JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukimpa sim kabla hujasema chochote akaona 0 anajua nini wamaanisha, sasa hapo kinachofata ni uamuzi wake, wa vijijini sijui wao wanaelewaje.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Daaah huyu jamaa kanichekesha kinoma. Kajibu matusi wanayomfurumushia huko tweeter, Na mwishoni kabisa kampa jungu baya sana Donald Trump. CC: kui
0 Reactions
1 Replies
452 Views
Kwakweli lazima atakuwa kishamegwa na mnaendelea kumega, halafu mimi wa mkoani ndo nitunze??! aaah wapi. Naona meseji zake akisema "kwahyo ndo hunitumii hela sio?!"...kumbe usikute anatype huku...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Hi I'm a man aged 23 years old, am looking for female friends with ages not more than 24 years old. For more info about me, 0624054766. You are welcome.
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Leo nimekuja kuwaaga hapa rasmi kwa sababu hiki ndicho kijiwe changu humu JF. Likizo yangu imeisha. Natoweka JF kuanzia kesho mpaka mwaka 2020, ndipo tutakapokutana rasmi. Naenda kukabiliana na...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Baadhi ya Majina yenye utata zaidi duniani kulingana na lugha ya kiswahili. 1. Sito Mbeki (Daughter of Thabo Mbeki. SA) 2. David Kinembe (Waziri Tanzania) 3. James Kakuma (Minister of Trade...
1 Reactions
5 Replies
15K Views
Habari zenu wapenda naleta huu uzi kwa wale wote wenye majina tofauti na yalio kwenye vyeti yaliyotokana na kupewa na marafiki shuleni,mazoizini,safarini,vyuoni na n.k NAANZA NA MIMI MWENYEWE...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Juzi nilisinziaa kanisani bana[emoji18]nimelala ww mara nkasikia jirani yangu ananiambia pembenii! mpendwa amkaa!! Nikasikiaa na mchungajii uko!! NYANYUKAA!! nikasimaama watu wakapigaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
*Let's play a game...* Find your BIRTHDAY MONTH, DAY and YEAR and *form a sentence...* Select your month Jan : I need Feb : I killed Mar : I slept with Apr : I raped May : I slapped Jun : I...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Tangu zama za kale tumezoea waganga wa kienyeji wakituagiza vitu ambavyo tumevizoea kama vile kuku mweusi au mweupe nk. Mganga wangu huyu amesema nimerogwa uchawi wa jua na maji!Eti ili...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wandugu,nimekuwa nikijiuliza na kushangaa hiki chakula chenye majina mengi kwanini kinapendwa sana na watu karibu wa rika zote?Labda walevi ndio hawakifagilii sana. Nipo ugenini kwa ndugu...
3 Reactions
77 Replies
6K Views
Nyie madada mnaovaa mawigi yenu kichwani yanavyowatoa chicha mnaonekana ka kina Rihanna, Beyonce au yule mke wa Kanye West. Kiukweli yanawapendeza mnoooo wengi wenu ila chondechonde mnapoanza...
12 Reactions
85 Replies
4K Views
Masai mmoja alikuwa anasafiri kwa basi kutoka mkoa fulani kuelekea mkoa mwingine. Siku hiyo ilikuwa ni mara yake ya kwanza kuvaa chupi kitendo kilichomfanya awe anaionyesha onyesha sana kwa watu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kiukweli kabsaaa binafsi yangu kati ya Rose Muhando na Bahati Bukuku Mi namkubali sana Boni Mwaitege, kwa sababu Christina Shusho ana sauti nzuri sana na ndiomaana hata Messi wakati anafunga...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
*Nimekuja kumtembelea msela hapa! Nimemsubiri katoka nje nikaongeza maji ya ugali, sasa kumbe alikua kapima maji saizi ya unga wake. Saivi tupo hapa tunakunywa uji, hata hatuongeleshani*
4 Reactions
5 Replies
2K Views
1. Umelewa unaenda bafuni kukojoa kisha kwenye kioo unajiona sura yako na kusema "samahani sikujua kama kuna mtu " unatoka ili umsubiri amalize uingie. 2. Unarudi home uko mbwii unaanza tafuta...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeona duka mja maeneo ya kariakoo mtaa wa livingstone na udowe wateja ni wanawake kwa 100% hili jambo nilianza kufuatilia toka 2009 leo nalileta kwenu nitapata...
0 Reactions
44 Replies
8K Views
Hv jaman taarifa ya hsbari ya itv ile ya saa mbili huwa inaanzaga saa ngapi??[emoji15][emoji15]
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nakumbuka niliandikiwa na brother kwenye debate badala ya "im here to propose " nikasema " im here to glucose.tililikeni za kwenu
0 Reactions
2 Replies
670 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…