JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo 13/08 /2016 ni siku ya kimataifa ya watu wanaotumia mikono ya kushoto na hata miguu pia. Naomba niwatakie heri ya siku hii wana JF wote wanatumia mikono/miguu ya kushoto . Duniani kote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kwa nini madalali wengi wa Dar wanaitwa Side au Beka?
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Mtanzania, Mnyarwanda, na Mkenya walikamatwa na madawa ya kulevya China. Wakaambiwa adhabu ni mbili kifo au adhabu nyingine ambayo wakiishindwa pia wanauawa.Wakaomba wapewe hiyo adhabu nyingine...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni kutokana na kuweka mtutu wa bunduki jirani na mtutu wa nyama At least five Americans accidentally shot off their penises since 2010
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau, wala nisiwachoshe rejeeni kichwa habari hapo juu, nawatahadharisha zile Tabia zenu za kibwege bwege sijui kula bata, Misemo yenu ya kike kike cjui vepee cjui ni shidaaaaa, Mambo yenu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasaalam, namtafuta shoga angu Dinazarde jamani, maana kuna issue tuliwasiliana nae baada ya hapo naona kimyaaaaaaa... alie na mwasiliano nae pls naomba ani Pm.. ni muhimu Wasaalam HoE.
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Unamtaka mwenye Range Rover, wakati baba yako ana baiskeli. Kwa nini usiwe mpole kama mama yako????
0 Reactions
5 Replies
852 Views
Eti na wewe unajiita Mwanaume, Mwanaume kumnunulia Zawadi Girlfriend wako ni mpaka uone Valentine's Day imekaribia,ndio unajishaua na Shopping ili kusafisha nyota..Nani aliyekwambia Usela unalipa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
[emoji1]
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Eeeh! Siku moja nimeTuliaa LightHouse pale naskizia kibreezz! Mara akapita kidemu toto Hilwaaa! Nikasema simuachi.. nikatoa noti ya 10000 nikaandika no. Zangu ( 06838546 ♡♡) alafu nikamuita pphsss...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
kama huna pesa wewe ni mchaga uchwara. kama unategemea mvua wewe ni mkulima uchwara. kama huna begi lenye picha ya Bob Marley wewe ni msukuma uchwara. kama unalipa kodi zote wewe ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
''mimi nataka Mwanaume awe mtanashati, awe Na Kazi yake ya Kueleweka, awe na Pesa, awe ana gari,awe amesoma soma May Be Chuo hivi hapo Sawa Vingnevyo tupa Kulee,'' Madem wa aina hii utakuta...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mademu wengine wana lawama...Wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta "Umekosa nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza Nyama bucha Ileile,kwani mi sikupiiii,si nakuuliza wewe Hasidi...
28 Reactions
79 Replies
9K Views
*Mume:* nisamehe, naomba turudiane mke wangu *Mke:* una kikombe hapo? *Mume:* no! kwanini? *Mke:* kachukue kikombe jikoni *Mume:* sawa, nishaenda chukua, sema! *Mke:* kibwage kuanzia juu mpaka...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana jamii forums! Sio kwa kusudi la kuwashusha heshima wala kuwadhihaki ila ni kwa vituko vyao walivyovifanya ambavyo mpaka leo ukikumbuka unacheka au unathamini sana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
1) Wanaweka simu zao kwenye mapochi makubwa halafu ikiita anaanza kuitafuta hajui inaitia wapi! 2) Siku zote wao wanabeba mapochi makubwa (hand bag) ambalo amejaza makororo kibao ambayo hata...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TAHADHARI KWA WANAUME WA DAR MNAO HAMIA DODOMA! Tabia zenu za kibwege bwege sijui kula bata, Misemo yenu ya kike kike cjui vepee cjui ni shidaaaaa, Mambo yenu ya ushirikina na utapeli na wizi wa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
nimebahatika kufika stend mbeya apa bahati nzuri bus nililokata tiketi kwenye siti kaja mtoto mkali balaa yaani tumeanza stori mpaka natamani tusifike safari imekua fupi sana ila tatizo sasa njian...
8 Reactions
118 Replies
9K Views
Jamani, neno "Nyoko" ni tusi...tena kubwa tu, nimeshangaa mwaka 2014 limekua sifa na hadi kuimbwa kwenye nyimbo na kupigwa redioni na kwenye TVs, saivi mtu akikwambia ww ni nyoko ati anamaanisha...
1 Reactions
67 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…