Asee.. Katika Pitapita zangu si nikakutana na hii nikasema kweli wadada noma
"Shoga bwana aliyekuhaidi atakulipia kodi nimemkuta anakata mauno ili ajishidie t shirt ya...
Majina ya vijana wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya JKT yametangazwa.
Kutangazwa kwa majina haya kumezirudisha nyuma kumbu kumbu zangu yapata miaka miwili sasa.
Tulikuwa Range(Mazoezi ya ulengaji...
Wakuu wangu ni matumaini yangu ni wazima wa afya, hii leo tukumbuke na kukumbushana kumbi mbali mbali zilizo wahi kuvuma na maarufu za starehe enzi hizo kuanzia miaka ya 80 mpaka 90.... Naanza...
Waswahili wanasema mkaa bure sio sawa na mtembea bure. Hii Ni moja Kati ya misemo yenye maudhui sana.
Moja Kati ya Maana zake ikimaanisha kuwa kuzunguka katika sehemu mbalimbali katika ulimwengu...
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI
••••••••••••••• •••••••
Jambazi akasema "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu",
wote wakalala chini (HII INAITWA
DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha...
NIngependa tushare some details kuhusu jina, avatars uliitoa wapi au inamaanisha nini.
Sema chochote kuhusu jina/avatar yako uliyoweka profile.
Mfano yangu: Miaka kama 3 hivi nilikuwa napenda...
Wasalaam wana bodi, kwa muda mrefu nilipotea jamvini kutokana na mihangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku.
Kwa muda wote huo nimepotezana na dada yangu kipenzi SHUNIE,popote ulipo kaka yako...
Never give up on one another.
Love can overcome all forms of hate.
Love is strong.
Love is real.
Hold on to it and never let go.
Also. Always. Love God!!!
Leo sisalimii mtu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka acha niende spidi ya treni ya Umeme. Nilikua naskia story za konyagi kuwa ni hatari sana ukipiga afu ukaenda kugegeda. Sikuwai experience...
Wana CC, mko poa?
Heshima kwenu...
Kuna mambo yanaendelea hapa sijaelewa elewa ati.. Ukianzia na haya ya Eda ya Mamndenyi, source hapa ni Arushaone!
Afu kuna ishu ya Mr. Rocky na Dena...
Nahisi urembo wangu umevuka mipaka, wanaume wanahangaika sana kunipata adi nawahurumia kuna wanaonihonga viwanja wengne magari adi wengne wameacha adi familia zao kunipata mie kichwaBOGA. Sijui...
Ninalenga kuonyesha kuwa kutoka ghorofa moja mpaka jingine kunakuwa na kakibaraza karefu kidogo ili MTU anapoanguka asiende chini moja kwa moja aweze kukwama japo naweza kuwa nimevichora virefu...
Habari za majukumu wakuu?
Katika kuhangaika kutafuta mkate wetu wa kila siku. Leo nipo hapa Dakawa, Morogoro.
Kwa aliye pande hizi tutafutane. Nipo leo tu .kesho inshaallah nitaondoka hapa...