JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ujinga ni et unajinyonga kisa Mwanamke ambaye umemkuta sio bikra amekukataa halafu unatuachia na ujumbe ili kutusumbua. .Kuna wanaume Mungu awarehemu maana nikisema mm mtasema nawatukana.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ikawa baada ya mambo hayo, mke wa bwana wake akamtamani Yusufu, akamwambia, Lala nami. Lakini akakataa, akamwambia mke wa bwana wake, Tazama, bwana wangu hajui kitu kilichowekwa kwangu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
This thread is sponsored by Iphone XR Eebanaee Comrade hapa! Its one more time! Kwa style tofauti kidogo. Aseee way back kidogo enzi hizo, kipepe nikiwa naskuli katika shule ya msingi fulani...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Happy birthday wakunyumba wangu, rafiki yangu kipenzi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]mie na wewe tunajuana wenyewe [emoji847] nakuombea kwa Mungu akupe kila hitaji lako la moyo litimie kwa...
21 Reactions
127 Replies
9K Views
Wakuu kwema? Naomba mwenye historia ya MULLAH OMARY yule mataliban alipotea mwaka 1999 mapa leo hajulikanai alipo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwanamke siku zote huwa anaamin mme ndie atakaeanza kufa. Kama unabisha mwambie 'hii nyumba nataka tuiuze' utaskia alafu siku ukifa mi nitaishije na watoto?
5 Reactions
5 Replies
2K Views
haluuuuu limependezaje sasa? mwaya wala usiwaze utalipataje bali fanya hivi. weka pesa kwenye simu yako yaani mpesa, ama tigo pesa, ama airtel money, ama ezypesa. kisha ingia jf upande wa...
13 Reactions
101 Replies
7K Views
Mie mwenyewe bila kufosiwa nilivuta maskani (nilikua na kipimo maalum) Sasa mambo ya masifa yalipoanza nikaanza kuongeza dozi(si unajua tena kushinda shinda stand nikajiona dereva) Nakumbuka...
4 Reactions
5 Replies
885 Views
Title inajieleza. Mpiga punyeto maarufu au mbobezi hata umwozeshe mabinti 100 au zaidi ambao wameshinda taji la urembo ndani ya nchi zao haachi ng'o. Hata umwoze kijiji kizima haachi ng'o. Mpiga...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Hbr zenu wanajf Kama kichwa cha habari kinavyojielezea Aisee Ni muda sasa (sijui ni mm tu au na wenzangu) nikigoogle vitu vingi vinatokea vya JamiiForums Let’s say umegoogle kuhusu ajira...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Bandugu na jambo moya nabasalimu shana hapa Bukavu ndio tunatomboka masasi ya M23 yapita kwa juu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna siku nilikua nasafiri na rafiki zangu wawili mmoja ni mwanajeshi. Akawa anapondea sana tattoo yeye na huyo mwingine. Wakawa mpaka wanatoa mfano wa rafiki yetu mwingine mwenye tattoo kwamba...
11 Reactions
385 Replies
29K Views
Monday Quiz
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ameongea kiutani huku anacheka lakini naona huu ujumbe amenifikishia mm indirect,, WAKUU HAPA MLITOKAJE?
0 Reactions
94 Replies
10K Views
Wasichana watatu walikuwa wanaoga katika bafu moja wakiwa uchi, ghafla mvulana mmoja akatokea. Msichana wa kwanza akaficha matiti yake Msichana wa pili akaficha uchi wake Msichana wa tatu akaficha...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nani mgunduzi
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekutana na warembo kadhaa siku ya leo! mwenyezi mungu utabaki kuwa juu mpaka ukamilifu wa dahari! amen!!!
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale wanaoishi mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma, tunawaletea huduma mpya! Ewe ndugu uliye katika ndoa (mume ama mke) tunakupa huduma ya kuja kukukamata mbele ya mwenzi wako siku ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
If time travel is possible and if we go to our past and kill our self , Would we die?!
1 Reactions
10 Replies
975 Views
Yaani nimenda hotelini kunywa chai Msukuma sasa hapo tukakuta wasukuma wengine wanakipiga kisukuma yeye akawa mkalimani wangu ila aliponogewa akaniacha njia ya panda maana akaungana nao akawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…