamize vipi halivunjiki...problem solved hasa haya matoy ya kichaina chaina
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Kijana Diamond tena katika mashairi ya wimbo wa "Katika"
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jana jioni tumemzika jamaa mmoja mtu wa makamu kiasi, nadhani umri wake ni kati ya miaka 55 hadi 59 maana nilisikia kwenye salam za rambirambi kua alikua amebakiza miaka kama miwili astaafu...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
1.Kabla Ya Kuanza Kufungua, Hakikisha Chupa Yenye Shampeni Imehifadhiwa Kwenye Ubaridi Kwa Muda Fulani Kwani Kinywaji Hiki Ni Bora Zaidi Kikinywewa Kikiwa Baridi. Unaweza Usiweke Kwenye Baridi...
9 Reactions
31 Replies
8K Views
2 Reactions
13 Replies
979 Views
Eti ukitaka kumuuliza baba yako ww ni mtt wa ngapi kuzaliwa kwa kingereza, utamuulizaje..,!? atakaepata mh....!!
1 Reactions
68 Replies
15K Views
Tukiondoa dar es salaam..kulikobaki ni mikoani??? Je Dar es salaaam sio mkoa??? Au mkuu wa mkoa wa dar ni mkuu wa nin [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] "wanaume" na "wanawake" "wa mikoani"...
0 Reactions
5 Replies
649 Views
Hapa jijini kuna watu wa makabila mengi ambayo ni wahamiaji ukiachana na wazaramo na wandengereko ambao kazi yao kubwa ni kucheza bao,ngoma,ukuli nk nk. Sasa baada ya watu wa makabila mengine...
4 Reactions
69 Replies
5K Views
Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time. Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika...
30 Reactions
387 Replies
32K Views
Kila binadamu anapopata Nafasi ya kutulia hujiwa angalau na fikra na mawazo fulani yenye mantiki, labda ya kuwaza na kuwazua mafanikio aliyoyafikia na changamoto alizokutana nazo! Nakaa...
7 Reactions
84 Replies
5K Views
Nimewaza hapa naona upishi wa ugali huwa unatumia nguvu nyingi sana na kuna kuwa na vurugu sana. Hamna chakula kinapikwa kwa nguvu kama Ugali. Kwanza unakuta sufuria inabanwa kisawasawa na boi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika maisha ya ujana hasa mahusiano kuna changamoto nyingi Sana tunakutana nazo.. Ilaa suala la MTU ulienae kwenye mahusiano kubeba Ujauzito na mwanaume hujajipanga Huwa linachanganya Sana akili...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii ni mara ya tatu ( 3 ) leo napanda Gari zile ' Eicher ' za Gongo la Mboto kwenda Ubungo SIMU 2000 halafu nakumbana na Abiria anayejamba ' Ushuzi ' mbaya utadhani ' dampo ' lote la Pugu lipo '...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
WANAWAKE MUNGU ANAWAONA CHECK WANAVYOPENDA uongo kuliko ukweli inbox(FB/TSAP MSELA; oi niaje mchuchu? ? Demu; p MSELA; pande zip mrembo Demu; mbagala MSELA; nimekutamani sana mchumba hadi mzuka...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Maisha ya Uswahilini. Unamwazima mtu sabuni ya kuoshea vyombo inarudi ina nywele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tupia kituko chochote cha uswahilini kwenu
14 Reactions
174 Replies
19K Views
Mazungumzo ya vijana wa kileo kuhusu mahusiano. BAE WAKE: Nakupenda kwa moyo wangu woote mpenzi wangu. YEYE: Nakupenda pia mpenzi wangu. BAE WAKE: Una ahidii kunipenda milele? YEYE: YES...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…