Jamaa mmoja alikuwa na tabia ya udokozi sana huko Tarime. Siku moja jamaa alivunja mlango na kuingia kwenye nyumba moja. Akaingia stoo akaona vinyama vikiwa kwenye bakuli vimekaushwa. Akaonja...
Kuna haja watu wawe wanatumia majina yao halisi . kuna watu humu ndani wananipa mashaka hasa huyu Jamaa wa visa na mikasa ya mapenz SODOKU.
nahisi ni mtangazaji wa ITV au Clouds TV na Radio. Mara...
Mchaga aliamua kufungua bustani ya
wanyama akafanya kiingilio 10,000/=
hakuna aliyeingia akashusha 5,000/=
pia hakuna aliyeingia akashusha tena
2,000/= hakuna aliyeingia akashusha
1,000 pia hakuna...
MAFANIKIO YA AWAMU YA 5 SASA YANAANZA KUONEKANA
1. Kuna ongezeko kubwa la waumini makanisani japo sadaka haiongezeki (watu wanatafuta pa kuzugia kusukuma weekend)
2. Ndoa zimeendelea kuimarika na...
Unajua MENDE tunamchukulia poa poa tu ila yule mshikaji ni bonge la mdudu yan,MENDE ndo mdudu pekee anayeweza kusavaivu katika bomu la nyukilia "nuclear"....Yan likitwangwa nuclear bomb hapa...