Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Gervonta Davis will square off against Frank Martin on Saturday night. Photo by Al Bello/Getty Images The Gervonta Davis vs. Frank Martin fight card will feature four title fights at the MGM Grand...
0 Reactions
2 Replies
500 Views
Wakuu hii game imekuwa tough sana fujo za Kila aina nimemuonea huruma kimsingi amejitahidi kwa uwezo wake. ---
2 Reactions
43 Replies
3K Views
UCHAMBUZI WA ALICHOKIONGEA MANGUNGU CLOUDS Wana Simba Msidanganyike na kurudi nyuma kwa maneno ya Ngungu.Kwanini 1.Kuenndelea kwake ni Mwendelezonwa visasi kwa wanachama Jana tumemsikia wazi...
0 Reactions
1 Replies
419 Views
Njia wanazotumia wanasimba kukutaka ujiuzulu ni kelele za chura tu, pressure imekuwa kubwa kukufosi uachie uenyekiti kwa sababu umeshindwa kuleta furaha kwa wanasimba. Halafu umewaongezea...
0 Reactions
0 Replies
510 Views
Binafsi naomba ku declare kuwa mimi mtoa post ni mshabiki wa Young Afican! Lakini kutokana na masuala yanaoyoendelea Simba nimejiuliza sana maswali ambayo kila ninapotaka jibu naona naweza lipata...
1 Reactions
4 Replies
530 Views
Katika hali isiyo ya kawaida na isiyo ya kikatiba Mwenyekiti wa Simba upande wa Mwekezaji anajiuzulu na kumteua Rais wa heshima wa Simba Mo kuwa Mwenyekiti upande wa Mwekezaji! Hii kitu...
5 Reactions
15 Replies
681 Views
Mtu kama shaffih ukikaa kumtafakari unakuta huoni sababu na tija ya uandishi wake ! Shaffih yeye sio mwandishi wa habari ila ni mchochezi na mfitini ,akiona mahali pana mafanikio dakika moja...
1 Reactions
5 Replies
563 Views
Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi, Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti...
11 Reactions
47 Replies
4K Views
I will be short. rules after wealth 1. Utajiri bila watu ni useless. (power) Mo leo hii anakutana na raisi wa FIFA na CAF easily kisa simba, Easy business due to simba. Anafatiliwa in social...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
MANGUNGU [emoji119]: KWA MASLAHI MAPANA YA KLABU YETU,NITATOA PESA ZA USAJILI. Pesa za usajili Nitatoa mwenyewe Kwa kushirikiana na Wanachama na wapenzi wa Simba, Sasa nipo kutafuta mkurugenzi wa...
10 Reactions
68 Replies
4K Views
Wakuu Nimeskia sana tetesi kuwa kutakuwa na swap deal kati ya Yanga na Mazembe Means Musonda kwenda Congo na Baleke aje Yanga. Huu usajiri kwa kweli tunaenda kupigwa kama kweli, pakubwa sana...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
... 🚨 π—‘π—œπ—§π—”π—¦π—”π—π—œπ—Ÿπ—œ 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜π—ͺπ—˜ "Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Wa kwanza niteue mimi, nimeanza kushabikia, kushangilia na kuwa member wa Simba tangu mwaka 1989.Simba inamfunga Yanga bao 2 kwa 1 kwa bao la marehemu John Makelele zigzag huku beki Fred Felix...
0 Reactions
1 Replies
623 Views
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00...
11 Reactions
348 Replies
19K Views
Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii...
41 Reactions
99 Replies
7K Views
https://x.com/FKihamu/status/1800621196662206811
5 Reactions
8 Replies
741 Views
MO AREJEA KITINI SIMBA SC Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametangaza kurejea kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba kufuatia ombi la Salim Abdallah Try Again aliyejiuzulu nafasi...
10 Reactions
72 Replies
4K Views
"Fedha zote ambazo MO alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club anazidai, na ameelekeza zibadilishwe ndio...
13 Reactions
75 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Kumekuwa na hoja ya wadau mbalimbali wa michezo, wanachana wa Simba na wasio Simba. Watu wanataka kujua nini kinakwamisha mchakato wa transformation kukamilika pamoja na uhalali wa...
0 Reactions
6 Replies
879 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…