Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Leo saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki Simba Queens watashuka dimbani kumenyana na AS Far Club ya Morocco. Ikumbukwe kuwa Simba Queens ndio wawakilishi wa ukanda huu wa Afrika...
6 Reactions
143 Replies
7K Views
Nisikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane. Kwanza nikili mimi ni shabiki wa Young Africans(Yanga), baada ya kukosa muda wa kuitazama ile mechi ya Yanga na Geita kwasababu ya ubize niliona...
33 Reactions
73 Replies
4K Views
Ktk kipindi cha kipyenga cha mwisho kinachorushwa na Azam sports 1 HD, refa mkongwe Othman Kazi amefafanua kuwa mfungaji wa goli la Geita vs Yanga alikuwa ameotea. Pia, penati ya Yanga haikuwa...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Simulizi ya MK14 Meddie Kagere “Mimi si muongeaji, naamini kila kitu kina sababu na hakiwezi kuwa na mwisho, katika soka kocha ni mtu ambaye anaweza kumfanya mchezaji kuwa kwenye ubora wa hali ya...
21 Reactions
25 Replies
2K Views
Mchezaji Kama Bigirmana, Makambo na Kisinda sio wachezaji wa kucheza Yanga Naomba dirisha dogo Hawa wachezaji waondoke haraka ni takataka Lomalisa watu wanamponda lakini kwangu Mimi ndiye beki...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Yale mabilioni yaliyobebwa kwenye viroba yanavyotumika,fitna zinazofanywa,lakini bado asilimia 60 ya wanachama wenu ni waganga wa kienyeji..na hamtoboi kimataifa,huu tunaweza kuuita uwendawazimu...
5 Reactions
20 Replies
907 Views
Baada ya Yanga, leo zamu ya Simba kubebwa. Mashabiki wa Yanga mtulie acha na wenzenu leo wafurahi. Baada ya mechi tukutane hapa kujadili.
0 Reactions
16 Replies
646 Views
Wanasimbaaaaa, Kweli kupoteza ubingwa last year na msimu huu kupoteza game muhimu za ndani zinatuwehua sana lakini kuna values lazima tuzilinde. Timu yetu imefanya vizuri zaidi ya misimu 4 ndani...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Jana wakati wa mechi ya Yanga na Geita nimemsikia zaidi ya mara 3 mtangazaji wa Azam sports ambaye alikuwa mtangazaji wa mechi hiyo. Alisema kuwa Saido Ntibazonkiza alikuwa akicheza ligi kuu ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakiwa wanacheza soka la kuvuta hisia mujarabu na kuburudisha watazamaji walio wengi, soka ambalo limethibitishwa na Shirikisho la Kabumbu Barani Afrika CAF, Mnyama Mkali Mwituni Simba SC leo Juni...
9 Reactions
127 Replies
6K Views
Kutokana na kuwa Simba wanaendelea kupata matokeo mazuri kumekuwa na kelele kila kona kutoka kwa Mashabiki wakitaka Mgunda apewe timu kamili kama Kocha Mkuu. Na Viongozi wa Simba ni kama vile...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Wanalunyasi nawaalika kuja kutoa dua na sala ili timu yetu icheze kwa amani pia ishinde. Kumbukeni sisi huwa hatushindi ushindi wa kununua, kwahiyo huwa tunashnda kwa kutumia maarifa na ujuzi wa...
2 Reactions
23 Replies
986 Views
Original post and source Shaffii source yake ikiwa hiyo ya juu. My Take Naelewa tatizo sio lugha ila ni kufikiria mambo katika mlengo wa njaa. Yaani inaanza njaa baadae ndio unafikiria. Dauda...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Siasa za Tanzania zina mambo ya ajabu sana, kwenye mpira zinafanya nini? FIFA ina vyombo vidogodogo kama TFF, ile ya Afrika sijui inaitwa nini, kwa nini viongozi wa siasa wana nafasi kwenye mpira...
0 Reactions
3 Replies
374 Views
Hatuwezi kuwa tunawasakama wanasiasa kwa kufanya madudu serikalini wakati kuna kada nyingine inafanya mambo ya hovyo. Kila wiki naanzisha nyuzi za ubovu wa waamuzi kila baada ya mechi ya NBC PL...
6 Reactions
22 Replies
996 Views
Njia za mkato za ubingwa zipo tena rahisiiii
4 Reactions
7 Replies
371 Views
Ligi yetu inaendeshwa kisiasa kama zilivyo siasa zenyewe. Usitegemee kuiona Yanga ikishika tofauti na namba 1 kwenye ligi ya hapa kivyovyote hadi pale system ya nchi itakapobadilika. Wapinzani...
5 Reactions
12 Replies
522 Views
Kama ulifurahia kukataliwa kwa goli la Mayele katika mechi ya mwisho ya NBC Premier League ya msimu wa 2021/22 (lililomkosesha tuzo ya ufugaji bora) na ukaja ukafurahia goli la Simba dhidi ya...
17 Reactions
44 Replies
2K Views
Mimi ni Yanga na niwe wazi tu siuungi mkono maamuzi mabovu ya Waamuzi na huwa najiuliza ni hatua gani huchukuliwa kwa waamuzi wanaofanya maamuzi mabovu? Binafsi ndio maana siku zote mimi huwa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…