Rafiki zangu Kwakweli Mungu Ni Mwema ,Nimepata Kazi NMB Kama Loan Officer J3 naanza Kazi
0 likes , O Comments
Hello Nimefukuzwa Kazi Hapa Kazini Kwangu ,Hivyo Nipo Home Kupisha Uchunguzi Kwanza...
KITUO CHA KUULIZA MASWALI YA KIFALA 1- NA WEWE ULIZA LAKO NA UTAPEWA MAJIBU NA WADAU MBALI MBALI
i. Shilingi 1000/-ni bei gani?- Kisa wa Mbeya
JIBU:Ndugu yangu swali lako zuri sana, uchumi kwa...
D to K, ninapokua home wananiita Dingi kwenye Kaya.
katika JF nzima, jukwaa hili ndilo mmejaa watoto kibao, mnajadili madudu tuu, njooni kule JAMII INTELIGENCE tuumize vichwa, sio mnaleta mambo...
Taarifa za ndani kutoka uwanja wa Taifa ni kwamba Msemaji wa Simba Haji Manara alizimia kabla ya mechi kumalizika baada ya vijana wa UD Songo kupata goli la kuongoza.
Baada ya kupata huduma ya...
Je,ww ni mtumiaji wa truecaller ile application kwenye simu basi hii inakuhusu, truecaller ni application ya kutambua namba ngeni inayokupigia sasa basi kama ww unaitumia hyo uko kwenye hatar...
Jumuiya ya Mabaharia kwa Kushiriana na jumuiya changa ya Maharia wanakuletea Kufuli Maridhawa za Kufunga PM
Kujipatia kufuli fika kwenye Ofisi za Mabaharia, ama muone Baharia alie karibu nawe bei...
katika pita pita zangu huko nimekutana na post ya huyu mzee wetu ,analalamika wadada wa bongo mna vizinga sana yu know, na hapo yupo jikoni na le super pajamaz you know ,gadidamu itiii
Kuna watu majasiri ,
Rubani kijana atorosha ndege
Rubani mmoja raia wa Tanzania anashikiliwa katika kituo cha polisi hapa Johanesburg Afrika ya kusini kwa tuhuma za kujaribu kutorosha ndege...
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya Mbagala, akanishtua kwa nyuma akisema "Malogymathematic ndio wewe!? upo kaka?" Nikamjibu nipo kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao akacheka sana...
Ni hivi:
Nimejikalia zangu bar na ki elfu tano changu cha mawazo, na sasa najipatia kakinywaji kangu uchwara ka balimi huku nacheki mechi ya spurs na arsenal.
Wakati mimi nakunywa kibalimi changu...
Wana JF natumahi wote mko poa..
Sina nia ya kumjua Mshana kiundani kwani hata nikitaka huenda akazuia ufaham wangu wa akili...
Mara kadhaa sasa amekuwa akipotea humu Jukwaani na hili...
Nauza Man u mbovu na Chelsea chakavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Team zimechokaa balaaa yani kuwa shabiki wa hizi timu no diet tosha stress zake ni balaaa bora Chelsea haina wachezaji wa...
Mshindi wa kwanza atakayejibu kwa usahihi nilichokuwa nachati hapa atajipatia pesa taslimu laki moja za kitanzania leo leo. Changamkieni fursa,
Picha hiyo hapo [emoji116]
JF imekuwa kwangu ni kama kilevi ambacho huwa kila siku lazima niingie uswahili wanasema kama una mademu zaidi ya wa 4 unauwezekano kila siku ya kupiga mambo.
Mambo yaliyopo humu JF si haba ni...
Mimi ni registered nurse, natafta mtu wa kubadilishana naw kituo Cha kazi, aje Mara Tarime DC, Mimi niende Dodoma, au Dar es salaam, kwa maelezo 0758388618
Aman iwe nanyi wapendwa
Niko kwenye huzun kubwa sana aisee
Ni siku nyingi sana simuon huyu kipenz changu jjes
Sijui hata yuko wap
Mara ya mwisho kuonana naye na kuongea naye ilikuwa ni mwez...