JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Salamu wadau. Kumekuwa na taarifa kwamba, kuanzia Julai Mosi, bei za bia zingeshuka, zilizokuwa zikiuzwa Tsh. 1,500 zingeuzwa Tsh. 1,000. Zilizokuwa zikiuzwa Tsh. 2,000 zingeuzwa Tsh. 1,500...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Mchumba ulikutana nae kazini. Wazazi walisikia uwepo wako katika maisha ya binti yao. Kilichokupeleka ghafra ni taalifa ya ugonjwa wa mama yake. Mezani mnakuta vyakula vyote na kilichokosa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Serikali si mmeona kunipa ajira Ni kipengele nikiingia Uzi wa vyakula natamani mamisosi ya kumwaga na mazagaazaga Ila ndo vile Tena Sina mahela.. Sasa Mimi Ni mjanja siwezi kukwama kula matunda...
2 Reactions
3 Replies
584 Views
Mimi nina apps mbili tu Tuu ambazo Ninamiliki kwenye simu yangu nazo ni Twitter na WhatsApp. Facebook niliiacha kitambo kwa sababu ya kuwa na limited number of friends Kule Vichwa vipanga ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni swali dogo kama la mzaha hivi lakini ukiulizwa kwa haraka haraka unaweza kosa jibu au ukajibu kile unachokiona /waza. Je!ukiulizwa hili swali utajibu nini.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimejaribu kutafakari. 99% ya furaha ya mwanaume ni uwepo wa mwanamke Je maisha bila mwanamke yangewezekana? Ni wazo tuu.
1 Reactions
68 Replies
3K Views
Habari Rafiki, Umewahi kupanda usafiri wa uma kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine? Kwa bahati nzuri ukakutana na mtu mkazoeana kweli halafu wakati wa kushuka mkapotezana na hukuweza kupata...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Mi nina swali, hivi Inakuaje watu wanapendana hadi wanavaa sare hadi wanaoana? Seriously mtuibie Siri tunakwama wapi wengine ndo tunazeeka hivo.
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu hebu tujaribu kupeana maujanja ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke make kuna watoto wengine wazinguaje unamfata mpaka mara therathini lakini bado kakaza kamba. Kwa walio pitia magumu...
1 Reactions
89 Replies
7K Views
Hivi ukiambiwa uchague Bia na Kitimoto utachagua kipi? Usije kusema vinaendana pamoja 🤗🤗akili za Naantombe Mushi 🤗🤗🤗
6 Reactions
188 Replies
16K Views
Yaani huyu jamaa kachukua salama, akaweka nzi wale wakubwa watatu na kisha akajivisha kwenye mahala pake (akaivaa ..ndom na nzi wakiwemo ndani ya sox kwa mbele. Sasa...... Wale nzi walipo anza...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh.500,000/= kila mmoja huku...
23 Reactions
60 Replies
5K Views
Ukiachana kushughulika na shida za watu hakika utafanikiwa ndo maana matajiri Wengi Wana roho ngumu.sie wengine tuna huruma Sana hatuwezi kukuona unakufa tukashindwa kukusaidia na huku tuna...
1 Reactions
7 Replies
662 Views
Jaza nafasi iliyo wazi kwa YES or NO Oh_________ I'm an idiot Bila kusahau hii nmeiona mahala flani uko twitter Nika i copy tuje kuchangamshana kidogo Wale waliosoma kwa magari ya njano njooni.
1 Reactions
7 Replies
850 Views
The great question that has never been answered, and which I have not yet been able to answer, despite my thirty years of research into the feminine soul, is 'What does a woman want?'
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Hello JF members Hebu tuangalie makabila ya Tanzania na jinsi watu wake wanayo shangaa. 1. Waarusha/masai - shee. 2. Wa haya - shoo. 3. Chaga - mburaa/mbuta 4. Bondei - boo 5. Sambaa - tee. 6...
6 Reactions
74 Replies
6K Views
Habar wadau Ile RAHA ya kuwa na mtoto ninayo kwa asilimia Mia mimi kama Baba sababu ya kuwa Rafiki na Mwanangu imepelekea nimebuni michezo Mingi ya kucheza nae mpaka mwezi Jana nilipo gundua kuwa...
9 Reactions
66 Replies
4K Views
Miaka mingi imepita, tulikutana jijini Dar tukiwa wanafunzi mimi nilikuwa Airwing, yeye alikuwa kama sikosei Kibasira kama sio itakuwa zanaki au jangwani kati ya shule hizo. Tulipotezana tulipo...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wanaJf.. Poleni na harakati za kutafuta maisha na hongereni sana kwa utafutaji. MUNGU azidi kubariki juhudi zenu mnazoonesha. Kama mada inavyojieleza pale juu, naomba nisizunguke saana...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama title inavyojieleza. Katika utafiti simple nilioufanya nimegundua kuwa jina la mtu au kitu lina affect jinsi maendeleo ya huyo mtu au kitu kitavyokuwa. Mfano mtu mwenye jina linaloanzia na R...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…