Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

One of the most Popular football player in afrika ni Fiston Mayele Najua wengi watabisha kwasababu ya ushabiki wao lakini nitakacho kisema hapa ni ukweli Fiston Mayele Ndiye mchezaji maarufu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Walianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora). Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani? Tukumbushane...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Nipo nimekaa paleee Baada ya wydad kutinga fainali kwa faida ya goli la ugenini na kufanikiwa kuwatoa mamelody kwa mbungi iliyopigwa na kutoka sare ya magoli mawili Kila timu. Sasa tusubiri...
3 Reactions
19 Replies
841 Views
PAMBA WALALAMIKA KUFANYIWA FIGISU Uongozi wa klabu ya Pamba ya Jijini Mwanza umeomba uongozi wa TFF kuchunguza Upangaji wa matokeo kwenye Mchezo wao wa jana 1st leg play off dhidi ya Mashujaa FC...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
ASUBUHI kitandani pale Johannesburg nilikuwa nasikiliza watangazaji wa Afrika Kusini wakimsifia straika wa Yanga, Fiston Mayele. Namna alivyofunga bao moja na kupika jingine dhidi ya Marumo...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Hapo jana taa za Sanamu Maarufu la “Kristu Mkombozi”(christ the redeemer) lililopo Rio de Janeiro huko Brazil zilizimwa kwa Muda wa Saa Moja hapo Jana ili kuonesha Mshikamano wa Watu wa Brazil na...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Hapa alikuwa na akili za mambo kumi, Msikilize
0 Reactions
2 Replies
845 Views
Kwa upendo mkuu Rais Samia amewanunulia ticket Mashabiki 5000 watakaokwenda Uwanja wa Mkapa kuishangilia Yanga dhidi ya USM Alger Source: Azam tv
11 Reactions
66 Replies
4K Views
Sijui nini kimemkuta ndugu yetu yaani sikumbuki ni lini alicheza katika ubora wake. Akijaribu kwenda mbele kushambulia mara anasahau mpira nyuma. Lakini hata kukaba ni changamoto. Leo Kibabage...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwanza kabisa piga marufuku wanasiasa na wasaka sifa kuja kambini kwa kisingizio cha kuleta hamasa kwa wachezaji. Kuna watu wanataka kuitumia Yanga kama mtaji wao kisiasa hawa ni wa kuwaeupuka...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii nadharia ya kuwasema Wanaoshiriki Shirikisho ni waliofeli sio sahihi, hii ni kujificha kwenye kivuli Cha kufeli Kwa Magungu. Kuna michuano wanaita CAF champions League, yaani michuano ya...
0 Reactions
11 Replies
906 Views
Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa...
12 Reactions
24 Replies
2K Views
Taarifa za ndani nilizozipata kutoka Jikoni katika Klabu moja na hata kule Kwenyewe kabisa CAF ni kwamba kama kuna Refa ( Mwamuzi ) ambaye atachunguzwa mno Maamuzi yake Kiuchezeshaji Siku hiyo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huu ni msimu wa mvunja rekodi, jini, shetani wa mpira Halaand, nawaza jinsi Inter itakavyoenda kuchakazwa na huyu Bwana. Rekodi zake sihitaji kuziweka hapa maana zinafahamika NB: siasa za mpira...
2 Reactions
9 Replies
610 Views
1. UBINGWA KOMBE LA KAGAME Licha ya Yanga kujivunia rekodi ya kutwaa taji la Kagame nje ya Dar es Salaam, Simba ndiyo vinara wa kulitwaa taji hilo nchini. Simba imewahi kulitwaa taji hilo la...
4 Reactions
23 Replies
19K Views
Marumo Gallants wapo nyumbani kuwaalika Young Africans katika mchezo wa marudiano ya nusu fainali ya CAF Confederation Cup kwanzia saa 1:00 usiku kwa hapa nyumbani Tanzania. Mechi ya kwanza...
45 Reactions
1K Replies
75K Views
Kikosi cha kilabu ya mnyama mkali mwituni Paka fc, Wakiwa katika mawindo ya kumuwinda Coastal union fc katika mchezo utakaochezwa hivi karibuni. Watu hao wasiofahamika na wasiojulikana...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Tafadhali mkuu Wimborne wetu usibadilike siku ya JUMAPILI. Wimbo wa hamasa uwe uleule wa Rivers United. Leo ndo leo leo kivumbi na jashooooooo! Tafadhali usibadilishwe wakodishwe hata wasanii wa...
2 Reactions
1 Replies
508 Views
Saaaalam Wana JF....nawasalimu kwa jina la TFF Msimu huu wa Ligi Kuu umeshuhudiwa kwa uwepo wa wachezaji wakali ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara maarufu Kama NBC PREMIER LIGUE....kutoka timu ya...
8 Reactions
48 Replies
4K Views
Tuendelee kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na huzuni kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa...
8 Reactions
68 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…