JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna comments nyingine ni kiboko hahaaaaaaaa Huyu Amber Rutty asichelewe kutoa video nyingine basi kama ali kiba mashabiki wake tunasubiri video mpya alafu asiendelee kuomba msamaha bwana sisi...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Bwana yesu asifiwe Wana jf.Wanasema mficha maradhi kifo humuumbua,yamenifika mdogo wenu mpaka nimekuja mbele zenu kwa unyenyekevu wa Hali ya juu Sana.Mimi nina wazo la kibiashara ambalo linahitaji...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Aman iwe juu yenu LONDON BOY Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
14 Replies
1K Views
BREAKING NEWZ: ALI KIBA kortini baada ya kusema uongo hadharani! Mamlaka ya mapata tanzania PCCB imesema magari yote yanayoingizwa nchini yakalipie ushuru mara moja katika ofisi ya EWURA...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kinachofanya wajione wao bora na wazurii ni Sisi wanaume tunapenda kuwasifu lakinii ukweli ni kwamba hawana uzuriii wowote ndo maana vitu vya urembo vimekuwa vingi kwao ili wapendeze waonekane...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna wasiojua kusoma na kuandiaka, kuna wasio was uwezo wa English Medium lakini ni wapiga kura wazuri tu wa CCM.
2 Reactions
3 Replies
968 Views
Ile umekosea kitu Fulani ambacho wazazi hawakipendi umefika home maza anakwambia 1.katafute kiboko mwenyewe 2.chagua kifaa kinachokufaa, hapo kuna mwiko, kiatu, ufagio na bakora mbichi inanesa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Paper flavoured
0 Reactions
14 Replies
1K Views
TOFAUTI YA UCHANGIAJI WA MADA KTK FACEBOOK, KATI YA MAREKANI NA BONGO: Hello, Naitwa Sandra, Nipo New York, nampenda mume wangu Sana, naweza kufanya chochote ili nimridhishe na kumfurahisha...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Aman iwe juu yenu wakuu Karbu sana tupige story mbili tatu kuhusu Maisha ya hapo kale wazazi na sehem tunazotoka Jukwaa hili siyo la wasukuma peke yao ila ni la watu wote, nimeamua kuandika...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
wachaw mtuonee huruma mda mwingine tunarud mageton tumechoka na nyie usik mnafanya yenu toka juzi mnanipa kabari nawachora tu yaan usik wa kuamkia leo kabisa nakabwa usingizin naona mguu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
1; *_Kukojoa nyuma ya choo_* 2; *_Mke analala ukutani_* 3; *_Ufagio unakaa nyuma ya mlango_* 4; *_Kuna ile sahani na mabakuli mazuri ya udongo hutumika mgeni akija tu_* 5; *_Ukiwa tajiri watu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
WABONGO TUNAGAWANA MAJUKUMU KATIKA JIJI LA DARES-SALAAM KAZI KWELI IPO HAPO............... DAR bwana Tunagawana majukumu tuu "Wizi" MBAGALA "umbea" MWANANYAMALA "mapenzi" KIGAMBON "vibaka"...
1 Reactions
6 Replies
925 Views
Aisee hili dude nakumbuka mdogo wangu wa kike alikuwaga nalo na muda wote alikuwa analicheza muda wote yani. Lilikuwa linanikera na makelele yake, unakuta umelala usiku au unatafuta usingizi...
17 Reactions
114 Replies
7K Views
Huku kwetu Uswahilini choo kinatumika masaa 24 ya siku katika siku saba za Juma. Huna haja ya kusubiri tank lijae, unamsubiri aliendani amalize na wewe unaingia. Kama utakutana na ajali...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Enzi zile Amina chipufa na Masood kipanya walikuwa ni watangazaji wa clouds wanawahoji watoto,enzi hizo old bongo hits wasanii wa Kali wakina Jay moe,ngwair,solo thang,Prof Jay,na wengine wengi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo mnaungana na anayeminya uhuru wa bunge kumkandamiza msema ukweli ila mkumbuke ipo siku huyo anayewatuma kufanya yote hayo atalidhalilisha kweli bunge na mtakosa la kumfanya na mkitaka kuitisha...
1 Reactions
4 Replies
881 Views
Kwanini mwanamke akiwa mwepesi kuingia line unapomtongoza huwa hawawagi na mzuka na ushawishi saana kama wale wanawake wanaozuga kukaza kaza nati kidogo na kuzunushana sana. Any Thoughts...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…