JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sister duu kashika mimba makusudi ,kalea mimba kwa manung'uniko ,kajifungua kwa bahati mbaya na analea mtoto kwa swagger ,mtoto anaona visivyotazamiwa kuonwa na anasikia vitu ambavyo alivyotakiwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
*Mke na mume wamelala kimya kitandani. Kila mmoja yuko kimya.* Mke anaanza kuwaza kimoyo moyo; Hivi huyu mwanaume mbona haniongeleshi? Au anamfikiria mwanamke mwingine? Kampata mwanamke mwingine...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
U. Ukitaka K .Kuvunjwa U .Uti wa mgongo T .Tarehe moja A .Andamana [emoji121][emoji121][emoji121] September 1 is coming. My brother I will be next to you in the front line.
3 Reactions
5 Replies
2K Views
MUME: Mke wangu naomba nikubusu MKE: Sitaki MUME: Ntakununulia pete ya gold MKE: Staki MUME: Ntakununulia gari MKE: Sitaki....mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho MTOTO: Baba...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Mteja: habari Muuzaji: nzuri Mteja : shati sh. Ngapi? Muuzaji :20000 Mteja; punguzo Muuzaji; halipungui Mteja : sina naondoka Muuzaji: ahsante karibu Mteja; naondoka Muuzaji; poa ondoka tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jf, tujikumbushe kidogo ni kitu gani kilikuumiza sana ulipokuwa mdogo na hadi ulipokuwa unakua uliendelea kukikumbuka na kikawa kinakuumiza, mfano mimi nikiwa na miaka 6 kuna jaamaa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
HUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZI jaribu kumwita mpenzi wako "my sweet potato" atakuelewa ila mwite kwa kiswaili " kiazi wangu mbatata"hiyo itakuwa vita ya tatu ya dunia [emoji13]...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari gani waungwana..? Kumekuwa na watu ambao wakipokea taarifa mbaya huwa wana panic na wengine kupelekea hata kufa so hili ni tatizo. Kuna kupanic kwa kawaida ila kuna wengine duh! Wana zimia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MKAKA: Sweety mambo? MDADA: Poa asante MKAKA: Samahani dada, mimi ni kijana ambaye nimekuwa nikikufuatilia kwa muda sasa, na nimegundua wewe ni mtu ambaye ningependa uwe mke wangu niishi nawe...
0 Reactions
8 Replies
938 Views
Wanajamvi Kwanini ukinywa pombe alafu ukalala hauoti ndoto, ila ukivuta bange unaota?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Caroline Kiyoki: Niaje James? James: Poa Caro, za Kenya? Caroline Kiyoki: poa. You are lost au uko kwa campaign ya Tz? James: hapana, Caroline Kiyoki: Ati nikuulize kitu? James: Yap...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
unamtongoza demu kwa meseji150 na humpati halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya tigo pesa linampata Ndo utakapokumbuka kujaza booklet kwenye mtihani sio kupata A ☝
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Mi sitafuti kazi tayari ninayo. Natafuta kiki. Shukran. Matusi hakuna.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Unamwambia nini mpenzi wako baada ya match kuisha??? Know the power of the two words....POLE....na ASANTE! Sio unanyanyuka tu na kuwahi boxer utadhani umetoka kuvua dagaa. Ndio, MEN,naongea na nyie!
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna wasichana wanamakusudi sana,Wanajua kabisa wewe unaishi Uswahilini na chumba unacho kaa hakina siling-Bodi ila cha ajabu sasa badala ya "kutoa chozi" kuendana na Mazingira wao Wala...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
*_KANISANI_* _Mchungaji alisema;_ *_FANYA JAMBO MOJA LA KUMSHANGAZA MUNGU._* _*Dakika mbili nyingi,Jamaa mmoja akakimbia na kikapu chenye sadaka!*_ [emoji86] [emoji86] [emoji86]
0 Reactions
5 Replies
2K Views
8 Reactions
9 Replies
3K Views
Hivi kweli unamuomba mwanaume akuTIGOpesa????!!
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Mungu ana akili sana alivyotuumba,laiti kama Miili yetu hii ingekuwa kama Housing za Nokia Kitochi,the more unavyotumia ndo Button zinaumuka kama Mimba ya Mjusi sijui ingekuwaje Maana kuna watu ni...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…