Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Triple C bado ni mchezaji mzuri sana na kwa timu inayohitaji makombe ama kuwa na kiu ya mafanikio haiwezi kumtema mchezaji kama Chama. Maneno ya mashabiki kuwa Simba iachane na Chama akaangalie...
5 Reactions
6 Replies
956 Views
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Coastal Union zinaeleza kuwa fedha ambayo klabu ya Simba iliingiza kwenye ‘account’ ya Coast Union kwaajili ya biashara ya mchezaji wao, Lameck Lawi zimerudishwa...
5 Reactions
14 Replies
857 Views
Maswali muhimu ya kujiuliza juu ya usajili wa LAMECK LAWI. 1). Kwanini SIMBA watambulishe picha za wanyama badala ya picha ya mchezaji husika. 2). Kwanini SIMBA wamtambulishe LAWI katikati ya...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Beki Lameck Lawi ni beki mzuri lakini sio wa kumgombea, acheni utoto mliopewa kazi ya kusajili. Lawi ni difenda wa kawaida sana, Lawi hafiki hata robo ya Ibrahim Bacca. Lawi hafiki hata nusu ya...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Baada ya timu ya Pamba United kutoka Mwanza kufanikiwa kupanda kwenye Ligi Kuu ya NBC mwaka 2024/25 wameamua kutemana na wachezaji wake wote. Hii imetolewa leo na msemaji wao, kwa kudai...
12 Reactions
45 Replies
4K Views
South Africa Ukiongelea ukubwa wa Soka la Tanzania basi watasema @yangasc kwasababu walicheza na @sundownsfc , na ILe mechi ilikuwa na ushindani mkubwa kwahiyo wa south Africa walikuwa...
3 Reactions
18 Replies
914 Views
"Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja. Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky?
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Singida Black Stars SC dhamira yetu ni kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 endapo kila kitu kitaenda kama tulivyopanga. Tumeshawasiliana na waandaaji tunasubiri watupe uthibitisho rasmi...
2 Reactions
5 Replies
746 Views
Kutoka Juhudi Sekondari JKT Female Basketball team na Sasa namuona kwenye team ya Mara female basketball team huyu nadhani kwa Sasa ndie nyota kabisa wa basketball kwa upande wa wanawake nimekosa...
0 Reactions
4 Replies
586 Views
Habari wanagentamycine washabiki kindakindani wa Simba kindaki ndaki, nikiongea kutokea Tanga mjini maeneo ya Mkwakwani napenda kutoa taarifa kuwa taarifa za simba kumnunua mchezaji wetu Lameck...
8 Reactions
9 Replies
954 Views
Baada ya kufanikiwa kusalia kwenye NBC Premier League, hatimaye Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amewakabidhi wachezaji wa Tabora United, kitita cha Shilingi milioni 50 aliyowaahidi endapo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau hivi inawezekana mtu akashabikia timu 2 ligi moja
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Kuanzia leo nitaacha rasmi Kuwalaumu Marefa wa Afrika kwa Kuvurunda kwa Kupendelea katika Ligi zetu na Mashindano yetu mbalimbali kwani kumbe huu Ugonjwa Sugu wa Marefa hauko tu Afrika na kwamba...
2 Reactions
13 Replies
881 Views
Nilipenda tu kujua kwa kweli. Maana kuna watu humu jukwaani walifikia mpaka hatua ya kumtishia usalama wake! Ila cha kushangaza kwa sasa naona habari ya mjini ni Thank you tu kwa baadhi ya...
10 Reactions
59 Replies
2K Views
Baadhi yetu tumepiga sana kelele kuonyesha kuwa tatizo kubwa la Simba ni ukosefu wa mfumo thabiti wa uongozi unaowezesha timu kuendeshwa kwa ukaribu na umakini. Simba haina management imara, bali...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Mangungu ni Kama alishtukia kamchezo ka mhindi wa Bombay alikotaka kukafanya ili na yeye akae pembeni afanikishe jambo lake lakini mtoto wa mjini akausoma mchezo kwa umakini na kuupangua! Bwana...
18 Reactions
32 Replies
2K Views
Hope nyote wazima, wa afya tele! Kuna wachambuzi hapa bongo huwa siwaelewi linapokuja suala la mpira, je! Ni mimi tu! Hapo nyuma kulikua na mechi za ku Qualify kombe la dunia, na mashindano...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Mabao ya Jamal Musiala dakika ya 22 na Ilkay Gundogan dakika ya 67 yametosha kuipa alama 3 Ujerumani mbele ya Hungary kwa mabao 2-0. Ujerumani imefikisha alama 6 baada ya michezo miwili na...
1 Reactions
2 Replies
429 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…