JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mie ndio nitakaye ishi naye daima Na milele. kwa hiyo maswala ya sijui hawe mzur awe na shepu...awe na mpododo...awe na mpwedede... Hasiwe flat screen awe na chogo... Hayo mambo ni ya kwetu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ay yo eyooo wassup bruh/Sis, RE: YO BOY IS APPLYN FOR SOME SHIT ASS HUSTLIN' AS AN ENGINEER Am a mutherfuckn dude aged 22. As a nigga, I gatta hustle hard u knw. So I wanna hustle ass out in yah...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau mimi naomba nigusie kidogo juu ya swala hili la vikoba..,black...,michezo kwa baadhi ya wanawake wasiojitambua... Mtoto wa kike utakuta anaenda kukopa black bila kumwambia mmewe huku...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Upo sehemu unatembea kwa miguu, kati kati ya safari yako ukiwa huna hili wala lile unashtuliwa na Kofi moja zito la Uso mpaka unafumba macho, ile hujakaa sawa inakuja Ngumi ya pua.. unajaribu...
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Wasalaam wana Jambi! Katika tafakuri yangu nimepata "kajindoto" kua kama taifa timing yetu imekua ndivyosivyo! Yaani mtiririko wa maRaisi ungekua JKN-JPM-BWM-AHM-JMK ingalu hizi hoja za uchwara...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
WANAUME WOTE NI MBUZI... Nikamuuliza:- UMESHAMPA MAJANI BABAKO...!?? Kani-Block...! Sasa mimi kosa langu ni nini eti...!???? � *sipendagi ujnga mm* ��
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Wapendwa nipo safarini kuelekea nyumbani Yaeda....nipo ndani ya basi linaitwa Buibui....lina koroboi juu.....niombeeni nifike salama....nitarudi na nyanyi kausha......kwa atakaependa.....anipe...
5 Reactions
115 Replies
7K Views
Jana Nlikua napita mtaa Flani Ivi nikakutana na scenario,mama kamwagia mtoto wa miaka 4 maji Ya moto usoni kisa kaenda kidokoa Mboga kwa Jirani!!nlijawa na Hasira kama Yote nikataka nimrukie sema...
1 Reactions
7 Replies
822 Views
Naomba mnisaidie nataka ni update Marshmallow hios kwenye tecno c5 nifanyeje.
0 Reactions
6 Replies
831 Views
Ivi wandugu kutokana Na ma tatizo ya kukatika Umeme mala kwa Mala una Toka kwa mihangaiko yako umechoka mida km saa mbili ivi usiki una ingia geto ile una washa taa una muona nyoka...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Hello wana Chit - Chat Nilikuwa napiga story ofisini na mates wenzangu tulikuwa na story za namna ya kuimaliza weekend ya mwisho wa mwezi bila vishawishi vya kutumia pesa ovyo ndio ikaja topic...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
Jamaniheeee, wimbo ni zendindi, zendi ndi.... unalia ndani ya mwendokasi, Dreva anauliza kituo, kabla hatuja fika magomeni kwa mbali wimbo wa KIOOO akadanganyi Mama, umejipam,ba umepambika, mara...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau katika kiswahili, nambari ifuatayo inaandikwaje 11,000 Na hii nayo inaandikwaje katika kiswahili 10,001? Tuchemshe bongo kidogo tupumzike na mambo ya siasa na mitafaruku ya CUF baraza Vs CUF...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Au kuna mwenzangu Kuna kitu nikuulize
1 Reactions
17 Replies
1K Views
1 Reactions
6 Replies
832 Views
..wakati unasoma kulikuwa na jina la mwalimu ambalo lilikuvutia sana,au hata kukuchekesha.Nakumbuka mwalimu wangu wa shule ya msingi alikuwa mzee tena wa kiume aliitwa "Mdemu" na mwingine O level...
1 Reactions
63 Replies
4K Views
We are going to have a pillow talk here. Uongo kwenye Penzi la kweli... Ni pillow talk tutaenda zaidi ya mada pia. welcome and watch. niko na 'Valentina'....
1 Reactions
167 Replies
11K Views
Laptop Yangu Imeniandikia "Activate Windows" Nikafungua Dirisha Nikaiweka Hapo Kando
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Mimi nakumbuka ikifika idd jana yake tumetoka kuchagua nguo enzi hizo nina raba zangu flan kampuni nike zilikuwa zinawaka taa, nakumbuka kwa upande wa dada zetu na mahousgel nao wanapaka wanja na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu salaam sana, Kwanini wanawake na maduu wengi kila ikikaribia mwisho wa mwezi ndio wao hupost picha za wapenzi wao? Ina maana penzi hushamiri mwisho wa mwezi tu?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…